Waislamu; kwanini Adamu mnamwita Nabii, kwani alitenda unabii gani?

Biblia inayoaminiwa na qur an ni ile iliteremshwa kwa issa sio hii yenu ambayo haijulikani halisi ni ipi? Kwann nyote ni wakristo halafu muna biblia tofauti halisi ni ipi? Iweje uislamu uamin asilimia 100 dini ambayo haina kitabu maalumu kila mtu anajiamulia tu mara yesu mungu wengine mtoto wa mungu tunaamin vpi? We ushawah kusikia et kuna qur an tofaut toka uzaliwe?
Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa Ukristo chimbuko lake ni Dini ya Uyahudi... Hivyo wakristo husoma vitabu vya Kiyahudi pia, ndio maana Biblia ni kitabu cha agano la kale yani kabla ya Yesu na Agano jipya yani wakati na badaa ya Yesu.

Kwenye Biblia hakuna Issa, ila kama unayezungumzia ni Yesu, basi Yesu akushushiwa kitabu kama Mohammed... bali alizungumza moja kwa moja maneno ambayo badae yalinukuliwa na kuwekwa kwenye vitabu ambavyo vipo kwenye Agano jipya
 
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.

Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.

Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.

Tukija kwenye Maana ya UNABII

"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"

Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Wewe Kwa akili yako unahisi watoto wa Adam ni nani aliyewafundisha kuabudu Miungu na mambo mengine ya Ibada?

Tuanzie hapo kwanza
 
Waislamu utawaweza yaee .

Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)

Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.

Yakobo

Ibrahim

Isaka

Daudi

Yoroboamu

Samsoni......

Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.

Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.

Samsoni NI mnadhimu.

Ibrahim Baba WA mataifa.

Daudi nu mfalme WA Israel.
Inashangaza sana
 
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.

Adamu alikuwa na Mke mmoja tu aliyetajwa kwenye Quran, naye ni "Hawwa", na watoto wao waliotajwa ni Wawili tu ambao ni "Habil" wakristo umuita "Abel" na "Qabil" ambaye wakristo umuita "Cain" au Kaini kwa Kiswahili.

Quran imezungumzia maisha yote ya Adam kama Biblia ilivyoelezea. Vilevile Quran ikaelezea kisa cha Adam na Hawwa kula Tunda la mti wa kati lilizaa dhambi za hivi sasa. Japo Biblia anasema aliyeanza kudanganywa ni Hawwa, ila Quran inasema Shetani aliwadanganya wote kwa pamoja.

Tukija kwenye Maana ya UNABII

"Unabii maana yake ni ufunuo wa kimungu unaotolewa na Mungu kwa nabii ili awaongoze watu kwa haki, kuwafundisha maadili mema, na kuwaonya dhidi ya maovu"

Je ni kwenye Surah gani ya Quran, Adam alitenda unabii kwa mujibu wa maana ya unabii?
Kwasababu hawajui maana ya Nabii.
 
Waislamu utawaweza yaee .

Sauli alikuwa Nabii hii NI kweli kwasbabu sauli aliwai kuona maono .SASA waulize waislam n kweli (hawajui)

Katika uislamu kila mtu kabla ya Muhammad NI Nabii.

Yakobo

Ibrahim

Isaka

Daudi

Yoroboamu

Samsoni......

Hawa wote NI Manabii kulingana na Imani ya kiislamu.

Upande WA pili Hawa si Manabii Bali NI watu maarufu WA biblia.

Samsoni NI mnadhimu.

Ibrahim Baba WA mataifa.

Daudi nu mfalme WA Israel.
Suleiman mfalme wa Israel nae anaitwa nabii
 
Siyo muislamu ila kitendo cha Adam kuumbwa na Sir God mwenyewe kwa mkono wake na kuleta kizazi cha wana adamu wote ulimwenguni ana stahili kuitwa nabii.
Nyinyi si Huwa mnaenda kwa miongozo na Sunna za mtume. Tupe dalili basi
 
Ktk maisha nimegunduwa kwamba sometimes kubishana na mtu asiyejuwa kitu, kunampa faida ya kujifunza kupitia mabishano yako.
Ni vyema mtu kama hajui jambo aje straight aelekezwe kuliko kuja Kwa style ya kubishana ili ajifunze kutokana na mabishano yako..

Adam ni Mtume wa MUNGU ,na sio lazima Mtume wa MUNGU kufanya miujiza...
Mtume kivipi?
Alitumwa kwa watu gani?
 
Ingekuwa vyema uweke kifungu na sio blah blah.
Ukisoma Quran hususani Surah Al-Baqarah (2), Al-A'raf (7), and Al-Isra (17), habari ya Adamu na maisha yake kwa ujumla zinazungumziwa humo.
 
Biblia inayoaminiwa na qur an ni ile iliteremshwa kwa issa sio hii yenu ambayo haijulikani halisi ni ipi? Kwann nyote ni wakristo halafu muna biblia tofauti halisi ni ipi? Iweje uislamu uamin asilimia 100 dini ambayo haina kitabu maalumu kila mtu anajiamulia tu mara yesu mungu wengine mtoto wa mungu tunaamin vpi? We ushawah kusikia et kuna qur an tofaut toka uzaliwe?
Tuleteeni hyo biblia aliyoshushiwa issa tuone km nikweli.sasa na km sio halisi mbona mnafanya rejea kupitia biblia fake???
 
Kwanza unatakiwa kuelewa kuwa Ukristo chimbuko lake ni Dini ya Uyahudi... Hivyo wakristo husoma vitabu vya Kiyahudi pia, ndio maana Biblia ni kitabu cha agano la kale yani kabla ya Yesu na Agano jipya yani wakati na badaa ya Yesu.

Kwenye Biblia hakuna Issa, ila kama unayezungumzia ni Yesu, basi Yesu akushushiwa kitabu kama Mohammed... bali alizungumza moja kwa moja maneno ambayo badae yalinukuliwa na kuwekwa kwenye vitabu ambavyo vipo kwenye Agano jipya
Sawa katika aliyozungumza alisemaje yeye ni mungu au mwana wa mungu?
 
Nimeangalia comments nyingi ni za wagalatia wenyewe na hoja zenu zinaonyesha kabisa kuwa nyinyi ni watupu sana linapokuja jambo la kumjua Mungu wa kweli

Kazi ya Quran ni kufichua Yale ambayo makafiri wameyaficha Ili kuwapoteza watu

Ndio maana nyinyi mmefichwa kuwa Adam ndio nabii wa kwanza hapa Duniani maana wangekuambieni kuwa ni nabii mngewauliza alikuwa dini gani? Wangekosa jibu maana wangekuambieni kuwa Adam alikuwa mkristo ingekuwa ni kichekesho

Sasa Ili kuendelea kukupotezeni lazima muambiwe kuwa Adam alikuwa mpagani kama nyinyi

NABII NI NANI
Nabii ni mtu anayepokea ufunuo kutoka Kwa Mungu Kwa kuongea nae neno Kwa neno kama nabii MUSA au Kwa ndoto kama nabii IBRAHIM au Kwa malaika kama nabii MUHAMADI Ili hayo maagizo ayafikishe Kwa jamii inayomzunguka

Quran 2:37
Kisha Adam akapokea maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu.
Quran 2:38
Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.
Quran 2:39
Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu.

Hapo Adam anaambiwa shuka ukaishi Duniani na maagizo anapewa na anaambiwa atakayoyafuata ataenda peponi na atakaye yapinga ataenda Jahanamu
Kwahiyo pia Adam lilikuwa ni jukumu lake kuwafundisha wanawe kumjua na kumuabudu Mungu wa kweli

Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Jahanamu inakusubirini Kwa hamu
 
Tukiwaambia kwamba hili lijitabu ni fake mnasema oooh limeshushwa ona sasa kwenye hii sura allah anatumia wingi mwanzoni baadaye anatumia umoja hatarai sana
 
Umeshaelewa kuwa Adam alikuwa nabii hayo mengine ni nje ya mada

Ukitaka kujua Kwa Nini Allah ndani ya Quran Kuna sehemu anatumia wingi na sehemu nyingine anatumia umoja uliza hilo swali wataalam wapo watakufundisha

Waislam ndio kazi yetu kuwafundisha makafiri kama wewe Ili umjue Mungu wa kweli aliyekuumba Ili umuabudu

Maana Yesu hana uwezo hata wa kuumba sisimizi
 
Back
Top Bottom