jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Wapagani ndio watu gani acha upuuj wewe.Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu.
Walichokifanya serikali ni uhuni na uhujumu wa imani kwa kuingilia mambo ya kiimani. Sote tunajua serikali haina dini, hivyo haipaswi kuingilia mambo ya kiimani hata kidogo. Kama hawaelewi mahubiri ya Dr Gwajima ni bora wangehudhuria madhabahuni kwake wapate ufafanuzi wa kiroho badala ya kufunga kanisa kisiasa kwa kulizingira na mabaunsa wenye bunduki.
Miongoni mwa watu ambao Gwajima anawatetea ni mapadre na mashehe waliokwisha kutekwa na kuuawa. Tumeshuhudia majuzi mapadre na mashehe wanatekwa na kuuawa. Na siku chache zilizopita padre Kitima alinusurika kufa baada ya kupigwa rungu kichwani na mpaka sasa yupo mahututi hospitalini. Cha ajabu yule "mtu" aliyempiga rungu hadi sasa hatujasikia akifikishwa mahakamani.
Kwa upande wetu waislamu, mashehe wetu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila sababu za msingi. Lakini cha kushangaza hadi sasa sio waislamu wala wakatoliki waliokemea wala kutoa tamko kuhusu haya mauaji yanayoendelea.
Ni lini hasa waislamu na wakatoliki mtaanza kupaza sauti kuhusu udhalimu wa serikali ya CCM kuingilia mambo ya dini kwa kutafsiri kipotovu mahubiri ya kibiblia wakitaka manabii na maaskofu wahubiri upagani ghairi ya imani? Hili halikubaliki. Waislamu na wakristo hebu amkeni kumekucha kabla nanyi hamjaanza kufungiwa.
Kumbuka huu ni kama mtego wa panya. Wakimaliza kufuta kanisa la Gwajima watakuja kufuta uislamu na ukatoliki ili nchi ibaki kwenye giza nene la kuabudu mizimu na mashetani kupitia damu za raia wasiokuwa na hatia wanaotekwa na kuuawa kila kukicha. Please wake up yourselves before being awakened!
MAONI YANGU
Haipingiki kuwa serikali imejaa wapagani na inaendeshwa kwa misingi ya kipagani. Gwajima ni mtu wa Mungu na anahubiri kwa uwezo wa roho mtakatifu. Katika biblia kuna amri inayokataza kuua. Hapa ndipo mahubiri ya Gwajima yamejikita kwa kukemea utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Na amefafanua vizuri kuwa kama hawo wanaotekwa na kuuawa wana makosa ya jinai, basi wakamatwe wapelekwe mahakamani wafunguliwe mashtaka badala ya kuuliwa na kutupwa kama mbwa mahali pasipojulikana. Kosa la Gwajima ni lipi hapa? Ni kusimamia imani yake ya kiroho?
Ikiwa serikali inaingilia hadi amri kumi zilizomo kwenye biblia zisifundishwe makanisani, basi iifute kabisa biblia takatifu na kutunga biblia ya kipagani iwe inatumika makanisani. Hatuwezi kuvumilia kuona biblia takatifu ya kanisa inasiginwa na wapagani (serikali) tukiwa tumekaa kimya.
Gwajima yupo sahihi sana mkuu. Hatuwezi kufumbia macho mauaji haya ya kishetani yanayoendelea hapa nchini. Lazima tukemee kwa nguvu zetu zote na kwa ukali.
Mkuu hata kama Gen Z wa TZ wamejikita kwenye goli la mama ipo haja ya kuwaamsha kutoka usingizini warudi kuikemea serikali hii ya kipgani isiturejeshe kwenye upagani. Kitendo cha kuifungia huduama ya Ufufuo na Uzima na kuwalazimisha waumini wabaki nyumbani ni sawa na kuwalazimisha wananchi kuwa wapagani na kufuata msingi ya kipagani ya serikali ya CCM. Hatuwezi kukaaa kimya, lazima tukemee ushenzi huu kwa nguvu zetu zote.
Kanisa huwa halina wafuasi wa mtu humfuata KristoKulifungia kanisa kwa makosa ya mtu mmoja sio sahihi, wangemwita na kusikliiza utetezi wake na kumhukumu gwajima kama gwajima
Kanisa na waumini kosa lao ni lipi? Hapo ni kuwaadhibu na waumini wasio na kosa
Siwezi kumtetea Tapeli huyu. Alipewa ubunge na Magufuli, na hakuwahi kumsema Magufuli mwanzilishi wa utekaji na uuaji. Halafu niko Kawe hakuna lolote alilofanya kama mbunge.Mkuu tusahau yaliyopita. Adui yetu kwa sasa ni mmoja tu.....serikali ya CCM.
Huyu Gwajima ni muhuni tuu kama Mbowe.Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu.
Walichokifanya serikali ni uhuni na uhujumu wa imani kwa kuingilia mambo ya kiimani. Sote tunajua serikali haina dini, hivyo haipaswi kuingilia mambo ya kiimani hata kidogo. Kama hawaelewi mahubiri ya Dr Gwajima ni bora wangehudhuria madhabahuni kwake wapate ufafanuzi wa kiroho badala ya kufunga kanisa kisiasa kwa kulizingira na mabaunsa wenye bunduki.
Miongoni mwa watu ambao Gwajima anawatetea ni mapadre na mashehe waliokwisha kutekwa na kuuawa. Tumeshuhudia majuzi mapadre na mashehe wanatekwa na kuuawa. Na siku chache zilizopita padre Kitima alinusurika kufa baada ya kupigwa rungu kichwani na mpaka sasa yupo mahututi hospitalini. Cha ajabu yule "mtu" aliyempiga rungu hadi sasa hatujasikia akifikishwa mahakamani.
Kwa upande wetu waislamu, mashehe wetu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila sababu za msingi. Lakini cha kushangaza hadi sasa sio waislamu wala wakatoliki waliokemea wala kutoa tamko kuhusu haya mauaji yanayoendelea.
Ni lini hasa waislamu na wakatoliki mtaanza kupaza sauti kuhusu udhalimu wa serikali ya CCM kuingilia mambo ya dini kwa kutafsiri kipotovu mahubiri ya kibiblia wakitaka manabii na maaskofu wahubiri upagani ghairi ya imani? Hili halikubaliki. Waislamu na wakristo hebu amkeni kumekucha kabla nanyi hamjaanza kufungiwa.
Kumbuka huu ni kama mtego wa panya. Wakimaliza kufuta kanisa la Gwajima watakuja kufuta uislamu na ukatoliki ili nchi ibaki kwenye giza nene la kuabudu mizimu na mashetani kupitia damu za raia wasiokuwa na hatia wanaotekwa na kuuawa kila kukicha. Please wake up yourselves before being awakened!
MAONI YANGU
Haipingiki kuwa serikali imejaa wapagani na inaendeshwa kwa misingi ya kipagani. Gwajima ni mtu wa Mungu na anahubiri kwa uwezo wa roho mtakatifu. Katika biblia kuna amri inayokataza kuua. Hapa ndipo mahubiri ya Gwajima yamejikita kwa kukemea utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Na amefafanua vizuri kuwa kama hawo wanaotekwa na kuuawa wana makosa ya jinai, basi wakamatwe wapelekwe mahakamani wafunguliwe mashtaka badala ya kuuliwa na kutupwa kama mbwa mahali pasipojulikana. Kosa la Gwajima ni lipi hapa? Ni kusimamia imani yake ya kiroho?
Ikiwa serikali inaingilia hadi amri kumi zilizomo kwenye biblia zisifundishwe makanisani, basi iifute kabisa biblia takatifu na kutunga biblia ya kipagani iwe inatumika makanisani. Hatuwezi kuvumilia kuona biblia takatifu ya kanisa inasiginwa na wapagani (serikali) tukiwa tumekaa kimya.
Mkuu namuombea msamaha kwa hili. Pengo naye alizingua ndio maana Askofu alimpa vidonge vyake. Anyway, hayo yote yamepita, tugange yajayo. Tusikubali kamwe serikali ya kipagani ya CCM iturudishe kwenye upagani wa mpinga kristo (namba 666).Tena alimtukana sana tu kardinali Pengo
Gwajima hana adabu.Apambane na hali yake
Kardinali Pengo is not his equal
Kwani wana taabu gani mbona kuna viyoyozi vya kutosha mkuu? Ina maana waumini wakiwa wanasalia mle hana haki ya kukemea utekaji na mauaji ya kinyama yanayoendelea hapa nchini?Miaka yote anakusanya hela bado watu wanasali kwenye banda kama lile
Inawezekana upo sahihi lakini tusigawanyike hata kidogo wakati tunapopinga utekaji na mauaji kwani hujui kesho itakuwa zamu ya nani....huenda ukawa wewe au mmoja wa ndugu zako wa karibu. Inauma sana jinsi wanavyowateka ndugu zetu wanawaua na kutupa miili kama mbwa kusikojulikana na kutunyima fursa ya kuwahifadhi wapendwa wetu kiutu.Siwezi kumtetea Tapeli huyu. Alipewa ubunge na Magufuli, na hakuwahi kumsema Magufuli mwanzilishi wa utekaji na uuaji. Halafu niko Kawe hakuna lolote alilofanya kama mbunge.
Usikubali kutumika kupitisha agenda za tapeli
Hiyo comment uliyoijibu mko mizani moja, nadhani umekosea!Kaka
kaka uwage na kumbukumb hiv juz padre aliyepigwa juzi alikuwa anakemea nini?
Dini na siasa havitengamani.Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu.
Walichokifanya serikali ni uhuni na uhujumu wa imani kwa kuingilia mambo ya kiimani. Sote tunajua serikali haina dini, hivyo haipaswi kuingilia mambo ya kiimani hata kidogo. Kama hawaelewi mahubiri ya Dr Gwajima ni bora wangehudhuria madhabahuni kwake wapate ufafanuzi wa kiroho badala ya kufunga kanisa kisiasa kwa kulizingira na mabaunsa wenye bunduki.
Miongoni mwa watu ambao Gwajima anawatetea ni mapadre na mashehe waliokwisha kutekwa na kuuawa. Tumeshuhudia majuzi mapadre na mashehe wanatekwa na kuuawa. Na siku chache zilizopita padre Kitima alinusurika kufa baada ya kupigwa rungu kichwani na mpaka sasa yupo mahututi hospitalini. Cha ajabu yule "mtu" aliyempiga rungu hadi sasa hatujasikia akifikishwa mahakamani.
Kwa upande wetu waislamu, mashehe wetu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila sababu za msingi. Lakini cha kushangaza hadi sasa sio waislamu wala wakatoliki waliokemea wala kutoa tamko kuhusu haya mauaji yanayoendelea.
Ni lini hasa waislamu na wakatoliki mtaanza kupaza sauti kuhusu udhalimu wa serikali ya CCM kuingilia mambo ya dini kwa kutafsiri kipotovu mahubiri ya kibiblia wakitaka manabii na maaskofu wahubiri upagani ghairi ya imani? Hili halikubaliki. Waislamu na wakristo hebu amkeni kumekucha kabla nanyi hamjaanza kufungiwa.
Kumbuka huu ni kama mtego wa panya. Wakimaliza kufuta kanisa la Gwajima watakuja kufuta uislamu na ukatoliki ili nchi ibaki kwenye giza nene la kuabudu mizimu na mashetani kupitia damu za raia wasiokuwa na hatia wanaotekwa na kuuawa kila kukicha. Please wake up yourselves before being awakened!
MAONI YANGU
Haipingiki kuwa serikali imejaa wapagani na inaendeshwa kwa misingi ya kipagani. Gwajima ni mtu wa Mungu na anahubiri kwa uwezo wa roho mtakatifu. Katika biblia kuna amri inayokataza kuua. Hapa ndipo mahubiri ya Gwajima yamejikita kwa kukemea utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Na amefafanua vizuri kuwa kama hawo wanaotekwa na kuuawa wana makosa ya jinai, basi wakamatwe wapelekwe mahakamani wafunguliwe mashtaka badala ya kuuliwa na kutupwa kama mbwa mahali pasipojulikana. Kosa la Gwajima ni lipi hapa? Ni kusimamia imani yake ya kiroho?
Ikiwa serikali inaingilia hadi amri kumi zilizomo kwenye biblia zisifundishwe makanisani, basi iifute kabisa biblia takatifu na kutunga biblia ya kipagani iwe inatumika makanisani. Hatuwezi kuvumilia kuona biblia takatifu ya kanisa inasiginwa na wapagani (serikali) tukiwa tumekaa kimya.
Wewe binafsi umechukua hatua gani? Au wewe alikuwa hakutetei?Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu.
Walichokifanya serikali ni uhuni na uhujumu wa imani kwa kuingilia mambo ya kiimani. Sote tunajua serikali haina dini, hivyo haipaswi kuingilia mambo ya kiimani hata kidogo. Kama hawaelewi mahubiri ya Dr Gwajima ni bora wangehudhuria madhabahuni kwake wapate ufafanuzi wa kiroho badala ya kufunga kanisa kisiasa kwa kulizingira na mabaunsa wenye bunduki.
Miongoni mwa watu ambao Gwajima anawatetea ni mapadre na mashehe waliokwisha kutekwa na kuuawa. Tumeshuhudia majuzi mapadre na mashehe wanatekwa na kuuawa. Na siku chache zilizopita padre Kitima alinusurika kufa baada ya kupigwa rungu kichwani na mpaka sasa yupo mahututi hospitalini. Cha ajabu yule "mtu" aliyempiga rungu hadi sasa hatujasikia akifikishwa mahakamani.
Kwa upande wetu waislamu, mashehe wetu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila sababu za msingi. Lakini cha kushangaza hadi sasa sio waislamu wala wakatoliki waliokemea wala kutoa tamko kuhusu haya mauaji yanayoendelea.
Ni lini hasa waislamu na wakatoliki mtaanza kupaza sauti kuhusu udhalimu wa serikali ya CCM kuingilia mambo ya dini kwa kutafsiri kipotovu mahubiri ya kibiblia wakitaka manabii na maaskofu wahubiri upagani ghairi ya imani? Hili halikubaliki. Waislamu na wakristo hebu amkeni kumekucha kabla nanyi hamjaanza kufungiwa.
Kumbuka huu ni kama mtego wa panya. Wakimaliza kufuta kanisa la Gwajima watakuja kufuta uislamu na ukatoliki ili nchi ibaki kwenye giza nene la kuabudu mizimu na mashetani kupitia damu za raia wasiokuwa na hatia wanaotekwa na kuuawa kila kukicha. Please wake up yourselves before being awakened!
MAONI YANGU
Haipingiki kuwa serikali imejaa wapagani na inaendeshwa kwa misingi ya kipagani. Gwajima ni mtu wa Mungu na anahubiri kwa uwezo wa roho mtakatifu. Katika biblia kuna amri inayokataza kuua. Hapa ndipo mahubiri ya Gwajima yamejikita kwa kukemea utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Na amefafanua vizuri kuwa kama hawo wanaotekwa na kuuawa wana makosa ya jinai, basi wakamatwe wapelekwe mahakamani wafunguliwe mashtaka badala ya kuuliwa na kutupwa kama mbwa mahali pasipojulikana. Kosa la Gwajima ni lipi hapa? Ni kusimamia imani yake ya kiroho?
Ikiwa serikali inaingilia hadi amri kumi zilizomo kwenye biblia zisifundishwe makanisani, basi iifute kabisa biblia takatifu na kutunga biblia ya kipagani iwe inatumika makanisani. Hatuwezi kuvumilia kuona biblia takatifu ya kanisa inasiginwa na wapagani (serikali) tukiwa tumekaa kimya.
Wapagani ni serikali dhalimu ya CCM inayofungia makanisa na misikiti.......inataka watu wote warudi kuabudu mizimu na mashetani kama wanavyofanya wao. Tusikubali upuuzi huu kamwe mkuu.Wapagani ndio watu gani acha upuuj wewe.
Japo nipo na wewe kwenye ishu ya kukemea utekaji
Kulifungia kanisa ni ushetani. Askofu alikuwa anahubiri kuhusu mojawapo ya amri 10 za Mungu (USIUE). Wauaji wameona amewatilia msumari wa moto kwenye kidonda, wameamua kulifuta kanisa lake. Huu ni zaidi ya ushetani unaofanywa na serikali ya Jehanamu ya CCM.Kulifungia kanisa kwa makosa ya mtu mmoja sio sahihi, wangemwita na kusikliiza utetezi wake na kumhukumu gwajima kama gwajima
Kanisa na waumini kosa lao ni lipi? Hapo ni kuwaadhibu na waumini wasio na kosa
Kwanini Gwajima hakulaani utekaji wakati wa Magufuli au miaka ya mwanzoni anakuja kujitokeza siku za mwisho za mwaka wa uchaguzi? Ana tofauti gani na wanasiasa uchwara?Gwajima siku zote amekuwa akipinga utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini. Ukimsikiliza vizuri kwenye mahubiri yake ya kila Jumapili utaelewa mkuu.
Upo sahihi kabisaKulifungia kanisa kwa makosa ya mtu mmoja sio sahihi, wangemwita na kusikliiza utetezi wake na kumhukumu gwajima kama gwajima