Waislamu Tunadai nini Kwenye Katiba Mpya?


Nakusifu sana kwa haya uliyoyasema. Huyu mwenye thread hii hajaisoma katiba vizuri na ajiulize kero za watu ktk nchi hii ni zipi? Hivi mm watoto wangu wakivaa hijab na km hawapati mahitaji muhimu km shuke, hospital, nk kwa sababu ya mgawanyo mbaya wa rasilimali itanisaidia nn? Haya yote anayoyadai ayasemee mskitini na madrassa yataisha. Vyote alivyosema haviondoi kabisa kero kwawananchi.
 

Kweli ukikosa akili unakosa kila kitu. Hivi kweli TUME ipoteze muda kujadili NDEVU zenu?!!! Mtu ukiamua kuwa mchafu ufuge videvi kama beberu na kuwa na m'ba mpk kidevuni kwani nalo linahitaji ruhusa ya serikali? (Mambo ya aibu mliyotakiwa kuyaficha ndio mnayaweka mbele)

JUMAPILI: Wakristo hatusali Jumapili kwa kuwa Jumapili ni siku yetu. Hakuna sehemu kwenye Biblia kumeandikwa tusali Jumapili. Sisi tunasali kila siku na kila mtu kulingana na muda wake, ila kwa kuwa Jumapili ni Universal Public Holiday, tunakusanyika na kufanya DOMINICA. Sasa kutoelewa kwenu kunafanya muone ile ni siku maalum kwetu, no. Sisi tumeitumia kwa kuwa tayari ipo, lkn kusali ni KILA SIKU. Ukiwa na akili angalau kidogo, utagundua hata siku ya Mwaka Mpya (na sherehe zingine za serikali), kwa kuwa tupo nyumbani ni mapumziko, huwa tunafanya IBADA.

Bunge halisiti kufanya kazi JUMAMOSI kwa kuwa jumamosi na jumapili ni siku za kusali bali kwa kuwa ni PUBLIC HOLIDAY. Mnatia aibu wenzenu

WANAFUNZI KUSWALI SWALA 5: Hili sidhani hata kama mtakubaliana miongoni mwenu wenyewe kwa wenyewe. Hivi lazima ujinga uwe ndani ya katiba? Shida hapa ni kwamba hata mwandishi wa madai haya shule hajaenda. Ungekuwa umewahi kukanyaga shule ungegundua kuwa kila muhula una changamoto ya kutomaliza Syllabus. Muda ni mdogo na hivyoi wanafunzi hulazimika kupata masomo ya ziada. Cha ajabu, mtu mzima na akili zake ana-suggest kila baada ya nusu saa watoto waende msikitini. Halafu mkifeli mnasema baraza la mitihani linapendelea.

Mshangao wangu wa JUMLA: Kwa hiyo nyinyi kama Waislamu, mambo yooote yanayoikumba hii nchi nyinyi hayawahusu? Kwa hiyo nyinyi mnaaamini hii nchi itastawi kwa kuruhusiwa KUVAA HIJABU, KUFUGA NDEVU, KWENDA MSIKITINI KILA BAADA YA MASAA MAWILI n.k?

Hivi huwa mnatumia akili gani kuwajumuisha hata wenzenu waliosoma ktk matamko kama haya? Hivi POLISI na majukumu yake akavae HIJABU kweli? Midevu inaning'inia tena ya rangi nyekundu (polisi huyo) na makubazi?

Mimi mapendekezo yangu kwenye katiba mpya: Kiwango cha elimu kizingatiwe katika mtu kuwa kiongozi wa dini fulani. Hii itatusaidia kuepuka maoni ya ajabu ajabu namna hii.
 
Duu!,mkuu wewe kiboko
 
Ahsante sana STK ONE na Kunguru Mweusi. Kama wasomi tunapaswa kujadili MUSTAKABALI WA TAIFA. Ukiangalia kwa makini, watu wengi wanaweka mambo yasiyo na msingi kabisa! TUNAPASWA KUHAKIKISHA TAIFA LINAKUWA NA DIRA, DIRA AMBAYO KILA ATAKAYEINGIA MADARAKANI ANAIFUATA, KILA CHAMA KINAWEKA MALENGO NA SERA KWA MUJIBU WA DIRA. Wasomi tusaidiane ili tuweze kutoa maoni kwa ajili ya Taifa. Tutasifiwa au kuhukumiwa kwa ajili kutokana na Katiba tutakayoiandika.
 
lakini ebu waislamu tujiulize?hivi kwa akili za kawaida serikali hata madawati inashindwa,ajira ni issue na sasa je uwezo wa kujenga hospitali inauwezo huo?ndio maana ikaona jawabu ni kuyapigia magoti makanisa ili wasaidiane katika kuboresha huduma za jamii.na aliye initiate ili alikuwa "mzee ruksa" na kiukweli kwa miaka mingi mahospitali ya makanisa yamesaidia sana hata kabla ya "mou".tatizo hili ni tatizo la kihistoria na siyo la mkiristu,ujue walioleta dini ya kikristu walikuwa na vision lakini waarabu walikuwa na mission,ndio maana hawakutilia mkazo mambo ya elimu wala huduma za afya,cha msingi historia imetuhukumu,point ya msingi tumekumbuka shuka wakati kumekucha sasa tujifunze kwa wenzetu wakristo wanavyofanya,tuache uvivu,kushinda kwenye bao,tuchangamke.mbona kuna waislamu wenzetu wako mbali katika elimu,tuache kulalamikia ujinga.kwani hata mahakama ya kadhi ikiwepo,kuvaa hijabu je mataizo ya umaskini wa kushinwda kupeleka watoto wetu shule yatakwisha.je inamaana waumini wa kikristu hakuna maskini au inamaana wanagawiwa hela makanisani,je wanatibiwa bure na kusomeshwa bure kwenye haya mahospitali na mashule yao.waislamu tuache uchovu wa kufikiria let's be cretive kama wenzetu.
 

puuummbaaaavu mwenyeo!! Wat u spoke iz too PUMBA..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…