Ndio maana nawauliza hawa ndugu zangu katika Uafrika.... Adamu alifanya unabii ganiWaislamu utawaweza yaee .
Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)
Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.
Yakobo
Ibrahim
Isaka
Daudi
Yoroboamu
Samsoni......
Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.
Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.
Samsoni NI mnadhimu.
Ibrahim Baba WA mataifa.
Daudi nu mfalme WA Israel.
Umemsahau LutuWaislamu utawaweza yaee .
Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)
Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.
Yakobo
Ibrahim
Isaka
Daudi
Yoroboamu
Samsoni......
Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.
Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.
Samsoni NI mnadhimu.
Ibrahim Baba WA mataifa.
Daudi nu mfalme WA Israel.
Huwa wanakimbilia matusi wakikosa hojaInashangaza sana
Wakoraa muno.Walikopi kwa nani?
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.
Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.
Tukija kwenye Maana ya UNABII
"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"
Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Kwa huu uzi waislam kutojibu , nimewaona ni kati ya watu wa dini waojitambua sana, hongera sana waislam wote