Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Yah , dini ya kiislam hairuhusu kuishi na mtu ambaye si muislam , yani divyo ilivyo tena anatakiwa kuuwawa kbsNi sawa na wanavyosema hawaruhusiwi kula kitimoto isipokuwa wakiwa na njaa kali bila chakula chochote karibu.
So tukitafsiri hapo; ugumu wa maisha ni sawa na wao kuwa na njaa kali, na kukimbilia kuishi kwa makafiri ni sawa na wao kuonja kitimoto ili njaa isiwaue.