Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Shida kuelimisha mtu kama kobe kujiondoa kwenye gamba lake.
Dini zetu zimetumia nguvu nyingi kumwaga damu zaidi ya history za vita ya dunia zote.
Dini zimekuwa kujificha kwa watawala kuanzia imani zao na kabira zao japo wanaweza kutumia haya.
Kuna mada wengi wanadanganywa uislamu ulikuwepo duniani japo sio kweli ,hata ukristo nao sio kweli.
Kwa nini vitabu vyote vilikuta kuna dini zao ila cha kushangaza waislamu wanachekesha kusema huku uongo wakisema mtume alileta uislamu kwa waarabu wakiwa sio waislamu.
na hapo hapo wakristo nao walikuta hakuna ukristo wakiubiri injili na mpaka kuangamiza .
sasa garika la nuhuu,sodoma na uislamu ulikujaje