Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

Yeye gwajima alikuwa wapi wakati wa mauaji ya mwembechai?
 
Kwa hiyo mtu yeyote anayeipinga serikali ni halali kutekwa na kuuawa? Mahakama ni za kazi gani sasa?
Mambo ya siasa waachie wanasiasa. Hata huko USA tuliona namna Donald Trump alivyonusurika kuuwawa.

Nafikiri nimeandika vya kutosha, ukiweza kunielewa sawa. Usiponielewa just IGNORE
 
Suala la Gwajima ( mwanachama wa CCM na Mnec) msituhushishe nalo Waislam. Hilo ni suala la yeye na chama chake . Amejaribu kutunishiana misuli na kiongozi mkuu wa chama chake, Amiri jeshi mkuu, Rais ,Mh. Dr Mama Samia Suluhu Hassan. Hivyo aombe huruma kwa makada na wakereketwa wa chama chake sio waumini wa Dini ya kiislam.
 
Gwajima anatetea raia wanaouliwa na miili yao kutupwa kusikojulikana. Unataka raia tuwaachie wanasiasa mambo yao wakati wanatuua kila kukicha mkuu? Are you ok or there is something wrong in your head?
 
anatafuta huruma kwa waislam..we don't buy political games! Apambane na makada wenzake! Sisi hatuhusu
 
Je, wewe unataka Gwajima akae kimya ili raia waendelee kutekwa na ikibidi hata wewe utekwe mkuu?
Hapana, naungana sana na Gwajima kwa yote anayofanya kulaani utekaji. ila pia tusisahau kuwa anapenda mno kucheza na akili za Watanzania, kwani anatafuta kiki binafsi muda mwingi na kucheza michezo ya kihuni ilhali yeye anajinasibu kama askofu, haipendezi.
 
Hata kama anatafuta kiki kama unavyosema huoni kuwa kiki zake zimetusaidia kufahamu michezo ya mauaji tunayochezewa na serikali ya CCM?
 
anatafuta huruma kwa waislam..we don't buy political games! Apambane na makada wenzake! Sisi hatuhusu
Mkuu hii sio political game bali ni game ya kiimani inayoangamizwa na serikali ya kipagani ya CCM. Umetafsiri vibaya.
 
Hata kama anatafuta kiki kama unavyosema huoni kuwa kiki zake zimetusaidia kufahamu michezo ya mauaji tunayochezewa na serikali ya CCM?
kabla ya yeye kutoka kuvamia hizo agenda za Chadema mbona watu walishasema na kulalamika sana...Ina maana ulikuwa ufahamu haya aliyoyasema gwajima kabla hajayaongea??

watu kupotea,kutekwa na kuuawa kumeanza leo hii baada ya gwajima kuongea.

Hatununui michezo yenu...malizaneni wenyewe ndani ya chama chenu
 
Wakati wakatoliki wanatoa waraka wa kukemea matendo ya kishetani. Wewe na muigizaji Gwajima mlikuwa wapi ?
 
Wakati wakatoliki wanatoa waraka wa kukemea matendo ya kishetani. Wewe na muigizaji Gwajima mlikuwa wapi ?
Mimi na Gwajima pia tuliwaunga mkono wakati mnatoa tamko. Kwanini nyie sasa hamtaki kutuunga mkono?
 
Gwajima ni muigiza, dont ever fall for his games.
Mkuu hata saa mbovu husema ukweli mara 2 kwa siku. Ukiwa na chupa ya chai ina chai kidogo, sema IMEJAA NUSU, usiseme INA UWAZI NUSU. Avoid negativity.

Gwajima yupo sahihi kwenye upingaji wa utekaji na mauaji ya raia wasiokuwa na hatia. Hayo madhaifu yake mengine tumuachie Mungu.
 
Yupo sahihi. Naunga mkono hoja
 
Gwajima aliongea kama mwanasiasa
Hivyo misukosuko yake haihusiani na dini

Kitu alichokosea Gwajima kuongea habari za siasa kanisani

Hoja zake ni nzuri ila ilitakiwa awe anazitoa nje ya kanisa
 
Gwajima aliongea kama mwanasiasa
Hivyo misukosuko yake haihusiani na dini

Kitu alichokosea Gwajima kuongea habari za siasa kanisani

Hoja zake ni nzuri ila ilitakiwa awe anazitoa nje ya kanisa
Gwajima alihubiri juu ya dhambi ya kuua na akatoa mifano ya watu wanaotekwa na kuuawa hapa nchini. Moja ya amri kumi za Mungu ni USIUE. Wewe unataka ahubiri nini zaidi ya hicho? Ulitaka atetee na kushabikia mauaji? Hebu kuwa serious mkuu.
 
watu kupotea,kutekwa na kuuawa kumeanza leo hii baada ya gwajima kuongea.
Kwa hiyo kama uuaji ulianza kitambo tuache uendelee bila kikomo? Hebu kuwa serious kidogo mkuu
 
Na wewe uko wapi?kwa nini wewe umejitoa kwenye makundi hayo uliyoyataja?
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaendelea mbele?
Mimi nasimama na Gwajima napinga utekaji kwa nguvu zangu zote mkuu.
 
unamtialiaje maanai mtu mzinzi, muongo, mpotoshaji na mropokaji?
si wewe ndio itaonekana una tatizo gentleman?
Mkuu mimi sifuatilii uzinzi wake bali nafuatilia uzalendo na uthubutu wake wa kukemea utekaji na mauaji yanayofanywa na kikosi cha Mungiki ndani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…