Mtoto wa kiislam kachapwa na ustadhi. Mzaziwe ambaye ni muislam kaenda kushtaki..
Sasa wengine wanaingiaje hapo mpaka useme hivi?
Kwamba watoto wa kikristu wanaishi kama wazungu.
Kuna aliyelalamika mtoto wa kiislam kuishi kama waarabu?
Udini huanzaga hivihivi.. mwishowe huwa na mwisho mbaya.. kuna kunanamna ya kujiepusha kwa namna yoyote basi fanya hivyo.