Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Hayo niliyo post kaelekeza Mtume wako ref;
👇👇

mungu wa waisilamu Ameagiza HUKUMU hii Kwa mashoga!
👇👇
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

[ AN-NISAAI - 16 ]
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Pia mungu wao amewapa wepesi kama muislamu AMEINGILIWA IMA AMEINGILIA NA Maiti, Mnyama, Mtoto, Kuntha, Kifisifisi...Waoge Kata.3!

Kipambanuzi katika kubainisha sababu za kuoga
Inawajibika kuoga kwa mwanaume kwa kutokwa na manii katika
njia yake ya kawaida au nyingine.
Na kwa kuzamisha tene (kichwa cha dhakari) au klasi chake katika
tupu yoyote iwayo, mamoja ikiwa amezamisha katika tupu ya
mbele ya mwanamke au ya mnyama, au tupu zao za nyuma,
Tupu ya nyuma ya mwanaume au ya khuntha, akiwa (aliyezanmisha ni)
mtoto mdogo au mkubwa, hai au maiti Na ni wajibu kuoga kwa
mwanamme mwenye kutiwa katika tupu yake ya nyuma
Na ni wajibu kuoga kwa mwanamke kwa dhakari yoyote
itakayoingi katika tupu yake yeyote au tene ya mnyama, maiti, au
mtoto mdogo.

Mungu wa Wakristo Ameagiza hili!
👇👇
Leviticus 20:13
[13]Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.

. Jeremiah 2:22
[22]Maana ujapojiosha kwa magadi, na kujipatia sabuni nyingi, lakini uovu wako umeandikwa mbele zangu, asema Bwana MUNGU.

1 Corinthians 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

[10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Hakuna Aya katika Biblia Takatifu Inayo Fundisha Uchafu huo!
Kama unayo Aya kwenye Biblia Takatifu Tuwekee Mkuu!

Hivyo wanaofuata na kuuishi ushoga wanafuata na Kuishi Ilimu Islamu!

VITABU VIONGEE💪👍
 
Kwani Mungu wa Agano la kale ndiye Mungu wa Agano jipya ??

Mbona huku Yesu anasema

Pia soma na hapa

Labda na mm nikuulize swali,hao wazungu wanaotuona sisi waafrika tuna laana kwa nini kwenye hizi nchi zetu hawatoki wakatuacha na hizi laana zetu.

Nafikiri unachopaswa kufahamu ni kwamba waarabu hawaendi ulaya kuwafuata wazungu,wamekwenda kufuata fursa kama ambavyo wazungu wanafuata fursa Afrika.

Pia kumbuka kwqmba sio waarabu tu wanaokwenda ulaya,hata wazungu wapo uarabuni chungumzima.

Labda useme kama una chuki za kidini unashindwa namna ya kuziexpose.
 
View: https://youtu.be/xhM3UMRl830
 
Sitatumia lugha kama yako hiyo ili nisije nikafananishwa na wewe kwa sababu tuko tofauti kabisa.

Dunia ya sasa hivi ni tofauti kabisa na ya enzi hizo ambapo mtu (mwanamke) angeweza tu kupigwa mawe hadi kufa kisa eti amezini na mwanaume ambaye yeye hapigwi mawe...!!!

Dunia ya sasa huwezi kumkata mtu mkono eti kisa amepatikana na hatia ya kuiba au kulazimisha watu wavae kama unavyotaka wewe. Hizo ni sheria za kipumbavu ambazo hazipo ktk duniani yetu iliyo staraabika.
 
Dunia iliyostaarabika wanaume kuoana, wanawake kutembea na na vichupi!?.. definition yako ya ustaarabu ni ipi?!
 
Hawezi kujibu hii warahi
 
Dunia iliyostaarabika wanaume kuoana, wanawake kutembea na na vichupi!?.. definition yako ya ustaarabu

Sasa waislam ambao ni wachache USA na Canada wanaweka visheria gani ilhali hawana mamlaka!?..umelishwa ujinga unakunya pumba tu, binaadam ni yuleyule tu,bado ala,alala na kwenda haja, huwezi sema binaadam wa Leo hahitaji dini,ndiyo maana jamii haueleweki,ndoa zinavunjika na mnahalalisha tundu la kutolea uchafu

Hayo niliyo post kaelekeza Mtume wako ref;
👇👇

mungu wa waisilamu Ameagiza HUKUMU hii Kwa mashoga!
👇👇
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

[ AN-NISAAI - 16 ]
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Pia mungu wao amewapa wepesi kama muislamu AMEINGILIWA IMA AMEINGILIA NA Maiti, Mnyama, Mtoto, Kuntha, Kifisifisi...Waoge Kata.3!

Kipambanuzi katika kubainisha sababu za kuoga
Inawajibika kuoga kwa mwanaume kwa kutokwa na manii katika
njia yake ya kawaida au nyingine.
Na kwa kuzamisha tene (kichwa cha dhakari) au klasi chake katika
tupu yoyote iwayo, mamoja ikiwa amezamisha katika tupu ya
mbele ya mwanamke au ya mnyama, au tupu zao za nyuma,
Tupu ya nyuma ya mwanaume au ya khuntha, akiwa (aliyezanmisha ni)
mtoto mdogo au mkubwa, hai au maiti Na ni wajibu kuoga kwa
mwanamme mwenye kutiwa katika tupu yake ya nyuma
Na ni wajibu kuoga kwa mwanamke kwa dhakari yoyote
itakayoingi katika tupu yake yeyote au tene ya mnyama, maiti, au
mtoto mdogo.

Mungu wa Wakristo Ameagiza hili!
👇👇
Leviticus 20:13
[13]Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.

. Jeremiah 2:22
[22]Maana ujapojiosha kwa magadi, na kujipatia sabuni nyingi, lakini uovu wako umeandikwa mbele zangu, asema Bwana MUNGU.

1 Corinthians 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

[10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.

Hakuna Aya katika Biblia Takatifu Inayo Fundisha Uchafu huo!
Kama unayo Aya kwenye Biblia Takatifu Tuwekee Mkuu!

Hivyo wanaofuata na kuuishi ushoga wanafuata na Kuishi Ilimu Islamu!

VITABU VIONGEE💪👍
 
Attachments

  • 1722860406785.gif
    42 bytes · Views: 1

Mbona kaleta agano jipya linaruhusu

Mbona mambo Vatican yako hivi ??

Four in five Vatican priests are gay, book claims
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…