Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWAKama kuna ukafiri huko tunakwenda tu, tatizo nini?
Baniani anaabudu ng'ombe siyo kiatu chake.BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA
Kumbe hata huelewi.Baniani anaabudu ng'ombe siyo kiatu chake.
Kweli waislamu ni wapumbavu sana ni kweli hatumuamini ala sijui ara ila tunamuamini Mungu.
Pia usisahau ni makafiri hao hao kama uwaitavyo wewe ndo waliwavamia hao unaowaita waislam na kuwapiga mabomu,halafu wakakimbilia huko unakosema ulaya,Angalia historia nikwanini hao waislamu walikimbilia maulaya,Kabla ya kulalamika na kuonyesha chuki zako,tafuta ukweli,
Hakuna nchi ya waislamu waarabu ambao hawapigwa mabomu na wazungu wanaohama kwa makundi kuelekea ulaya,
DUNIA YA MUNGU SIO YA MAKAFIRI.muislam ana haki ya kuishi popote kwenye hii dunia .NA SHARIA ITASIMAMA
waliivamia na hapakuwa kwao , hv bwana malaria waarab wamekugeuza chizi lao , hata ulichoandika kinaonesha kabisa walivamia na sio kwaoKatika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
ila uislam ni dini ya shetan , maana unauwa kuwa ukristu ulianza kufika mashariki ya kati hata kabla uislam haujazaliwa ila upo hapa kupotosha umma makusudinakuonyesha wazungu walikuwa waislam kabla ya vatikan kuharibu mambo
mliwakaribisha wenyewe , hawakuanguka kutoka anganiWatalii kumbe walienda Iraq na Syria kutalii. Kumbe wako kwenye base pale Qatar kutali na zile base za UAE na Saud Arabia yote ni utaliii au ni kuleta balaa hapo middle east
Si ana Carriers anataka ni base kama si ujambazi kumyonya pesa za warabu
Ukiwakaribisha ujue umekaribisha joka nyumbani.Unahabari Turkey anaitungua Sirya kila siku? Una habari Iraq na Irani ni paka na panya na wamedumu kwenye vita miaka 20 niseme nini juu ya sudani, je karatasi zitatosha nikiandika ya Somalia
Kifupi Uislamu unaenezwa kwa Upanga
Saudi Arabia wanakimbia nchi kila siku wanataka good life la Uk, US Canada AUS na Ulaya
Kifupu Hakuna nchi ya Kiislamu yenye AMANI mpaka dunia inaisha Waislamu wataishia kutanga tanga kwa Makafiri
Na sasa hivi watapigwa stop kila kona
Wewe wasema,sharia itasimama,kama sio leo keshohahaha
vya makafiri vitamu sana, hii dunia haitakuja kutawaliwa na kitu Sharia Upuusi
Jina lako linasadifu dini yenu.Wewe wasema,sharia itasimama,kama sio leo kesho
Mwenye sharia sio mimi.Jina lako linasadifu dini yenu.
Mjumbe wa mnyazi ara araamduriraiMwenye sharia sio mimi.
Mimi mjumbe tu
Mjumbe wa yesuMjumbe wa mnyazi ara araamdurirai
Mkuu bs wakimbilie kwa waarabu wenzao hahahHukuwahi kuongea la maana.
Huwa unaropokaga tu.
Wahamiaji wa kiarabu hutokea nchi zenye vita SYRIA,LEBANON,IRAQ,YEMEN.
Na ukifuatilia nadhani utaelewa nani chanzo cha machafuko ya hayo mataifa ni hao hao wazungu wenyewe.
Umewahi kusikia mwarabu wa QATAR,OMAN,BAHRAIN,KUWAIT,DUBAI,BRUNEI ana mawazo ya kuhamia Ulaya!??
Nchi za hao wafu zingekuwa hazijaingizwa katika vita basi wangekua kwao wanajenga taifa Lao.
Doh mambo imechemkanakuonyesha wazungu walikuwa waislam kabla ya vatikan kuharibu mambo
Wanaenda kuwabadilisha hao makafiri wakizungu wawe waisilamu🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?
QUR'AN 2:216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui.Tuanze na bibi yetu FaizaFoxy umekaa Canada zaidi ya miaka 20+ cha ajabu Hujawahi tia mguu Pakistan wala Iran hata siku1