Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu.

Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia;

"Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu umewakaa sana wangekuja kwetu ndio wangeona mushikeli kwa kisingizio cha dini."

Ukiangalia ni kweli kabisa.
 
Kauli mbiu ya Tanzania ni umoja,amani na mshikamano,chini ya misingi imara iliyoachwa na baba wa taifa na serikali madhubuti ya CCM.
 
Unapata faida gani kwa kupenda kuanzisha mada za kidini?
hapana sio mimi mkuu mimi ni kuchakata mbususu,kula bata na timu zangu Arsenal na Simba.

hizi mambo za dini huwa zinaanzia huko kwenye siasa.sababu kuu ni joto tu la uchaguzi.uchaguzi ukiisha hizi kelele zitaisha.🙏
 
Back
Top Bottom