Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
unamtialiaje maanai mtu mzinzi, muongo, mpotoshaji na mropokaji?Kwa hiyo tumpuuze tuwaache watekaji na wauaji waendelee na kazi yao mkuu?
si wewe ndio itaonekana una tatizo gentleman?

unamtialiaje maanai mtu mzinzi, muongo, mpotoshaji na mropokaji?Kwa hiyo tumpuuze tuwaache watekaji na wauaji waendelee na kazi yao mkuu?

Unahangaika na Gwajima mtu wa hovyo huyo, achia vyombo vya dola vichunguzeSawa nimeachana naye. Turejee kwenye hoja sasa. Je, wewe unaunga mkono utekaji na mauaji?
Mara hii umesahau mjadala wako? Hii nchi ina majitu ya hovyo sana, hovyo kabisaVichunguze nini mkuu?
Historia haifutiki etiKila mtu ashinde mechi zake. Huyu bazazi alimtukana Cardinal Pengo miaka ya Magufuli, hatujasahau.
Nimekuuliza hilo swali kwanza halafu tuanzie hapo? Alipigwa risasi Tundu Lissu, akatekwa Azory Gwanda, akatekwa Ben Saanane, ameuawa mzee Kibao na wengine wengi. Bado mnachunguza au uchunguzi umefika tamati?Mara hii umesahau mjadala wako? Hii nchi ina majitu ya hovyo sana, hovyo kabisa
Kweli kabisa mkuu. Lazima tukemee huu ushetani unaoendelea hapa nchini.Tumesahau kuwa ukimya wetu ni baraka kwa uovu kuendelea.
Leo ni Gwajima, kesho ni imamu, keshokutwa ni padre, hadi lini tutakaa kimya? Serikali inapofunga nyumba ya ibada bila sababu za msingi, it's not just a church being attacked,, it's our collective conscience being violated.
Well said mkuu. An attack on one is an attack on all.Hili si suala la Gwajima peke yake wala dhehebu fulani, bali ni suala la hatima ya uhuru wa kidini kwa wadanganyika. Na kama kuna udhalimu unaoendelea, basi tuungane wote—Wakristo, Waislamu, na hata siye tusioamini—kupinga kwa sauti moja kwa njia za amani na heshima.
Dawa ni kukaa mbali na siasa au u-wanaharakati. Mbona watekaji wasikuteke wewe tpaul ? Unafikiri huyo Mdude_Nyagali walimchukua tu akiwa anafanya kazi zake?Inawezekana upo sahihi lakini tusigawanyike hata kidogo wakati tunapopinga utekaji na mauaji kwani hujui kesho itakuwa zamu ya nani....huenda ukawa wewe au mmoja wa ndugu zako wa karibu. Inauma sana jinsi wanavyowateka ndugu zetu wanawaua na kutupa miili kama mbwa kusikojulikana na kutunyima fursa ya kuwahifadhi wapendwa wetu kiutu.
Kweli kabisa, yaani watu wameshalewa na POWER halafu unataka kuwaingilia kukanyaga nyaya zao... lazima ukamsalimie MdudeDawa ni kukaa mbali na siasa au u-wanaharakati. Mbona watekaji wasikuteke wewe tpaul ? Unafikiri huyo Mdude_Nyagali walimchukua tu akiwa anafanya kazi zake?
Kama una familia na inakutegemea acahana na hizi mbanga, utaishia kuwasaidia akina Lissu ma Heche wapate fedha kutoka kwa wafadhili wao
Yaani wewe kwa akili zako za kuzaliwa unaamini ile ufufuo ni nyumba ya ibada ? Yaani watanganyika mmevurugwa kweli kweli, Allah atawafanyia wepesi Inshallah .Tumesahau kuwa ukimya wetu ni baraka kwa uovu kuendelea.
Leo ni Gwajima, kesho ni imamu, keshokutwa ni padre, hadi lini tutakaa kimya? Serikali inapofunga nyumba ya ibada bila sababu za msingi, it's not just a church being attacked,, it's our collective conscience being violated.
Kwa hiyo mtu yeyote anayeipinga serikali ni halali kutekwa na kuuawa? Mahakama ni za kazi gani sasa?Dawa ni kukaa mbali na siasa au u-wanaharakati. Mbona watekaji wasikuteke wewe tpaul ? Unafikiri huyo Mdude_Nyagali walimchukua tu akiwa anafanya kazi zake?
Kama una familia na inakutegemea acahana na hizi mbanga, utaishia kuwasaidia akina Lissu ma Heche wapate fedha kutoka kwa wafadhili wao
Nimekuelewa sanaKweli kabisa, yaani watu wameshalewa na POWER halafu unataka kuwaingilia kukanyaga nyaya zao... lazima ukamsalimie Mdude