Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote
Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.
Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi
Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.
Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.
Happy new year, 2025.