Waislamu mjibu hili

Waislamu mjibu hili

Ety waislamu kwa mujibu wa mandiko hivii hao bicra 72 ambaoo tunakutana nao huko peponi ni warabu wazungu Latino America au wafrica?
sina cha kujibu, ngoja wenye imani waje wakujibu
 
Labda nikutonye tu, wenye imani hiyo wameona wakae kimya wasijibishane mitandaoni kuhusu dini yao. Wamo humu ndani uzi wanauona wanapita kimyakimya hutajibiwa. Adheist na wengine watakujibu kina namna hutaelewa
 
Ety waislamu kwa mujibu wa mandiko hivii hao bicra 72 ambaoo tunakutana nao huko peponi ni warabu wazungu Latino America au wafrica?
Unaambiwa peponi kila mtu atakua muarabu,huko hakuna ngozi nyeusi mana ngozi nyeusi ni alama ya laana.

Ndio maana kobazi wanakesha miskitini wakisugua mapaji ya uso yawe meusi ili wapate zawadi ya kuwa waarabu.
 
Ety waislamu kwa mujibu wa mandiko hivii hao bicra 72 ambaoo tunakutana nao huko peponi ni warabu wazungu Latino America au wafrica
Mbona hizi taarifa sisi waislam hatuna nyie mnatoa wapi?

Alafu mbona mnaichunguza sana pepo yetu si kila mtu abaki na ya kwake nyie kaimbeni peponi sisi tuacheni tule nyeto kwenye pepo yetu tusifuatiliane kwenye raha bhnaaa
 
Ety waislamu kwa mujibu wa mandiko hivii hao bicra 72 ambaoo tunakutana nao huko peponi ni warabu wazungu Latino America au wafrica?
Katika dini ya Kiislamu, hadithi kuhusu wake wa peponi, ikijulikana kama "hur al-‘ayn," inazungumzia wanawake wa ajabu wa peponi ambao Waislamu wanaamini watawapata katika maisha ya baadaye.

Hadithi hizi zinapatikana katika baadhi ya maandiko ya Kiislamu, lakini hazielezi waziwazi kuhusu asili ya kabila au rangi ya hawa wanawake.

Kimsingi, mandiko haya yanaonyesha kuwa hur al-‘ayn ni viumbe wa kiroho, na sio watu walio hai duniani, hivyo hawana asili maalum kama vile Waarabu, Wazungu, Wafrica, au watu wa Latino America.

Wanaweza kufikiriwa kama mfano wa uzuri na neema katika ulimwengu wa pili.

Kwa hivyo, ni vigumu kusema ni nani hasa hawa "bicra 72," kwani hadithi hizi zinaweza kutafsiriwa kwa njia tofauti na zinaweza kuwa na maana ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili.
 
Back
Top Bottom