Waislamu sikukuu ya mwaka mpya sio yenu, mligomea xmas na hii mtuachie wakristo

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote

Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa Muharram, na sio Januari. Hivyo, Waislamu hawashereheki Sikukuu ya Krismasi (Xmas) wala Mwaka Mpya wa Kidunia kama sherehe za kidini.

Hapa ndipo waislamu hasa waswahili hujisahaulisha kwamba na wao wanahusika na mwaka mpya wa kikristo ilihali waligomea krismasi

Wengi wa Waislamu hushiriki katika sherehe za Mwaka Mpya wa Januari 1 kwa kusherehekea na jamii nyingine, kwa kufanya matukio ya kijamii kama vile kula pamoja, kwenda matembezini, au kuungana na familia na marafiki kinyume na dini yao kwa kuutambua mwaka mpya unaoanza januari, na sio kutokana na umuhimu wa kidini wa sherehe hiyo kwa Waislamu.


Hivyo, tunaomba ndugu waislamu mtuachie sikukuu yetu hii tupike vyakula vyetu kitimoto ikijumuishwa na kunywa vinywaji vya kila aina.

Happy new year, 2025.
 
Hapo kwenye christmass huwa wanakaza shingo kwelikweli lakini hujishaulisha ndani ya wiki tu kwamba mwaka mpya sio wao pia
 
Kijana Tafuta kitu kitakachokuingizia pesa ya kutosha na kukufanya uwe busy hicho kitu.

Kuna mambo mengine kama una upeo mkubwa wa mambo hayana hata ulazima wa kuyatilia maanani.

Ungekuwa busy kama Maxence Melo usingekuwa na muda wa kulilia na kusema eti Mwaka mpya / Christmas ni sikukuu zako.
 
Wasabato na Waislam huwa nawashangaa sana.....Anyway Hao ni ndugu moja
 
Muislam alie soma dini yake hawezi kusherehekea sherehe zenu za kidini hata chakula chenu haruhusiwi kula.
 
Bwana mdogo hapa huna hoja?

Kwanini hamusherekei xmass lakini mwakampya mnatusumbua mtaani kwa kupiga baruti na mikesha?
Dini inawaruhusu?
Sherehekea kwa kujilinda usijelishwa kitimoto
 
Nakala kwa jirani zao wa safari ya ulaya bila passport wala visa mitaa ya Ukonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…