Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Wenzetu kwa watoto wao hawana mfumo mzuri wa kuwasomesha dini zao.
Sio hawana tu bali mfumo wa dini yao haukubali kabisa kuwaanda watoto wao ktk mfumo wa dini
Sasa wanaona choyo kuona waislam wamekiweka utaratibu wa madrasa ambao kwa kiwango kikubwa wanaopiga vita ili ukwame.
Changamoto ndogo ndogo kama bakora kwa watoto kusistoe ktk reli kuwasomesha watoto wetu.
1. Wanasema madrasa inapoteza muda kwa watoto na kurudisha nyuma mfumo elimu ya shule.
2. Unawafanya waislam wawe na msimamo wa dini yao
3. Walimu wa madrasa wanawapiga watoto.
Hata biblia imesema mtoto achapwe mpaka akae sawa.
Kuwa makini na muislam kuingia ktk mtego wa wakiristo ktk mfumo wa madrasa. Wataupiga vita kwa nguvu zote ili watoto wetu wawe kama wao wanaishi maisha ya wazungu.
Surah Al-Baqarah (2:120): "Wala Wayahudi wala Manasara hawataridhika nawe mpaka ufuate mila zao
Sisi tunapima tu na tunagundua kuwa hayo mambo yenu mnayofundishana sio ya Mungu wa kweli. Ndio maana wanaopitia madrasa mwishowe wanakuwa magaidi.
 
Kumfundisha mtoto kuhusu dini moja tu pekee ni kumfanya radical tu na kumpumbaza kwa kumuaminisha mambo yasiyo na maana.

Inafaa mtoto ajue kwamba Kuna dini kibao duniani, na watu wanaamini vitu tofauti tofauti na wapo agnoatics, atheists n.k..
Hiyo sasa ndiyo elimu ya dini. Otherwise ni Sunday school, madrasa na vitu kama hivyo ni sehemu za kupumbaza watoto wasifikiri beyond walicholazimishwa kukariri.
Ingekuwa ni mafundisho sahihi kusingekuwa na shida. Mafundisho ya kweli kumhusu Mungu wa kweli na kuhusu maisha sahihi yenye mafanikio kwa mwanadamu yapo ndani ya Biblia. Vitabu vingine ni copy na ku paste na kuchanganya na mambo mengine maovu.
 
Hiv biblia ni maneno ya nani
 
Wenzetu kwa watoto wao hawana mfumo mzuri wa kuwasomesha dini zao.

Sio hawana tu bali mfumo wa dini yao haukubali kabisa kuwaanda watoto wao ktk mfumo wa dini.

Sasa wanaona choyo kuona waislam wamekiweka utaratibu wa madrasa ambao kwa kiwango kikubwa wanaopiga vita ili ukwame.

Changamoto ndogo ndogo kama bakora kwa watoto kusistoe ktk reli kuwasomesha watoto wetu.

1. Wanasema madrasa inapoteza muda kwa watoto na kurudisha nyuma mfumo elimu ya shule.

2. Unawafanya waislam wawe na msimamo wa dini yao

3. Walimu wa madrasa wanawapiga watoto.

Hata biblia imesema mtoto achapwe mpaka akae sawa.

Kuwa makini na muislam kuingia ktk mtego wa wakiristo ktk mfumo wa madrasa.

Wataupiga vita kwa nguvu zote ili watoto wetu wawe kama wao wanaishi maisha ya wazungu.

Surah Al-Baqarah (2:120): "Wala Wayahudi wala Manasara hawataridhika nawe mpaka ufuate mila zao
Mkielimika mtaacha hayo maujinga yenu. Shida yenu ni uduni wa elimu
 
Wenzetu kwa watoto wao hawana mfumo mzuri wa kuwasomesha dini zao.

Sio hawana tu bali mfumo wa dini yao haukubali kabisa kuwaanda watoto wao ktk mfumo wa dini.

Sasa wanaona choyo kuona waislam wamekiweka utaratibu wa madrasa ambao kwa kiwango kikubwa wanaopiga vita ili ukwame.

Changamoto ndogo ndogo kama bakora kwa watoto kusistoe ktk reli kuwasomesha watoto wetu.

1. Wanasema madrasa inapoteza muda kwa watoto na kurudisha nyuma mfumo elimu ya shule.

2. Unawafanya waislam wawe na msimamo wa dini yao

3. Walimu wa madrasa wanawapiga watoto.

Hata biblia imesema mtoto achapwe mpaka akae sawa.

Kuwa makini na muislam kuingia ktk mtego wa wakiristo ktk mfumo wa madrasa.
.
Wataupiga vita kwa nguvu zote ili watoto wetu wawe kama wao wanaishi maisha ya wazungu.

Surah Al-Baqarah (2:120): "Wala Wayahudi wala Manasara hawataridhika nawe mpaka ufuate mila zao
Aisee sikujua kama weee ni poyoyo kiasi hiki.Kwamba wenzenu wanawaonea wivu!
 
Video ya madrasaa imerekodiwa na muislam. Aliyepeleka habari polisi ni mzazi muislam. Wakristo au dini zingine zinaingiaje hapo? Accountability starts with you msipende kulalamikia wengine mambo yenu wakati wao hawana time na nyie.
Hawa jamaa chochote kibaya kitachotokea kwenye dini yao lawama atapewa Marekani, Israel, Magharibi, Wakristo. Hawana historia ya kukubali kosa.
 
Covax brother wangu umefanya kusudi umtibue ndugu yetu ktk Imani na chawa wa walamba asali

Ittaqillah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]ndiyo ajue kabisa kwamba uislamu ni mkubwa kuliko uchawa, japo jawa calm sana kajua.
 
Nyie watumwa wa waarabu mbaita watu makafiri.
Mabwana zenu wa kiarabu wanatuona wote, ninyi na sisi makafiri tu.
Mi nimerusha jiwe gizani mkuu, ila kama limekupata endelea kuugulia maumivu.
 
Back
Top Bottom