Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

Waislamu tuandamane kupinga vita Sudan

Katika Quran Surat Yunus de mafudh aya ya 7:10 Allah kasema. Ewe muislamu usiogope ukitukanwa na muislamu mwenzio tafuta kichaka chuchumaa na kunya ukimaliza Allah kwa kukufariji atatuma malaika wake kipenzi mtakatifu Jibril akutawaze.

Allah and Muhamad forever


Miswada sahihi

Wanazuoni wengi wa madhehebu na vikundi mbalimbali vya Kikristo wamethibitisha kuwa sehemu kubwa ya maandiko ya Biblia ina mashaka makubwa juu ya uhalisia wake.

Katika utangulizi wa Ngano za Mungu mwenye Mwili, Mtunzi ameandika yafuatayo: "

Katika karne yakumi na tisa, Wakristo wa Kimagharibi walifanya marekebisho makubwa mawili ili kuitikia wito wa
kupanuka kwa elimu ya wanadamu: imekubalika kuwa mwanadamu ni sehemu ya maumbile na ameibuka kuwa ni miongoni mwa wanamageuziwa mfumo wa maisha duniani; imekubalika kuwa vitabu vya Biblia vimeandikwa na watu tofauti tofauti katika matukio tofauti tofauti na haviwezi kukubaliwa kuwa ni utunzi wa Mungu wa neno kwa neno."

Katika gazeti la kimataifa la, Newsweek lililobeba makala yenye kichwa 'Oo Bwana, Nani Aliyeandika Dua hii?'

kikosi cha wanatiolojia kutoka katika dhehebu kuu la kiporestanti, pamoja na Wasomi muhimu wa Biblia wa Kikatoliki nchini Marekani, baada ya ukaguzi wa kina wa miswada ya mwanzo kabisa ya Agano Jipya, wamehitimisha kuwa
maneno pekee ya "Dua ya Bwana" ambayo yanaweza kunasibishwa barabara na Yesu Kristo ni "baba". Na hilo, ni kwa mujibu wa wasomi hao wa kanisa, maneno yote yaliyokuja baada ya ibara ya kwanza, "Baba yetu", ambayo ni dua muhimu sana ya Kikristo, yaliongezwa karne nyingi na waandishi wa kanisa walionukuu miswada ya mwanzoni ya
Injili.

Shirika la U.S News & World Report, linanukuu zaidi kuwa, kikundi cha wasomi kilisema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maneno yaliyoandikwa katika Injili kumhusu Yesu huenda ni ya kubuniwa.

Miongoni mwa hayo likiwemo neno la Ekaristi ya Yesu katika Karamu ya Mwisho ("Chukua, kula. Huu ni mwili wangu...") na kila neno aliloambiwa kuwa amelitamka toka msalabani.

Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia". Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa:

"Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili.

Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji. Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu. Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu.

Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi. Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.

Mabadiliko ya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.

Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Aliendelea kusema zaidi: "Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora. Hata matoleo ya Agano
Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu.

Usiufute uzi , ili upate daawa ya kutosha , hali yako ya kiafya siyo nzuri
 
Back
Top Bottom