Mohamed SaidHali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Sina uhakika kama utawala wa kikoloni ulikuwa ukiwabagua Watanganyika kwa misingi ya dini. Kama si baba yake, basi ni babu yake Jakaya Kikwete. Alikuwa mmoja wa viongozi kipindi cha ukoloni, kama sijakosea. Nafikiri alikuwa mkuu wa wilaya.Kinacho ni shangaza ni kwamba mleta mada ni msomi mwana hustoria ila ameshindwa kujua kwamba "mission school and colonial schools are two sides of the same coine" ukueleza source of income of the colonial government, waislamu hawakua sehemu ya colonial economy watatoa je shukurani wakati pesa ilio tumika ilitokana na labourforce ya colonial economy.
Acha kupotosha mr P the colonial government alikua na kusudio la kubagua waislamu kwa kuwanyima elimu dunia na government posts kwa kutumia colonial bureacracy.
1. Waislamu walisaidia sanaa hi nchi kufika hapa tulipo hususani kupata uhuru kwasbb wa kuristo wengi walikua part and parcel of colonial state. (Collaborators) ni juhudi za waislamu tuliweza kuunda vuguvugu za kuomba uhuru.
2. Waislamu wanapaswa kupewa fidia na state appology kwa kunyanyaswa na kuporwa mali zao kubaguliwa na wa colony pamoja callaborators wao.kuna siku tutapata Raisi wa kufidia waislamu mali zao walizo poteza kwa ajiri ya nchi hi.
3. Waislamu ndo wamekaribisha na kukarimu wa kuristu kufika hapo walipo, Nyerere hakua na ndugu dar es salaam au jamaa waislamu walimuamini wakamfundisha ustaarabu wa kukaa mjini wakamlipa mshahara kwa pesa zao lakini badaye aliwageuka wa fuata wa kuristo wenzake.
4. Nyie wa kuristo mfikie mahara mpende waislamu na muwepe vote of appreciation kwa sacriface ya nchi hi, muache kushupaza shingo kwasbb ya elimu mlizo pata sasa, waislamu wasingejiyolea mgefia huko mikoani kwenu.
Soma historia ya pattern distrubution of colonial schools and colleges? Kwanini sehemu kama ujiji tabora pwani hawakua colonial schools? Its was a delibarate move to segregate muslim community from colonial education,Sina uhakika kama utawala wa kikoloni ulikuwa ukiwabagua Watanganyika kwa misingi ya dini. Kama si baba yake, basi ni babu yake Jakaya Kikwete. Alikuwa mmoja wa viongozi kipindi cha ukoloni, kama sijakosea. Nafikiri alikuwa mkuu wa wilaya.
Nipo sahihi?
Toa na bandiko la kuwashukuru watu wa Dar na pwani kwa ujumla wake kwa kuwapokea watu wa pande zote za nchi na kufundishwa ustaarabu kama wakujiosha baada ya kutoka maliwatoni.Wanabodi,
Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.
Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli kweli, hivyo Watanzania wengi waliemika kupitia Shule za Mission.
Elimu ya madrasa iliwahusu Waislamu pekee, lakini shule za serikali na shule za Mission zilichukua watu wa dini zote bila ubaguzi wowote.
Hivyo Watanzania wengi wa zamani waliobahatika kusoma elimu ya secondary, walisoma shule za misheni.
Kilichofanya Wakristo wengi zaidi kuwa ni wasomi kuliko Waislamu, ni changamoto ya ada za shule.
Watoto wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliweza kusoma zaidi kwasababu wazazi wao waliweza kulipa ada, kutokana na kupata kipato, lakini watoto wa mikoa ambayo haikuwa na mazao ya biashara ikiwemo mikoa yote yenye Waislamu wengi, hawakubahatika kupata elimu ya kisasa.
Hali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kitu kizuri sana Shule za Mission zilichowafanyia Watanzania, akitokea Mwanafunzi very bright, akafanya vizuri mitihani yake na kufaulu vizuri, wale waalimu wa shule za Mission, usually makasisi, waliwachukua watoto hao na kuwasomesha bure, hivyo ndio wengi wa wasomi wa Kiislamu walivyopatikana, hivyo watu kama Juma Mwapachu na nduguye Bakari, kina Hamza Aziz, Inspector Rashid na Waislamu wengi wa enzi hizo, walisoma sekondari kwa hisani ya Shule za Mission.
Hisani hii, sio kwa ndugu zetu Waislamu pekee, hata Wakristo kutoka maeneo ambayo hawana mazao ya biashara, hivyo umasikini wa kipato unasababisha watoto wao hawezi kulipiwa ada, na kutosoma sana.
Hivyo wasomi wa mikoa ya Singida na Dodoma, kama kina John Samwel Malecela na nduguye Job Lusinde, washukuru sana Mission, vinginevyo bila hisani ya Shule za Mission, kuna watu wangeishia kuchunga mbuzi au kupiga dufu au kuadhini tuu lakini sasa ni wasomi wazuri na waandishi mahiri kwa hisani ya Shule za Mission.
Hivyo hili ni bandiko la kuwakumbusha ndugu zetu Waislamu waliofaidika na hisani ya kusomeshwa shule za Mission, wakumbuke fadhila, wawe ni watu wa shukrani, wawashukuru sana Wakristo, wazishukuru shule za Mission walizosomea, na kuwashukuru wale Makasisi waliowaokoa.
Ukifadhiliwa, usiwe mtovu wa fadhila, haiwezekani mtu ufadhiliwe shule za Mission, halafu kila uchao ni kuwabeza tuu Wakristo na kuwatukuza Waislamu, mara kulalamikia mfumo Kristo, mara kulalamika....
Inaendelea
Paskali
Mzee Mohamed Said unaitwa huku kuna vita imeanzishwaHali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
na sisi waislam wa norway ilan quatar tuwashukuru wakina nani? NB shukran sio lazima....tunaishi kwa kutegemeana......watu wote wana haki sawa.....udini hauna nafasi....@Wanabodi,
Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.
Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli kweli, hivyo Watanzania wengi waliemika kupitia Shule za Mission.
Elimu ya madrasa iliwahusu Waislamu pekee, lakini shule za serikali na shule za Mission zilichukua watu wa dini zote bila ubaguzi wowote.
Hivyo Watanzania wengi wa zamani waliobahatika kusoma elimu ya secondary, walisoma shule za misheni.
Kilichofanya Wakristo wengi zaidi kuwa ni wasomi kuliko Waislamu, ni changamoto ya ada za shule.
Watoto wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliweza kusoma zaidi kwasababu wazazi wao waliweza kulipa ada, kutokana na kupata kipato, lakini watoto wa mikoa ambayo haikuwa na mazao ya biashara ikiwemo mikoa yote yenye Waislamu wengi, hawakubahatika kupata elimu ya kisasa.
Hali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kitu kizuri sana Shule za Mission zilichowafanyia Watanzania, akitokea Mwanafunzi very bright, akafanya vizuri mitihani yake na kufaulu vizuri, wale waalimu wa shule za Mission, usually makasisi, waliwachukua watoto hao na kuwasomesha bure, hivyo ndio wengi wa wasomi wa Kiislamu walivyopatikana, hivyo watu kama Juma Mwapachu na nduguye Bakari, kina Hamza Aziz, Inspector Rashid na Waislamu wengi wa enzi hizo, walisoma sekondari kwa hisani ya Shule za Mission.
Hisani hii, sio kwa ndugu zetu Waislamu pekee, hata Wakristo kutoka maeneo ambayo hawana mazao ya biashara, hivyo umasikini wa kipato unasababisha watoto wao hawezi kulipiwa ada, na kutosoma sana.
Hivyo wasomi wa mikoa ya Singida na Dodoma, kama kina John Samwel Malecela na nduguye Job Lusinde, washukuru sana Mission, vinginevyo bila hisani ya Shule za Mission, kuna watu wangeishia kuchunga mbuzi au kupiga dufu au kuadhini tuu lakini sasa ni wasomi wazuri na waandishi mahiri kwa hisani ya Shule za Mission.
Hivyo hili ni bandiko la kuwakumbusha ndugu zetu Waislamu waliofaidika na hisani ya kusomeshwa shule za Mission, wakumbuke fadhila, wawe ni watu wa shukrani, wawashukuru sana Wakristo, wazishukuru shule za Mission walizosomea, na kuwashukuru wale Makasisi waliowaokoa.
Ukifadhiliwa, usiwe mtovu wa fadhila, haiwezekani mtu ufadhiliwe shule za Mission, halafu kila uchao ni kuwabeza tuu Wakristo na kuwatukuza Waislamu, mara kulalamikia mfumo Kristo, mara kulalamika....
Inaendelea
Paskali
Washukuru kwasababu gani? Walisomeshwa bure?Sio vibaya, amewakumbusha tu
Ndio walisomeshwa bure kabisaWashukuru kwasababu gani? Walisomeshwa bure?
Ni yaleyale mashambulio ya kidini tu.
Kua huru amini katika upendo tu.
Baba yao mwenyewe alikosa shukrani pamoja nakupewa sifa lukuki-; Nyota ya alfajiri , mwana wa asubuhi, aliishia kufukuzwa itakuwa Hawa wafuasi wake?😫Wanabodi,
Watanzania wote waliosoma enzi za mkoloni mpaka tunapata uhuru, tumekuwa na elimu ya aina 3. Shule za serikali, Government Schools, Shule za Mission, na elimu ya madras kwa ndugu zetu Waislamu.
Shule za serikali zilikuwa chache na zilichukua wanafunzi wachache tena vichwa kweli kweli, hivyo Watanzania wengi waliemika kupitia Shule za Mission.
Elimu ya madrasa iliwahusu Waislamu pekee, lakini shule za serikali na shule za Mission zilichukua watu wa dini zote bila ubaguzi wowote.
Hivyo Watanzania wengi wa zamani waliobahatika kusoma elimu ya secondary, walisoma shule za misheni.
Kilichofanya Wakristo wengi zaidi kuwa ni wasomi kuliko Waislamu, ni changamoto ya ada za shule.
Watoto wa mikoa yenye mazao ya biashara, waliweza kusoma zaidi kwasababu wazazi wao waliweza kulipa ada, kutokana na kupata kipato, lakini watoto wa mikoa ambayo haikuwa na mazao ya biashara ikiwemo mikoa yote yenye Waislamu wengi, hawakubahatika kupata elimu ya kisasa.
Hali hii ilipelekea hata uendeshaji wa harakati za uhuru, kuongozwa na wasomi Wakristo, mfano vyama vyote vya siasa vilivyopigania uhuru, kuanzia AA kiliongozwa na Mkristo, Cecil Matola, TAA ikaongozwa na Dr. Vedastus Kyaruzi na TANU ikaongozwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Kitu kizuri sana Shule za Mission zilichowafanyia Watanzania, akitokea Mwanafunzi very bright, akafanya vizuri mitihani yake na kufaulu vizuri, wale waalimu wa shule za Mission, usually makasisi, waliwachukua watoto hao na kuwasomesha bure, hivyo ndio wengi wa wasomi wa Kiislamu walivyopatikana, hivyo watu kama Juma Mwapachu na nduguye Bakari, kina Hamza Aziz, Inspector Rashid na Waislamu wengi wa enzi hizo, walisoma sekondari kwa hisani ya Shule za Mission.
Hisani hii, sio kwa ndugu zetu Waislamu pekee, hata Wakristo kutoka maeneo ambayo hawana mazao ya biashara, hivyo umasikini wa kipato unasababisha watoto wao hawezi kulipiwa ada, na kutosoma sana.
Hivyo wasomi wa mikoa ya Singida na Dodoma, kama kina John Samwel Malecela na nduguye Job Lusinde, washukuru sana Mission, vinginevyo bila hisani ya Shule za Mission, kuna watu wangeishia kuchunga mbuzi au kupiga dufu au kuadhini tuu lakini sasa ni wasomi wazuri na waandishi mahiri kwa hisani ya Shule za Mission.
Hivyo hili ni bandiko la kuwakumbusha ndugu zetu Waislamu waliofaidika na hisani ya kusomeshwa shule za Mission, wakumbuke fadhila, wawe ni watu wa shukrani, wawashukuru sana Wakristo, wazishukuru shule za Mission walizosomea, na kuwashukuru wale Makasisi waliowaokoa.
Ukifadhiliwa, usiwe mtovu wa fadhila, haiwezekani mtu ufadhiliwe shule za Mission, halafu kila uchao ni kuwabeza tuu Wakristo na kuwatukuza Waislamu, mara kulalamikia mfumo Kristo, mara kulalamika....
Inaendelea
Paskali
Kama ni hivyo sina neno..Ndio walisomeshwa bure kabisa
"What goes around comes around"Wanabodi,

Sio kulia bali nimefafanua tu kuhusu Madrasa na mengineHivi kwanini huwa hampendi ukweli na mnapenda kulialia sana? Sasa hapa unapinga nini?
Unaweza kuweka ushahidi wa School Fee waliochajiwa hao waislam unaosema walilipia? Ni kiasi gani walicholipa?
Hakuna hata mmoja aliyelipishwa AdaKama walilipa Ada tena kubwa tu .. ni win win situation .. ushawahi kurudi kumshukuru Dktr baada ya Tiba au unakimbilia madhahabuni kutoa shukran
Wewe hivyo vituo, mkato na aya vipo Wapi?Mzee wa Pumba
Kama kawaida yako
Baada ya kuona teuzi zinakupita pamoja na kumsifia sana Mama sasa umeamua kama mbwai iwe mbwai
Halafu umeandika kitoto sana bila vituo, mkato wala hata paragraph hujui kuzipangilia