Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Ukiona mtu ni Muslims au msabatho ni wachache sana huwa wanajielewa.wengine wote huwa wapo kama remote na upstairs huwa wanashida sana.
 
Mtoto wa kiislam kachapwa na ustadhi. Mzaziwe ambaye ni muislam kaenda kushtaki..

Sasa wengine wanaingiaje hapo mpaka useme hivi?

Kwamba watoto wa kikristu wanaishi kama wazungu.
Kuna aliyelalamika mtoto wa kiislam kuishi kama waarabu?

Udini huanzaga hivihivi.. mwishowe huwa na mwisho mbaya.. kuna kunanamna ya kujiepusha kwa namna yoyote basi fanya hivyo.
 
Back
Top Bottom