Waislamu sikukuu ya mwaka mpya sio yenu, mligomea xmas na hii mtuachie wakristo

Andika mwaka wa kiislamu katika taarifa zako.....msitumie kalenda yetu ya kikristo ..tumieni kalenda ya kiislamu .....
Na ww acha kutumia tarakimu kwa sababu zilibuniwa na waisilam huna akili.
 
Hivi humu JF kuna shida gani mbona ni kama uislamu na ukristo ni vita, tangu nimejiunga naona machapisho ya kupondana kidini, shida ni nini..? Acheni kujigawa hakujengi umeamini ukristo ndio njia yako ya maisha sawa na kama umeamini uislamu ndio njia yako ya maisha sawa ila izi mada zakujigawa kidini hazijengi kitu
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote

Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.

Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi

Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.

Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.

Happy new year, 2025.
Mu
 
Mod ndo wanaoulea.
 
Mbona mnapingana Tena .... Mbona wenzako wanasema muislamu safi hashangilii mwaka mpya ...
Hivi unadhani wakristo wote wanakubaliana na kila kitu? Huyo katoa mawazo yake ambayo mimi naona ni ya kitoto sana. Hata kwenye ukristo tarehe 1 January siyo sikukuu ya kidini.
 
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote

Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.

Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi

Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.

Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.

Happy new year, 2025.
Sherehe za mwezi wa Januari zinaanzia enzi za Roma ya kale na zinahusiana sana na kalenda ya Kirumi pamoja na miungu yao. Mwezi wa Januari umepewa jina la Janus, mungu wa Kirumi wa milango, malango, na mwanzo. Janus alichorwa akiwa na nyuso mbili: moja inayotazama mbele kwa siku zijazo na nyingine inayotazama nyuma kwa siku zilizopita. Alisimama kama ishara kamili ya mpito kutoka mwaka wa zamani hadi mwaka mpya.
Mfalme wa Kirumi Numa Pompilius, aliyekuwa mtawala kati ya mwaka 715–673 KK, anahusishwa na kuongeza Januari kwenye kalenda ya Kirumi kama mwezi wa kwanza wa mwaka. Hii ilikuwa muhimu kwa sababu ililingana na kuapishwa kwa makonsuli wapya huko Roma, ikiwakilisha mwanzo mpya.
Sherehe za Januari mara nyingi zilihusisha kutoa dhabihu kwa Janus, kubadilishana zawadi, na kufanya ahadi au maazimio ya kuanza mwaka kwa njia chanya—mila ambazo zinafanana na zile za Mwaka Mpya wa kisasa. Msisitizo wa upya na tafakari umeendelea kuathiri tamaduni mbalimbali ulimwenguni.
 
Hivi humu JF kuna shida gani mbona ni kama uislamu na ukristo ni vita, tangu nimejiunga naona machapisho ya kupondana kidini, shida ni nini..? Acheni kujigawa hakujengi umeamini ukristo ndio njia yako ya maisha sawa na kama umeamini uislamu ndio njia yako ya maisha sawa ila izi mada zakujigawa kidini hazijengi kitu

Mu
Yaani mpaka inaudhi!!!!
 
Hivi calendar za kiafrika zulikuwepo?
History inasemaje kwa haya
Maana hata Wachina wana tarehe zao na jirani zetu Ethiopia wako nyuma miaka 7
Sasa kwanini tugombane kisa kalenda wakati hata hatuna za kwetu
Kuna wengine kalenda yao ina miezi 13 na sio 12
Hata Mrusi alikuwa na yake ila ikawashinda wakarudi ya kirumi
 
Hapa nawaona wengi tu nao wanakesha kuusubiri 2025 kwa shangwe na bia
Unaona upumbavu wako, uislamu na bia wapi na wapi?

Acha kufananisha waislam na wenye majina ya kiislam

Halafu waislam hata mwaka mpya wa kiislam hatuna upumbavu huo wa kusherehekea kwa baruti, pombe, kukimbia nk
 
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote

Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.

Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi

Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.

Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.

Happy new year, 2025.
Calendar hii ya gregorian ni marekebisho ya calendar ya Julius Caeser aliyoiandaa 647BC,haina uhusiano na ukristu,hata hivyo Quran inatambua calendar ya jua na mwezi
 
Unamjua huyo Gregory ambaye calender inatumia jina lake alikuwa nani?

Alikuwa Papa Wa kanisa Katoliki. Nenda google search Pope Gregory XIII. Kanisa ndio lilitengeneza hii calender chini ya papa Gregory.... na ndio maana Inaitwa Gregorian calendar

Gregorian calendar ni kazi ya kanisa.
 
Papa gregory aliagiza wanahisabati wahariri calendar ya Julius Caeser,ikiwa wajua maana ya kuhariri, Julius Caeser hakuwa mkristu,na Papa kipindi hicho alikua kiongozi wa dola,haina uhusiano na ukristu,ni sawa na khawarizmi na algorithms,useme algorithms ni islamic, utakua mjinga
 
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote

Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.

Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi

Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.

Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.

Happy new year, 2025.

Mwaka mpya ni maadhimisho tu yasiyo ambatana na imani ya kidini hIvyo kusherehekea au kutokusherehekea ni uamuzi wa mtu...japo wakristo ndio huupa promo kubwa kwa kukesha makanisani.
Binafsi si sheherekei kuzeeka....
 
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote

Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.

Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi

Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.

Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.

Happy new year, 2025.
Huu ni ugomvi.
 
Back
Top Bottom