Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?


na ninyi mnapata mabilion kila mwaka kuptia MoU ndio mana mmetulia
 
Tunadai kila mmoja ajisalimishe kwa mola wake aliyemuumba. A silim.
kuhusu swala la MoU mi mwenyewe naona kuna tatizo, hivi baada ya hospitali kutoa huduma je kanisa huwa halibakiwi na chochote? au tuaminishwe zinajiendesha bila faida? nahisi kinachobaki ndio kile serikali inachotoa au sehemu yake kama pesa ya mishahara na uendeshaji kuhusu kujisalimisha kwa mola sio kila mtu ameumbwa na mola wengine tuna mungu wetu usitake kufanya huyo mola wako awe mungu wa kila mtu, kuhusu OIC nchi yetu ni ya dini nyingi na imani nyingi, na katika ufunguzi wa OIC huko senegal mfunguaji alisema islam is the only true religion and member states zina believe hivyo sasa kwa nchi ya dini nyingi hilo limekaaje?. nchi kama urusi na china zina uwakilishi OIC lakini sio member na sisi tunaweza kufanya the same thing. kuhusu vatican sioni shida mbona tanzania ina ubalozi na nchi za kidini kama vile Iran kwa nini vatican iwe taabu tukitumia jazba na emotions katika mambo yanayohitaji kufikiri hatufiki mbali
 

Mimi kwanza naamini kuwa mpaka mtu amejiunga na mtandao makini kama Jamii Forums atakuwa angalau ana elimu ya msingi kabisa ambayo ni ya sekondari. Kwa hawa jamaa kuleta hoja kama hii inaonyesha kuwa elimu yao haiwasaidii kabisa. Dunia nzima inajua kuwa
WAKRISTU WANA KATIBA YAO, BIBLIA NA WAISLAM WANAKATIBU YAO, KURAN TUKUFU. Tunatafuta hapa sasa ni katiba ya KISERIKALI NA WALA SI YA KIDINI. Watanzania tuamke tusonge mbele. Watu wa DINI wapo wataendesha mambo yao na sisi tusio wa dini tuendelee mbele na katiba yetu ya TANZANIA. Tuache UDINI, TUJENGE NCHI.
 

I like this!!!

 
na ninyi mnapata mabilion kila mwaka kuptia MoU ndio mana mmetulia
hayo mabilioni ambayo waislam wanadai wakristo wanapewa kupitia hospitali na mashule, ukienda kwenye hospitali hizo utakuta waislam kibao wamevaa ushungi na wengine kanzu wameenda pale kutibiwa...hahaha, mashule waislam pia wanasoma huko...tatizo lipo tu kwasababu ya wivu...wanaona kama wanaonewa....wao waislam hawajakatazwa kujenga mashule ili nao wafaidi kama kufaidi kupo...basi kama ndo hivyo msije kabisa kwenye mahospitali yetu, msije kabisa kwenye mashule yetu kaeni tu mkatibiwe kwa waganga wa kienyeji mashehe wauza uchawi huko misikitini....akili za watu kama hawa (wachache wanaowachafua na waislam wengine wengi ambao wana akili zuri tu) ni za kipunga sana na hawata weza chochote hata tukibadilisha chuo kikuu udsm leo tukafukuza wakristo wote tukawapa iwe chuo cha waislam tu...mwaka mmoja tu kitakuwa kimeharibika kushika mkia duniani...tatizo la kutumia zaidi dini na imani kuliko reality katika ulimwengu ambao tunaishi ndani ya dini na imani tofauti wote tukiwa na haki zote katika dunia hii hii moja, kama hatutaishi kwa kuvumiliana ni ngumu sana.....unatakiwa unapoishi usifikiri dunia hii ni ya kiislam, kuna na watu wengine pia, usifikiri wewe tu ndo mwenye haki..kuna wengine pia wana haki zao....pambafuuuuuuuu
 
huu ni upummbavu wa chuo kikuu cha morogoro. waislam wa aina hii akili zao ni za kipummmbavu sana....ndo maana mnadharaulika.

Huwa najiuliza sana; Je, tatizo ni Uslamu au Wanazuoni wa Kiislamu? Hebu tuangalie mfano wa nchi zinazoitwa za Kiislamu, zina advantages gani zaidi ya ukandamizaji na neema kwa watawala? Raia wa nchi hizo wanafaidishwa na mfumo huo?
 
na ninyi mnapata mabilion kila mwaka kuptia MoU ndio mana mmetulia

Hiyo MoU inamsaidia nani? Wakristo ndo wanaotibiwa kwenye hizo hospitali?Mkoa, Wilaya na Kijiji unachotoka, Serikali ina hospitali ngapi na Wakristo wanazo ngapi?
 
wewe ndio MPUMBAVU USIELEWA

Wakristo wapo bze kusambaza makanisa ya ukweli vijijini, kujenga vyuo vikuu vya ukweli bila kutegemea majengo ya serikali, kuhakikisha shule zao za sekondari watoto wanafaulu kwa kiwango cha kimataifa na mabo mengine ya mendeleo kwa manufaa ya kila mtanzania. Cha kushangaza watu walio kalia akili wanadai mahakama??? (Wao wanafikiria kuhukumu tu kupitia mgongo wa serikali.
Unajua waislam walio wengi hawajui maana hasaa ya mahakama ya kadhi na utendaji wake. Dada zetu mlio zaa zaa na vidume visivyo eleweka subirini kupigwa mawe hadi mfe kwa kosa la kuzini. Chezea sharia weye!Hamjiulizi kwa nini kenya walifutilia mbali hiyo mahakama?

Mnazungumzia yale marahisi kupokelewa na wasio dig deep mbona hamzungumzii impact ya sharia kwa ndoa kati ya muislam na mkristo. Mjane mkristo aliyekua na ndoa ya serikali anaruhusiwa kuridhi mali za mmewe kwa mujibu wa sharia? Watoto je kama walifuata dini ya mama wanaruhusiwa kurithi mali ya baba yao kipenzi? Au ndo mali zitaenda kwa wafuga ndevu.

Midevu hamkatazwi kufuja kama ilivyo kwa wafuga rasta. Ila tu maofisini tunazitambua kama uchafu.

Let us unite kuwa piga vita mafisadi papa katika nchi yetu, tuungane kudai mahakama itakoyo mhukumu raisi na watendaji wake kwa ubadhilifu wa mali ya umma na si kufagilia udini.
 
Hospitali ya bugando 90% ya uendehsaji wake unatoka serekalini,wauguzi,madaktari,wafagiaji,madawa,ujenzi,na nk, vyote hivyo vipo chini ya serikali na hapo ni kodi ya watanzania wote bila kujali ni mkristo,muislamu,mpgani,mhindu,nk. na mgonjwa akifika pale hatibiwi bure kuna gharama ambazo baadhi ya watu hushindwa kuzilipa na kudiliki kupita ktk nyumba za ibada hasa misikitini ili kuweza kupata fedha za kulipa hgalama hizo, SUALI, JE FAIDA YA MAPATO YA HOSPITALI HIYO HUINGIA KANISANI AU SEREKALINI?JE SERIKALI HAIWEZI KUJENGA HOSPITALI ZAKE AU KUPANDISHA BAADHI YA HOSPITAL ZA MIKOA KUWA RUFAA?JE MABILIONI YA FEDHA YANAYOPELEKWA HUKO NI YA WAKRISTO PEKEE?
 
OIC ni moja ya taasisi ambazo zina manufaa na waislamu na hata wasio waislamu,kwani hutoa mikopo katika serikali za nchi masikini pasina riba,hivyo pale manposema ya kwamba tuangalia maslahi ya taifa katika katiba,kwani OIC ikitoamikopo hiyo itanufaisha waislamu peke yake?
 

Jenga hoja sio kukimbilia kusema udini,tofautisha hoja za dini na udini, sio kila manung'uniko ni udini,hivi mmasai akidai katengwa kwenye mfumo wa Elimu utasema ukabila? Kama hoja zao sio sahihi waelimishwe kitaalam,Madai ya Waislam ni kwa serikali sio Kanisan iache Serikali ipangue hoja na kitendo cha kushoboka kujibia Serikali ni ushahid wa kimazingira wa ukweli wa Madai yaoq
 
huu ni upummbavu wa chuo kikuu cha morogoro. waislam wa aina hii akili zao ni za kipummmbavu sana....ndo maana mnadharaulika.

JAMANI HII NDIYO SABABU MAWAZIRI WETU KARIBIA WOTE NI WEZI NA hawajui kujenga uchumi. Maana wanatuona tunaweka mbele fahari za kidini katika katiba badala ya kujenga katiba ambayo italinda na kujenga uchumi Imara. Lazima kwanza tujiulize kuwa , tumejifunza nini na Raisi wa nchi kuwa na nguvu kupita Bunge na mahakama? Halafu vile vile tujiulize ni madhala gani tumejipatia kutokana na kufuata siasa za ujama na kujitegemea kwa kulazimishwa?

Vile vile tujiulize hivi ni kwa nini wansiasa wetu kila kukicha nchi za kiarabu zinapopigwa na marekani au Israel huwa wnawatukana wamarekani na waisraelkwaniaba ya waarabu?

Tukiwa na mawazo ya uchungu na majibu yake kutokana na kujifunza huko, ndipo tutajenga katiba imara.

Somalia baada ya vita na kukaa bila nchi kwa miaka ishirini, leo hii wamejifunza mengi sana . Zuri walilojifunza ni kuhakikisha katiba yao haimpi madaraka makuu raisi wao kamwe. Bunge wamelipa nguvu. Mahakama wameipa nguvu. Na raisi kapewa kipande chake. Sasa ona hata somalia inatuacha kwa kujenga good governance.

Tuangalie maslahi ya uchumi kwanza na sio dini.
 
sawa ulichokisema lakini hatuwezi kutafuta maslahi ya inch ikiwa ndani ya inch kunawatu wanaangalia maslahi ya dini yao cha kwanza tuweke usawa ndani ya dini zote ili tuweze kudai maslahi ya inch yetu.kwa nini wengine waonewe na wengine wanufaike na inch ambayo tunasema haina dini ni mbaya sana kwa inch km hii ambayo inakuwa na wimbo uzuri wa amani,tuwemakini lkn muda si mrefu huu wimbo unaweza kubadilika ghafla
 
nakubaliana na ulicho kisema lkn kuna umuhimu wakujua nini maana ya dini kama utalifahamu uwezi kutenganisha dini na siasa tujitahidi kusoma tusilete fikra finyu nakusema tutenganishe siasa na dini!!!!
 
hUU upunguani umetoka wapi tena karne hii ..yaani bado mmekalia maswala ya udini tu hapa badala ya kuangalia mambo ya kimaendeleo..ndio maana huku pwani mji umejengwa na wageni tu..bure kabisa..mtakalia kutuwangia usiku na kuswali milele halafu pepo hamtaiona kwa ajili ya kutofanya kazi..
 
hapa nakuunga mkono, lazima hizi hospitali zinapata faida swali ni je faida hizo zinaenda wapi. kama sio kwenye kujenga maparokia
 
hapa kujiunga na OIC kwa ajili ya mkopo sikuungi mkono kabisa, kwa mfano msimamo wa OIC kuhusu israel unajulikana sasa unataka taifa zima liwe na msimamo huo wakati watu wengi hawatauunga mkono si kutakuwa na mgawanyiko!. mi nafikiri tujiunge kama observers tu
 
Ni kweli lkn kwa nini haya yapo? Na kwa nini wengine wakose? Na wengine wapate? Suala la udini tanzania liliasisiwa mwl.nyerere na ndiyo maana waislam wanatakakulifuta.je wajua chanzo cha kuwepo mapumziko siku ya jumamosi na jumapili.



"no right to say without research"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…