camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Sasa mtaalam wewe si unifundishe mimi kafiri nisilimu!Umeshaelewa kuwa Adam alikuwa nabii hayo mengine ni nje ya mada
Ukitaka kujua Kwa Nini Allah ndani ya Quran Kuna sehemu anatumia wingi na sehemu nyingine anatumia umoja uliza hilo swali wataalam wapo watakufundisha
Waislam ndio kazi yetu kuwafundisha makafiri kama wewe Ili umjue Mungu wa kweli aliyekuumba Ili umuabudu
Maana Yesu hana uwezo hata wa kuumba sisimizi
Mind you! Kila asemaye "hakuna MUNGU isipokuwa allah" anakufuru na ni kafiri mkubwa mno!