Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Yah , dini ya kiislam hairuhusu kuishi na mtu ambaye si muislam , yani divyo ilivyo tena anatakiwa kuuwawa kbs
 
Kafiri haina nchi fulani, yeyote mwenye kukufuru ni kafiri.

Nani zaidi yako hapa aliyeandika "nchi za makafiri"?

Unajuwa maana ya kafiri?
 
Hata sioni mantiki ya ulipoandika vita ndiyo sababu NO, Europe is a dreams place for everyone, but muslims mnaita wazungu na wale wasio upande wenu kafiri kisa na mkasa unajua.

Ila sasa hao hao ndiyo tegemeo lenu, mfano uchumi wa nchi za Emarati unategemea watalii kutoka ulaya hata hapo nchini zanzibari unategema watalii ambao ni wazungu pia.
 
🤣🤣


Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian

Qur'an 2:255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. 255
 
🤣🤣



Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu

= unakejeli.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kafiri haina nchi fulani, yeyote mwenye kukufuru ni kafiri.

Nani zaidi yako hapa aliyeandika "nchi za makafiri"?

Unajuwa maana ya kafiri?
Mufti, mbona kila leo mnaimba kusema, Ulaya ni bara la makafiri?

Inakuweje leo tena unasema kafiri hana nchi? Hii siyo namna ya kupenda vya makafiri?
 
Hapo sasa
Ila Kwa kinachoendelea sshv ,itafahamila tu baadhi ya nchi wamewachoka ni kuwaondosha tu
 
Huyo anaupenda Uislam na Waarabu ndicho kinachomuuma.

Wivu unamsumbuwa.
 
Kafiri ni yule anayemkanusha Mungu kwa kusema HAKUNA MUNGU ISIPOKUWA allah
 
Hawa wenzetu akili zao ni kigeugeu
 
Huyo anaupenda Uislam na Waarabu ndicho kinachomuuma.

Wivu unamsumbuwa.
Inakuwaje wewe uliye na mungu halafu unakwenda kuishi kwa kujikomba komba kwa makafiri ambayo wewe husema hayana Mungu?

Halafu uwezo wa makafiri na msio makafiri ni vitu viwili tofauti
 
"Waliowazima hawaitaji tabibu bali waliohajiwezi"tukijitenga nao watazidi kuangamia,lazima sisi twende ili na wao wawezekuja.
 

Hao wamarekani ndiyo hawataki kabisa dini, ukiristo wameutupa kule,udwanzi wa Mungu kushuka kuvaa mwili wa kibinadam,asulubiwe ili kutuokoa wameona udwanzi
Nyinyi mbona Safu haiziongezeki!; licha ya mikwala ya vitisho wakati kuazini swala Asubuhi!
Huwa nasikia swala ni Bora kuliko usingizi, swala swalaah swalalaaa....chumba hicho ulicho lala ni kaburi! KITANDA ulicho lalia ni jeneza....muachie Huyo uliye mkumbatia atakuponza! swala,swalaaaa.......
 
Kwanini hawa jamaa hawakimbili kwenye nchi za Kiislamu kama Iran, Saudia, n.k
Maana huko sharia za kidini wanazotaka zianzishwe ulaya zipo tayari.
 
Sasa hao Syrian kwanini wasiende huku Qatar, Oman na ulipopata?
 


View: https://www.youtube.com/shorts/OSfyYCkzLTo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…