Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

Waislamu kuna mada yenu hapa.Kwa nini mnapenda kukimbilia nchi ambazo sio dini yenu.

Umewahi kusafiri? ukienda nchi kama KSA au Qatar raia wake wengi tu hawajui hata kama kuna nchi inaitwa Tanzania, na almost hawasafiri kutoka nje ya nchi zao kwasababu wanapata kila kitu hapo kwao, unazungumzia middle east ipi?.

By the way huo utafiti umefanyika wapi na kwa case studies zipi?.
Kwamba middle east Kuna nchi mbili tuu hizo ulizozitaja?

Hapa nazungumzia kwenda USA na sio kwenda Tanzania, elewa comments kabla ya kuzijibu
 
Kwamba middle east Kuna nchi mbili tuu hizo ulizozitaja?

Hapa nazungumzia kwenda USA na sio kwenda Tanzania, elewa comments kabla ya kuzijibu
Acha uongo ,nchi za kiislamu zina wahamiaji wengi , mpaka kambi za nje za USA na mataifa ya nje , mnafuata nn ? Wakisto ni wakimbizi wakubwa dunia , wanafika 47%
 
Ndo mana nkasema, kama unafatilia mambo ya nje bc utajua tuu, sasa ww endelea kupata taarifa kupitia JF tuu
Leta takwimu , mambo ya nje wapi unajua ...Leta takwimu , acha kujamba
 
Acha uongo ,nchi za kiislamu zina wahamiaji wengi , mpaka kambi za nje za USA na mataifa ya nje , mnafuata nn ? Wakisto ni wakimbizi wakubwa dunia , wanafika 47%
Mada haijataja Tanzania, comment yangu hakuna nilipotaja Tz, ila ww unakuja na ngonjera za Tz 😂
 
Bc Jamba ww kama unaona wivi
Hauna fact , piga mswaki utulie .. waislkamu wana impacts kutokana tamaduni zao sio kwamba ni wengi huko utumwani ..Dogo , hauna takwimu , tulia kibox manyoya .
 
Hauna fact , piga mswaki utulie .. waislkamu wana impacts kutokana tamaduni zao sio kwamba ni wengi huko utumwani ..Dogo , hauna takwimu , tulia kibox manyoya .
Waislamu hamjawahi kuwa na akili timamu
 
Kwamba middle east Kuna nchi mbili tuu hizo ulizozitaja?

Hapa nazungumzia kwenda USA na sio kwenda Tanzania, elewa comments kabla ya kuzijibu
Na mimi nimekuuliza ni middle east ipi unaikusudia? maana Qatar, KSA, Bahrain, Kuwait ni nchi tajiri, Iraq na hizo zilizobaki mizozo ya vita na hakuna takwimu kuonesha wana wahamiaji wengi, nimekutajia Tanzania kama mfano kuwa hao raia wa hizo nchi hawajui kama mimi na wewe unaexist duniani na hawatoki kwao ila kwa uchache sana.
 
Screenshot_20260714_115303_Chrome.jpg


Na ndoto Yako kubwa ni Dunia nzima tuwe waislamu, na machimbo Yao ya kuzamia ni ulaya na marekani hukohuko wanapopaita kwa MAKAFIRI.
 
dini na kuishi vinahusianaje kama ww na mkristo au muislam n.k popote kambi UDINI UNATOKA WAPI?
 

Nchi Zinazozalisha Wakimbizi Wengi Zaidi​

Ukiangalia nchi zinazoongoza kwa kutoa wakimbizi wengi duniani kutokana na vita, migogoro ya kisiasa na kiuchumi, utaona mchanganyiko wa nchi zenye idadi kubwa ya Waislamu na nchi zenye idadi kubwa ya Wakristo au dini nyingine.

Kwa mfano, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za UNHCR, nchi tano zinazoongoza kwa kutoa wakimbizi wengi zaidi duniani ni:

  1. Venezuela (Nchi yenye idadi kubwa ya Wakristo)
  2. Ukraine (Nchi yenye idadi kubwa ya Wakristo)
  3. Syria (Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu)
  4. Afghanistan (Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu)
  5. Sudan (Nchi yenye idadi kubwa ya Waislamu)
Uwepo wa Venezuela na Ukraine katika nafasi za juu kabisa unaonyesha kuwa mamilioni ya wakimbizi duniani sasa hivi wanatokea katika mataifa yenye misingi ya Kikristo.

Takwimu za Wahamiaji kwa Ujumla (Migrants)​

Utafiti uliofanywa na taasisi ya Pew Research Center kuhusu dini za watu wanaohama nchi zao duniani (ikiwa ni pamoja na wakimbizi na wahamiaji wa kawaida) ulionyesha kuwa:

  • Karibu 47% ya wahamiaji wote duniani ni Wakristo.
  • Karibu 29% ni Waislamu.
  • Waliobaki ni waumini wa dini nyingine kama Uhindu, Ubudha, Uyahudi, na wale wasio na dini kabisa.



Ukileta ushahidi , nasilimu hapa , ishu ni kwamba waislamu hata wawe kumi wana impact kubwa sio kwamba ni wengi..Wakirsto ndiyo wakimbizi namba moja duniani 😀 😀 😀 😀 😀 .. na hizo nchi za waislamu zenye wakimbizi utaona ni sababu ya vita , vita hivyo vina mkono wa mkafiri wa kikristo .
Hoja sio idadi ya wakimbizi, hoja ni kwa nn wakimbilie nchi za wakristu? Mfano mkimbizi wa Syria kwa nini asiende Afghanistan au Pakistan akimbilie Italy?
 
Back
Top Bottom