Waislamu mliofanikiwa kwa Elimu ya Shule za Mission badala ya Madrasa kuweni na Shukrani kwa Wakristo waliowafikisha hapo mlipo

Kwamba waislamu hawaibi kwa sababu madrassa zimewasaidia kuwa waaminifu?

Hawa akina Bashe ,Makamba,kina JK,kina GSM wnalalamikiwa sana na Kuna nyuzi kibao humu za mambo yao ya hovyo na ufisadi.

Au wao hawakupita madrassa?
 
Ungewakumbusha moja ya sababu ya waislamu wengi kuogopa watoto wao kusoma shule za mission ni kuogopa watoto wao kubadilishwa dini ndio maana mw. Nyerere alitaifisha shule za dini ili watu wote wasome lakini ndio Kila siku wanamtukana kwa kumsingizia alileta mfumo wa kikiristo..
 
Kuna jambo gani limetokea? Sio bure kipindi hiki cha saba saba ukaibuka na hii mada. Ila umesema kweli, JK anajua ukweli huu.
 
Naunga mkono

JK na Prof Lipumba
 
Mzee wa Pumba
Kama kawaida yako
Baada ya kuona teuzi zinakupita pamoja na kumsifia sana Mama sasa umeamua kama mbwai iwe mbwai
Halafu umeandika kitoto sana bila vituo, mkato wala hata paragraph hujui kuzipangilia
 
Na kuambiwa wakienda kusoma watalishwa nguruwe.

Mfano Namupa seminary kulikuwa na nguruwe wengi sana. Sina uhakika kama siku hizi wanafuga nguruwe au wameacha.
 
Mkuu pascal Mayala kama kawaida umeandika andiko kuntu lililojaa ukweli na uhalisia lakini huu ni UKWELI MCHUNGU kwa baadhi ya Waislam hasa Mzee Mohamed Said Na hapa anaweza kuleta kisebusebu na ujuaji wa kupinga mada yako

Ila kuna Waislam waelewa hawawezi kukupinga, haiwezekani asilani mtu akutoe tongotongo la ujinga halafu leo kisa umejua kuvaa suti na kufunga tai uanze kujiinua na kutokuwa na shukran

Namsuburi ndugu zake Bakari Mwapachu, Juma Mwapachu, Dossa Aziz na Bibi Titi Mohamed aje akupinge
 
Wengi walibadilisha Majina kwa mfano hata wa Msoga aliitwa Philip, kuna kina Lipumba na wengine wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…