Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

Kwanini Gwajima hakulaani utekaji wakati wa Magufuli au miaka ya mwanzoni anakuja kujitokeza siku za mwisho za mwaka wa uchaguzi? Ana tofauti gani na wanasiasa uchwara?
Je, wewe unataka Gwajima akae kimya ili raia waendelee kutekwa na ikibidi hata wewe utekwe mkuu?
 
Kanisa huwa halina wafuasi wa mtu humfuata Kristo

Gwajima ana wafuasi wake walishambulia hadi polisi na mawe na kufunga barabara wako ndani

Ulishasikia katokliki ni wafuasi wa papa au Lutheran kuwa ni wafuasi wa Askofu mkuu Malasusa au Assemblies of God kuwa ni wafuasi wa Askofu mkuu Mtoka mbali?

Hilo ni Kanisa La Gwajima, kama ni kumfuata Kristo basi Wahamie hapo jirani Riverside kwa Mzee Wa Upako Antoni Lusekelo nako kunahubiriwa Kristo.

Watu hawajasahau, Mzee wa Watu Pengo si Muongeaji hlf uje Umwambie Kavimbiwa na Maharage ya juzi kweli?
 
Hatukatai haya unayosema lakini Pengo naye alizingua ndio maana Gwajiboy akampa za uso. Kwani Pengo yeye ni Mungu hakosei?
 
Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu.

Walichokifanya serikali ni uhuni na uhujumu wa imani kwa kuingilia mambo ya kiimani. Sote tunajua serikali haina dini, hivyo haipaswi kuingilia mambo ya kiimani hata kidogo. Kama hawaelewi mahubiri ya Dr Gwajima ni bora wangehudhuria madhabahuni kwake wapate ufafanuzi wa kiroho badala ya kufunga kanisa kisiasa kwa kulizingira na mabaunsa wenye bunduki.

Miongoni mwa watu ambao Gwajima anawatetea ni mapadre na mashehe waliokwisha kutekwa na kuuawa. Tumeshuhudia majuzi mapadre na mashehe wanatekwa na kuuawa. Na siku chache zilizopita padre Kitima alinusurika kufa baada ya kupigwa rungu kichwani na mpaka sasa yupo mahututi hospitalini. Cha ajabu yule "mtu" aliyempiga rungu hadi sasa hatujasikia akifikishwa mahakamani.

Kwa upande wetu waislamu, mashehe wetu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila sababu za msingi. Lakini cha kushangaza hadi sasa sio waislamu wala wakatoliki waliokemea wala kutoa tamko kuhusu haya mauaji yanayoendelea.

Ni lini hasa waislamu na wakatoliki mtaanza kupaza sauti kuhusu udhalimu wa serikali ya CCM kuingilia mambo ya dini kwa kutafsiri kipotovu mahubiri ya kibiblia wakitaka manabii na maaskofu wahubiri upagani ghairi ya imani? Hili halikubaliki. Waislamu na wakatoliki hebu amkeni kumekucha kabla nanyi hamjaanza kufungiwa.

Kumbuka huu ni kama mtego wa panya. Wakimaliza kufuta kanisa la Gwajima watakuja kufuta uislamu na ukatoliki ili nchi ibaki kwenye giza nene la kuabudu mizimu na mashetani kupitia damu za raia wasiokuwa na hatia wanaotekwa na kuuawa kila kukicha. Please wake up yourselves before being awakened!

MAONI YANGU
Haipingiki kuwa serikali imejaa wapagani na inaendeshwa kwa misingi ya kipagani. Gwajima ni mtu wa Mungu na anahubiri kwa uwezo wa roho mtakatifu. Katika biblia kuna amri inayokataza kuua. Hapa ndipo mahubiri ya Gwajima yamejikita kwa kukemea utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Na amefafanua vizuri kuwa kama hawo wanaotekwa na kuuawa wana makosa ya jinai, basi wakamatwe wapelekwe mahakamani wafunguliwe mashtaka badala ya kuuliwa na kutupwa kama mbwa mahali pasipojulikana. Kosa la Gwajima ni lipi hapa? Ni kusimamia imani yake ya kiroho?

Ikiwa serikali inaingilia hadi amri kumi zilizomo kwenye biblia zisifundishwe makanisani, basi iifute kabisa biblia takatifu na kutunga biblia ya kipagani iwe inatumika makanisani. Hatuwezi kuvumilia kuona biblia takatifu ya kanisa inasiginwa na wapagani (serikali) tukiwa tumekaa kimya.
​
huyu mzinifu gwajima si aliwahi kumtukana kadinali pengo, askofu mkuu wa jimbo kuu la dar es alama wakaiti ule wa maandamano ya UKUTA? alimwambie eti ameshiba maharage sijui ya wapi? eti ndio maana hakusaini waraka wa kwaresma wa maaskofu katoliki wakati ule :pedroP:

by the way,
kanisa katoliki haliwezi kubabaika na uaskofu wa kujipatia na kujitangaza mwenyewe:pulpTRAVOLTA:
 
Wewe unataka Gwajima asikemee utekaji na mauaji hadi utekwe wewe mkuu?
 
Wakuu naingia moja moja kwenye mada bila kuwachosha. Nawashangaa sana Wakatoliki na Waislamu kwa kukaa kimya hadi sasa huku askofu Gwajima akinyanyaswa bila wao kukemea wala kutoa tamko lolote kuhusu serikali kufunga Kanisa la Ufufuo na Uzima kihuni na bila kufuata utaratibu.

Walichokifanya serikali ni uhuni na uhujumu wa imani kwa kuingilia mambo ya kiimani. Sote tunajua serikali haina dini, hivyo haipaswi kuingilia mambo ya kiimani hata kidogo. Kama hawaelewi mahubiri ya Dr Gwajima ni bora wangehudhuria madhabahuni kwake wapate ufafanuzi wa kiroho badala ya kufunga kanisa kisiasa kwa kulizingira na mabaunsa wenye bunduki.

Miongoni mwa watu ambao Gwajima anawatetea ni mapadre na mashehe waliokwisha kutekwa na kuuawa. Tumeshuhudia majuzi mapadre na mashehe wanatekwa na kuuawa. Na siku chache zilizopita padre Kitima alinusurika kufa baada ya kupigwa rungu kichwani na mpaka sasa yupo mahututi hospitalini. Cha ajabu yule "mtu" aliyempiga rungu hadi sasa hatujasikia akifikishwa mahakamani.

Kwa upande wetu waislamu, mashehe wetu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa bila sababu za msingi. Lakini cha kushangaza hadi sasa sio waislamu wala wakatoliki waliokemea wala kutoa tamko kuhusu haya mauaji yanayoendelea.

Ni lini hasa waislamu na wakatoliki mtaanza kupaza sauti kuhusu udhalimu wa serikali ya CCM kuingilia mambo ya dini kwa kutafsiri kipotovu mahubiri ya kibiblia wakitaka manabii na maaskofu wahubiri upagani ghairi ya imani? Hili halikubaliki. Waislamu na wakatoliki hebu amkeni kumekucha kabla nanyi hamjaanza kufungiwa.

Kumbuka huu ni kama mtego wa panya. Wakimaliza kufuta kanisa la Gwajima watakuja kufuta uislamu na ukatoliki ili nchi ibaki kwenye giza nene la kuabudu mizimu na mashetani kupitia damu za raia wasiokuwa na hatia wanaotekwa na kuuawa kila kukicha. Please wake up yourselves before being awakened!

MAONI YANGU
Haipingiki kuwa serikali imejaa wapagani na inaendeshwa kwa misingi ya kipagani. Gwajima ni mtu wa Mungu na anahubiri kwa uwezo wa roho mtakatifu. Katika biblia kuna amri inayokataza kuua. Hapa ndipo mahubiri ya Gwajima yamejikita kwa kukemea utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Na amefafanua vizuri kuwa kama hawo wanaotekwa na kuuawa wana makosa ya jinai, basi wakamatwe wapelekwe mahakamani wafunguliwe mashtaka badala ya kuuliwa na kutupwa kama mbwa mahali pasipojulikana. Kosa la Gwajima ni lipi hapa? Ni kusimamia imani yake ya kiroho?

Ikiwa serikali inaingilia hadi amri kumi zilizomo kwenye biblia zisifundishwe makanisani, basi iifute kabisa biblia takatifu na kutunga biblia ya kipagani iwe inatumika makanisani. Hatuwezi kuvumilia kuona biblia takatifu ya kanisa inasiginwa na wapagani (serikali) tukiwa tumekaa kimya.
​
Huyu mupe yure muruke
 
hizo drama nonsense,
mzinifu wa kujirekodi na video kabisa hawezi kukemea kitu chochote zaid ya unafiki mtupu gentleman.
huyo ni mjumbe wa shetani :pulpTRAVOLTA:
Kwa hiyo tumpuuze tuwaache watekaji na wauaji waendelee na kazi yao mkuu?
 
Mjinga huyo, acha limkute la kumkuta
 
Mjinga huyo, acha limkute la kumkuta
Mkuu usiangalie rangi ya paka bali angalia tu kama huyo paka anakamata panya. Gwajima inawezekana akawa hayupo sahihi katika mambo mengi lakini katika hili la kukemea utekaji na mauaji, tuweke tofauti zetu pembeni tumuunge mkono.
 
Achana na tapeli huyo, mjinga kabisa huyo
 
Back
Top Bottom