Waislamu na Wakatoliki mko wapi Askofu Gwajima ananyanyaswa?

Kwani watasaidia nini?
 
Hiyo siku haitokaa itokee, gov inajua kabisa kuna taasis ni no go zone
Unataka kusema kuwa waislamu wakiguswa tu, watawasha moto mkali wa makaa ya mawe? Subiri siku atokee shehe anayeipinga CCM na akasemea hayo mambo msikitini....siku hiyo misikiti yote itafutwa na serikali kutaifisha maspika yote yaliyofungwa misikitini.
 
Usiwawake wakatoliki na waislam chungu kimoja. Miaka buku wakatoliki wako mbali sana kwenye kukemea uovu.
Dini zote hizo zilikuja zikiambatana na utumwa, ukoloni, kutwezwa, kudhalilishwa, mateso na kutumikishwa kwa mwafrika (mtu mweusi).
Kujielewa, ukombozi na akili ya kawaida (inayotuunganisha na Mungu) ni muhimu, dini baada ya hapo.
 
Umesimama wapi ukakemea na Watanzania tukakuona kama mfano wa kuigwa au kwenye keyboard?
Vita ni vita Mura. Vita hupiganwa mahali popote pale kwa kutumia silaha yoyote ile.
 
Ananyanyasika huko aliko huenda watekaji wameishampata na kumpoteza kimyakimya.
Wakili wake Kibatala alisema wanaomtafuta wawasiliane nayeye wakili wake, kwa kusema hivyo inamaanisha wasiojulikana hawajampata.
 
Wakili wake Kibatala alisema wanaomtafuta wawasiliane nayeye wakili wake, kwa kusema hivyo inamaanisha wasiojulikana hawajampata.
Tumuombe uzima huko aliko asitekwe na Mungiki wa CCM, wakifanikiwa kumteka watamtupa mtoni akiwa hai aliwe na mamba kama walivyomtupa Sativa kwenye mbuga ya wanyama ili aliwe na fisi.
 
Waislam hizo sio shida zao ni wadini kweli hao kenge kwanza nadhan yasingekuwepo duniani basi dunia ingekuwa sehemu salama sana kwa kuishi
 
Nakwambia kitu kigumu unayoyasema kwa Asilimia 80 Kuna upande mmoja inahusika kupigilia msumari ili upande mmoja uangamizwe kabisa huwezi changanya maji na mafuta sehemu Moja
 
Gwajima siku zote amekuwa akipinga utekaji na mauaji yanayoendelea hapa nchini. Ukimsikiliza vizuri kwenye mahubiri yake ya kila Jumapili utaelewa mkuu.
hatukumsikia akilalamika wakati vile viroba vya miili ya watu vilipokuwa vikiokotwa pale Coco beach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…