Waislamu tuwe makini tujiepushe na propaganda za wasiokuwa Waislamu dhidi ya madrasa na watoto wetu kwenye madrasa

Sisi tunapima tu na tunagundua kuwa hayo mambo yenu mnayofundishana sio ya Mungu wa kweli. Ndio maana wanaopitia madrasa mwishowe wanakuwa magaidi.
 
Ingekuwa ni mafundisho sahihi kusingekuwa na shida. Mafundisho ya kweli kumhusu Mungu wa kweli na kuhusu maisha sahihi yenye mafanikio kwa mwanadamu yapo ndani ya Biblia. Vitabu vingine ni copy na ku paste na kuchanganya na mambo mengine maovu.
 
Ingekuwa ni mafundisho sahihi kusingekuwa na shida. Mafundisho ya kweli kumhusu Mungu wa kweli na kuhusu maisha sahihi yenye mafanikio kwa mwanadamu yapo ndani ya Biblia. Vitabu vingine ni copy na ku paste na kuchanganya na mambo mengine maovu.
Hiv biblia ni maneno ya nani
 
Mkielimika mtaacha hayo maujinga yenu. Shida yenu ni uduni wa elimu
 
Aisee sikujua kama weee ni poyoyo kiasi hiki.Kwamba wenzenu wanawaonea wivu!
 
Video ya madrasaa imerekodiwa na muislam. Aliyepeleka habari polisi ni mzazi muislam. Wakristo au dini zingine zinaingiaje hapo? Accountability starts with you msipende kulalamikia wengine mambo yenu wakati wao hawana time na nyie.
Hawa jamaa chochote kibaya kitachotokea kwenye dini yao lawama atapewa Marekani, Israel, Magharibi, Wakristo. Hawana historia ya kukubali kosa.
 
Covax brother wangu umefanya kusudi umtibue ndugu yetu ktk Imani na chawa wa walamba asali

Ittaqillah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]ndiyo ajue kabisa kwamba uislamu ni mkubwa kuliko uchawa, japo jawa calm sana kajua.
 
Nyie watumwa wa waarabu mbaita watu makafiri.
Mabwana zenu wa kiarabu wanatuona wote, ninyi na sisi makafiri tu.
Mi nimerusha jiwe gizani mkuu, ila kama limekupata endelea kuugulia maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…