Waislamu; kwanini Adamu mnamwita Nabii, kwani alitenda unabii gani?

Waislamu; kwanini Adamu mnamwita Nabii, kwani alitenda unabii gani?

Kuuliza jambo JF sio vibaya ila kwa minajili ya kujifunza dini huwezi kupata majibu hapa JF. Kama uko serous tafuta hata sheikh atakusaidia pale ulipokwama

Ila kwa kukusaidia endelea kusoma hiyo hiyo Quran utapata majibu ya maswali yako yote uliyo nayo. Kama hujapata majibu kwa mara ya kwanza rudia tena kuisoma, nakuhakikishia utapata majibu ya maswali yote uliyo nayo.

Quran ni kitabu cha kipekee sana, kinaeleweka kwa urahisi kabisa.
 
Lakini yale mambo ya msingi (fundamentals) hakuna utofauti
Kama yapi unakusudia? Ikiwa sisi tunaamin ya kuwa issa ( yesu) ni mtume wa allah na alipewa injili ambayo ilikuja kupotoshwa baadae na ndugu paulo na nyinyi munaamin kuwa yesu ni mungu/ mtoto wa mungu ( allah ametakasika na hilo) sasa itakuwaje iwe hakuna tofauti?
 
Tatizo kubwa sana ambalo huwakumba ndugu zetu wakristo wengi ni tatizo la kuwa na ubongo mwembamba.

Yani Hawa watu wanaamini sana kwenye miujiza, ndio maana hawakubali kuwa Adam ni nabii Kwasababu hajawahifanya miujiza.

Kwao mtume mwamposa mzee wa kuwapaka mafuta au gwajima mzee wa kufufua watu japo alishindwa kumfufua mama yake au kwenda hospitalini kufufua ndio wanawaamini na kuwaona manabii na mitume.

Yani ukitaka kukamata jamii ya kikristo na kujitajirisha basi wewe nenda Kwa mganga uanze kufanya miujiza utafute na watu wa kufanya shuhuda za uongo huku ukiwalipa.

Huko makanisani hawafundishwi Imani Bali ni miujiza na biashara ya mafuta.
 
Kama yapi unakusudia? Ikiwa sisi tunaamin ya kuwa issa ( yesu) ni mtume wa allah na alipewa injili ambayo ilikuja kupotoshwa baadae na ndugu paulo na nyinyi munaamin kuwa yesu ni mungu/ mtoto wa mungu ( allah ametakasika na hilo) sasa itakuwaje iwe hakuna tofauti?

Nasemea mambo kama vile 7 thou. Pia na kupendana na kumpenda Muumba wako
 
Nyie akili zenu bana, mamlaka gani zinazopanga mara ngapi adhana inatakiwa ifanyike!?

Kwa hiyo unataka kuniambia kuwa kuluwan haina muongozo kuhusu utaratibu wa ibada kama adhana?
Maana mnasemaga eti kuluwan haijaacha kitu
 
Yani mtu anauliza nabii wa dini nyingine ambao hata hawapo , wakati dini yake imejaza manabii kibao kina mwakatobe , mwabikuku na kina tito ! Akiulizwa hao imekuaje anaweza jibu wamepewa huo unabii na nani ?
hata hao akina mwmaposa wanwezakuwa manabii,sharti waje na ujumbe mpya waliofunuliwa.
ndio maana jamaa akakomaa na adam maana haijulikani alikuwa na ujumbe gani???
 
Kuuliza jambo JF sio vibaya ila kwa minajili ya kujifunza dini huwezi kupata majibu hapa JF. Kama uko serous tafuta hata sheikh atakusaidia pale ulipokwama

Ila kwa kukusaidia endelea kusoma hiyo hiyo Quran utapata majibu ya maswali yako yote uliyo nayo. Kama hujapata majibu kwa mara ya kwanza rudia tena kuisoma, nakuhakikishia utapata majibu ya maswali yote uliyo nayo.

Quran ni kitabu cha kipekee sana, kinaeleweka kwa urahisi kabisa.
masheikh wa mtaani ndio wako na mtandaoni pia,kama sio wao basi wanafunzi wao,kama majibu hakuna ni hayapo tu
 
nikitaka kuisoma taurat naitoa wapi?
Hivyo vya Mwanzo, Kutoka,Kumbukumbu la torati,Hesabu, na mambo ya walawi viliandikwa na nani?
Leo hii Quran ikipotea, waislam wote wakafa,bado itabaki kitabu cha muhammad ni Quran
 
Nakuuliza swali, na wewe unaniuliza. Ona, mimi sijawahi kusoma kuluwani wa hadithi. Nyie wenye kitabu chenu ndiyo mtujibu maswali yetu
Wenye kitabu kama tunafanya si maana yake tumetoa kwenye hicho kitabu!!
 
Back
Top Bottom