Waislamu Mombasa Kenya walalamikia mavazi ya nusu uchi + Sauti

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya vijana kuvaa mavazi yasiyo ya heshima na kutoa mwito kwa serikali ya Kenya kuiga mfano wa Uganda ambayo inashinikiza mavazi ya heshima hasa katika maeneo ya umma.

Chanzo; Pars today
 
Japo uislamu huwa sikubaliani nawo kabisa, haswa kwa mafundisho yao ya kuwafanya vijana wanabadilika na kuwa mazombi wa kujilipua lipua mabomu, lakini hili la mavazi kwa kweli huwa nawapa waislamu heko.

Hawa wanawake wetu hawajui jinsi wanatupea mitihani kwa kutembea nusu uchi, jameni mwanamke ameachia vitu vyote nje na ukivitazama au kuonyesha kwamba umevitamani anakurushia jicho kali lenye chuki, sijui huwa wanataka tufanyeje, tutembee kama tumefumba macho au vipi.

Hakuna mwanaume kamili ambaye anaweza kupishana na mwanamke wa kihivyo na asihisi kutamani, labda kama mwanaume mwenye mapungufu ya kiaina.
 
Kajifunze kiswahili kwanza
 
Back
Top Bottom