Waislamu; kwanini Adamu mnamwita Nabii, kwani alitenda unabii gani?

Ktk maisha nimegunduwa kwamba sometimes kubishana na mtu asiyejuwa kitu, kunampa faida ya kujifunza kupitia mabishano yako.
Ni vyema mtu kama hajui jambo aje straight aelekezwe kuliko kuja Kwa style ya kubishana ili ajifunze kutokana na mabishano yako..

Adam ni Mtume wa MUNGU ,na sio lazima Mtume wa MUNGU kufanya miujiza...
 
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.

Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.

Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.

Tukija kwenye Maana ya UNABII

"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"

Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Mtume ni wale waliopewa vitabu.

Manabii ni wale hawakuwa vitabu.

Nabii Ibrahim, Musa, Yesu Muhamad nk

Manabii hao wengine

Yona
Zakaria
Adam

Mitume na manabii walikuja na ujumbe mmoja.

Unyenyekevu

Halafu wakaja wapotoshaji, wakapandikiza upagani juu ya imani ya Mitume na Manabii kwa mfano Mr Paulo.

Ujumbe ulioletwa na Mitume na Manabii si kwenda mbinguni. Mbingu ni matokeo.

Ujumbe wao ulikuwa Dunia ni koloni la Mungu na mitume na manabii ni magavana wa Mungu. Na kwamba wako hapa duniani si kutupeleka watu mbinguni bali wapo kwa ajili ya kuuondoa utawala wa kibinadamu na kusimika utawala wa Mungu kwa kufata sheria zake.

Mtume Muhamad alifanikiwa ktk hilo, Mtume Yesu alifeli.

Prof Paulo nae alishinda kuwapeleka wafuasi ktk upagani.

Hawawezi kuwa na majibu kuhusu hili kwa kuwa uislam ni chombo au mpango wa kueneza mila, desturi na tamaduni za kiarabu. Sasa mlengo wake mkubwa uko kutabanaisha historia ya jinsi waarabu walivyoishi
Kweli
 
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.

Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.

Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.

Tukija kwenye Maana ya UNABII

"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"

Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
SI waislam tuu Adam alikuwa nabii kwa sababu alikuwa akipngea na Mungu moja kwa moja .
Kama yakobo,
 
Hata wewe unaweza kukuta ni Nabii ila Kwa kuwa Mko brain washed Kwa kuambiwa kuwa Manabii walitokea ktk mataifa ya wazungu na waarabu basi Mnashindwa kuutumia vyema ufunuo uliowachagua
 
Yani mwislamu amjibu mlokole ??? Nitamdharau sana

Unapotoa majibu kuhusu imani yako usiwe na ubaguzi. Maana huwezi jua kama hayo majibu unayompa kwa msingi wa kitabu chenu yatamfanya awe muumini mpya
 
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.

Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.

Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.

Tukija kwenye Maana ya UNABII

"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"

Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Kabla ya yote wewe umetaja sura tu hujaainisha hiyo aya ni aya namba ngapi imesema hvyo, hebu bainisha aya ya ngapi katika kila sura uliyotaja.
 
Hata ukiwauliza wapi kwenye kuluwan na masimulizi wameandika kila alfajili muswali huku mmeweka vipaza sauti juu ya misikiti, hawana majibu. Hivyo wanabakia kuimba mashairi/malenga kila siku
Japo hujaniuliza me ila ngoja niwasaidie kujibu hao walioshindwa, Allah anasema kweny qur an katk suurat al nnahl aya ya 44
(
وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الذِّكْرَ لِتُبَيِّنَ لِلنَّاسِ مَا نُزِّلَ إِلَيْهِمْ وَلَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ﴿٤٤﴾
Na Tumekuteremshia Ukumbusho (Qur-aan) ili uwabainishie watu yaliyoteremshwa kwao huenda wakapata kutafakari.

Kazi Ya Mtume Ni Kubainisha Yale Yaliteremshwa Kwetu Na Katika Aliyotufundisha Ni Adhana Ambayo hutolewa kwa sauti ili kuwazindua watu na muda wa swala, ulivyokuja utandawazi kutumia kipaza sauti ni bora zaid katika kuwakumbusha watu kunako muda sahihi wa swala japo kuna katika watu wanakosea kwa kuingiza maneno tofauti na adhana.
 
Vizuri,
Adhana (reminder - alarm) inabidi ifanyike kwa muda na mara ngapi kwa siku.
 
Waislamu utawaweza yaee .

Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)

Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.

Yakobo

Ibrahim

Isaka

Daudi

Yoroboamu

Samsoni......

Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.

Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.

Samsoni NI mnadhimu.

Ibrahim Baba WA mataifa.

Daudi nu mfalme WA Israel.
Uislamu haufuati biblia so ustaki kila unacho amin wewe kwenye biblia na waislamu waamin hvyo, na huyo samson ni nani? Katajwa kwenye kitabu gani cha waislamu?
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ﴿٦﴾

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Hata ukiwauliza wapi kwenye kuluwan na masimulizi wameandika kila alfajili muswali huku mmeweka vipaza sauti juu ya misikiti, hawana majibu. Hivyo wanabakia kuimba mashairi/malenga kila siku
Usichokijua ukibwabwaja unaonekana mpumbavu. Kwa hiyo wewe umejaaa hiyo sifa ya upumbavu. Kasome Quran ndio utajua hayo yote. Adhana ni wito wa kuwaitabwaislam waende msikitini kufanya ibada
 
Kumekucha, shida ya wajawazito kujiingiza kwenye mada nzito. Kunywa maji utulie upumzike, usije ukapata miscarriage.
Halafu ndiyo ujekujibu hoja
 
Uislamu haufuati biblia so ustaki kila unacho amin wewe kwenye biblia na waislamu waamin hvyo, na huyo samson ni nani? Katajwa kwenye kitabu gani cha waislamu?
لَكُمْ دِينُكُمْ وَلِيَ دِينِ ﴿٦﴾

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Lakini yale mambo ya msingi (fundamentals) hakuna utofauti
 
Yani mtu anaulizia manabii wa mbali haoni wakina mwakatobe , sijui nabii tito wa dini yake🤔

Unajua shida ilitokea kwa mababu zetu. Hawaku document mambo yaliyokuwa yakitokea, kutia ndani na sheria na kanuni, ibada, imani, nk. Matokeo wametufanya tuwe watumwa. Utakuta walikuwepo akina nabii Masanja, Marwa, Gitagno nk lakini hawakuandikwa ndiyo maana tunapata shida. Maana ukiangalia hizi imani mara nyingi zinazungumzia koo na uzao. Hivyo kwa kiasi kikubwa wanachoongelea ni misingi ya tamaduni na watu waliokuwepo pindi hizo
 
Back
Top Bottom