Japo uislamu huwa sikubaliani nawo kabisa, haswa kwa mafundisho yao ya kuwafanya vijana wanabadilika na kuwa mazombi wa kujilipua lipua mabomu, lakini hili la mavazi kwa kweli huwa nawapa waislamu heko.
Hawa wanawake wetu hawajui jinsi wanatupea mitihani kwa kutembea nusu uchi, jameni mwanamke ameachia vitu vyote nje na ukivitazama au kuonyesha kwamba umevitamani anakurushia jicho kali lenye chuki, sijui huwa wanataka tufanyeje, tutembee kama tumefumba macho au vipi.
Hakuna mwanaume kamili ambaye anaweza kupishana na mwanamke wa kihivyo na asihisi kutamani, labda kama mwanaume mwenye mapungufu ya kiaina.