Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Lakini michezo yenyewe imekaa kujihami [emoji2][emoji2][emoji2] vipi kuhusu muziki sheikh na mvinyo kidogo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3]Mkuu unaielewa ile miskiti ya Ansar Sunna ambayo Baada Salaatul Ishaa waumini walikua wanajifungia ndani kwa Ajili ya mafunzo ya Karate?
[emoji23]Waalimu wengi wa Karate ni waislam.
ngumi zao zina majina na milio tofauti tofauti na kila ngumi ina huduma yake:-
kuna ngumi ya kukufanya uzimie.
kuna ngumi ya kukukata pumzi ushindwe kuhema.
kuna ngumi ya kulainisha choo yani unaharisha dk 0 tu.
alafu kuna ngumi ya kuweka akili yako sawa kama umejitoa ufahamu.
duh!,hatari tupu.
Hapana, karate ni mchezo ulioanzishwa karne ya 15+, MTUME aliishi karne ya 7, kwa mujibu wa riwaya sahihi, mchezo aliocheza walau unaofanana na huo ni mielekaVipi alicheza pia makaratee??
Huna jipya ww ni bora ungekaa kimya tu ungestirika kwan kile kisiwa kina inauhusiano gani Na maswala ya kiimanDuh aiseee mna mambo mara ni haram mara imehalalishwa hamna misimamo
NB; Zenji hawaruhusu mieleka wala ngumi
Huna jipya ww ni bora ungekaa kimya tu ungestirika kwan kile kisiwa kina inauhusiano gani Na maswala ya kiiman
Kwahyo unataka useme Quran haijitoshelezi ?Kuamini quraan pasina kufata maisha ya mtume ni uwongo, mtume ndio tafsiri ya quraan, mungu anasema mswali mmaswali vipi, yeye ndio alikiwa anaonesha, mtume ndio kiigizo chema. Changamoto kwenye hadithi watu wameingiza na mengine kwa faida zao, ukiona hadithi inakinzana na quraan ikwepe.
Vizuri.Muislamu ambae anaamini Qur'an pekee hajawa muislamu safi huyu mana mambo mengi yatamfunga bila.ya kutumia hadithi sahihi
Mtume ni sehemu ya quraan, huwezi kutenganisha.Kwahyo unataka useme Quran haijitoshelezi ?
Kwamba, mtu akiamini Quran pekee bila hadithi atakwama mwa sababu Quran haijitoshelezi ?
Ww unauliza hivi ni Muislamu ? Au vipi?Vizuri.
Unataka kusema Quran haijitoshelezi ?
Waislamu wamekaa kizembe! wakati mitaani wanaoongoza kwa kumiliki mikanda ya karate ni masheikh?