Hakuna jipya linaofanyika saiz ambalo halikufanyika enzi za nyerere mkapa wala magufuli na Maaskofu wote walikuwa kimya
Na huu ndio upumbavu ambao umewajaa vichwani mwenu.. !!
Mna justification za kipumbav sana kwa huu ushetani unaoendelea nchini kwetu.
Sidhani kama hata umefikiri kwa kina kabla ya kuandika hii comment..
Hapa unatwambia kwamba, kwa vile Magufuli,Nyerere na Mkapa waliua na kuteka watu basi hata Samia na yeye ni halali yake kuteka na kuua watu sio?
Kwa vile magufuli na mkapa walifanya ufisadi, basi ni halali tu hata samia na yeye akafanya ufisadi kadri wa kihistoria si ndio?
Hivi unafahamu kuwa hii mindset uliyonayo inatengeneza tatizo la kudumu?
Maana siku akitokea raisi wa dini yetu, naye akafanya huu huu ushetani unaofanywa na Samia leo, halafu tukiona yeyote anapasa sauti kukemea tutasema.. hakuna jipya raisi wetu analolifanya ambalo halikufanywa na Kikwete,Mwinyi na Samia hivyo msimsumbue kabisa..!!
Haya siku ikitokea tena na tumepata raisi muislamu mtindo utakuwa ni ule ule tu, atafanya upumbavu kadri anavyojiskia akitegemea kupata back up ya nyie wavaa kobazi wenzie mkisema haya anayofanya hata watangulizi wake walifanya...
Kwa ufupi hii mindset ya kuhalalisha upumbavu,ushetani na udhaifu wa samia unatengeneza tatizo la kudumu bila ya wewe kujua.
Hata hivyo sitaki kukulaumu sana maana ujinga ulionao sababu yake iko wazi.
Na pia kuhusu maaskofu kutokumea maovu kwenye tawala za maraisi wakristo, huu ni uongo mkubwa, TEC hawajawahi kuacha kukemea maovu yanayofanywa na serikali, kwa ufupi hawajawahi kuwa wanafiki, naona waislamu wengi mnaisema sana hii kauli, mpaka najiuliza nyie watu 2020 wakati TEC wanionya serikali isipuuze ushauri wa wataalamu mlikuwa wapi? Na pia mwaka 2017 wakati wanaitaka serikali ifuatilie suala la Tindu lisu kupigwa risasi mlikuwa wapi?
Jibu ninalolipata nyie ni watu wenye upeo mfupi sana wa kufikiri na hamna kumbu kumbu.
Endeleeni kumfurahia samia bila kujua kuwa analipasua taifa kidini kiasi kwamba kuja kurejea kwenye hali ya kawaida itachukua muda mrefu.