Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Nyinyi Waislam Wanafiki Wa Tanzania Mlikuwa wapi wakati huu masheikh wanateseka kwa dhulma mliwahi kuitisha maandamano au kupiga kelele zozote za kuwaunga mkono hata huku Mtandaoni..?
Kwasababu hawakupigania maslahi ya dunia yenu mkawaacha na wengine walikaa zaidi ya miaka 15 jela bila kosa lolote mpaka Samia alipokuja kuwaachia huru,
Leo Kwasababu Kuna watu wanawapa ahadi ya maisha mazuri mnataka sote tukubali matakwa yenu mpaka mnatupangia vya kupost wengine hata swala 5 kwenu mtihani lakini mpo hapa kutupangia vitu vya kupost kuhusu Uislaam,
Sisi hatupo kwaajili ya chama cha siasa ila tupo Kwaajili ya Uislaam hivyo msiingize itikadi zenu za kisiasa katika Page Hii Ya Uislaam,
Kutwa mpo kuzusha mambo bila hofu ya Allaah Hata Tukipost Kufanya Dua Mnasema Tumelipwa njooni na nyie mtulipe tufanye mnayotaka kama mnao ushahidi kuwa tupo hapa kwaajili ya kulipwa na sio dini,
Allaah Ndio Mjuzi Wa Yote Na Tukumbuke Yote Tunayofanya Leo tutaulizwa