Waislamu Mnafeli wapi?

Faith transcends logic, which means through faith we understand.

At first, faith and logic seem to be contradictory to each other, yet understanding seems to transcend or to rise above logic

Through faith we understand many things that at first appear quite illogical to us.
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo, acha longolongo.
 
Wewe umethibitisha hayupo?
Wewe ndio uache longolongo Kwa kudhani kwamba elimu yako ya logic ndio jibu Kwa kila jambo.
Nikuambie tu kuwa una mkwamo wa fikra hapo ulipo ndio maana kila mahali ume stick na hiyo hoja ya thibitisha Mungu yupo.
Wewe umethibitisha hayupo?
Unataja na kutamka kila uchao kitu ambacho Kwa ufahamu wako unajua hakipo,ni dhahiri shayiri kuwa kinakutesa na uwepo wake,sasa unapambana vita usiyoweza kushinda ya kutaka kulazimisha kuwa hakipo.
Akili yako inakusumbua.
Lete uthibitisho kuwa hakipo.
Mimi na wengine tumeshathibitisha kuwa Mungu yupo.
Kwa Imani tumethibitisha Mungu yupo.
Najua mara Moja utakimbilia kwenye hoja zako za siku zote zisizonyumbulika kuwa ni Abstract,yes ni Abstract Kwa mujibu wako.
Ni dhahiri Kwa mujibu wa Imani zetu,wale tuaminiao.
 
Kwa kifupi huna ufahamu kuhusu Imani ya Mungu ndio sababu imekuwa ngumu kwako kuamini na ku stick kutaka uthibitisho.
Kwa Imani tunapata kufahamu na Kujua kuwa Mungu yupo,Imani inatubadilisha sisi na kuweza kufahamu na kuruhusu uwepo wa jambo lisilo onekana kuwa dhahiri.
 
Mimi huwa najiuliza hivi kwanini huyo mungu asijithibitishe mwenyewe anawaachia watu mzigo mzito wa kumjibia maswali magumu?
 
Mimi huwa najiuliza hivi kwanini huyo mungu asijithibitishe mwenyewe anawaachia watu mzigo mzito wa kumjibia maswali magumu?
Hawezi kujithibitisha yupo.

Kwa sababu hayupo.

Asiyepo atajithibitishaje kwamba yupo?
 
Mimi huwa najiuliza hivi kwanini huyo mungu asijithibitishe mwenyewe anawaachia watu mzigo mzito wa kumjibia maswali magumu?
Zaburi 53:1

Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu!” Wote wamepotoka kabisa, wametenda mambo ya kuchukiza; hakuna hata mmoja atendaye jema.

WAPUMBAVU WAZIDI KUONGEZEKA NA WANA JAZBA KWELI KWELI.
 
Zaburi 53:1

Wapumbavu hujisemea moyoni: “Hakuna Mungu!” Wote wamepotoka kabisa, wametenda mambo ya kuchukiza; hakuna hata mmoja atendaye jema.

WAPUMBAVU WAZIDI KUONGEZEKA NA WANA JAZBA KWELI KWELI.
Sasa ndio umtoe huo upumbavu kwa kumthibitishia kwamba mungu yupo sio kuleta hayo mashairi unayoleta hapa
 
Upumbavu wako omba Mungu akupe hekima ya kuachana nao sio Mimi.
Mimi nakupa habari tu.
Huelewi pita hivi,unaelewa swallow your ego.
 
Kwaiyo mtu kutoamini unachokiamini wewe ni upumbavu sio?
 
Mimi sipendi mabishano ya kidini.
Ujue dini Ni mkataba Kati ya mtu na muumba wake, haimhusu MTU mwingine.
Sasa hizi habari Mara dini ya haki, Mara makafir, Mara shehe ubwabwa, Mara mabikra 70 nadhani hapa sio mahali pake.
 
Kuna ukweli flani hapa, namm naongezea kwanini kitabu chao tukufu kinaweza kupigwa kisomo na kutumwa jini likaenda kumdhuru mtu na kuuwawa na hilo jini au kumdhuru hata kua chizi,utasikia huyo aliiba akapigwa albadili
 
🍹
 
Attachments

  • 20231114_115252.jpg
    69.7 KB · Views: 5
Uislam una amfundisho yake, usimfate mtu kwa kuwa tu anajiita "Muislam" au "sheikh", fata mafundisho yake, Uislam siyo dini ya kuifata kama kipofu tu au kama wajinga ndiyo waliwao.

Soma Qur'an.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…