George Charles007
JF-Expert Member
- Mar 10, 2024
- 217
- 337
kwa nini waislamu sasa mnalipua lipua watu wasio wa dini yenukwani wewe ulilazimishwa imani ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini waislamu sasa mnalipua lipua watu wasio wa dini yenukwani wewe ulilazimishwa imani ??
kwa nini waislamu sasa mnalipua lipua watu wasio wa dini yenu
SijalipuliwaWewe ulilipuliwa na nani ??
Umejibu wapi nikuongezee raqaa🎤Mbona nilishamjibu au hukuona
We una wapostia vitu vyote wajinga hao unadhani hawajui, wanataka ligi za kijinga tuHayo niliyo post kaelekeza Mtume wako ref;
👇👇
mungu wa waisilamu Ameagiza HUKUMU hii Kwa mashoga!
👇👇
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا
[ AN-NISAAI - 16 ]
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.
Pia mungu wao amewapa wepesi kama muislamu AMEINGILIWA IMA AMEINGILIA NA Maiti, Mnyama, Mtoto, Kuntha, Kifisifisi...Waoge Kata.3!
Kipambanuzi katika kubainisha sababu za kuoga
Inawajibika kuoga kwa mwanaume kwa kutokwa na manii katika
njia yake ya kawaida au nyingine.
Na kwa kuzamisha tene (kichwa cha dhakari) au klasi chake katika
tupu yoyote iwayo, mamoja ikiwa amezamisha katika tupu ya
mbele ya mwanamke au ya mnyama, au tupu zao za nyuma,
Tupu ya nyuma ya mwanaume au ya khuntha, akiwa (aliyezanmisha ni)
mtoto mdogo au mkubwa, hai au maiti Na ni wajibu kuoga kwa
mwanamme mwenye kutiwa katika tupu yake ya nyuma
Na ni wajibu kuoga kwa mwanamke kwa dhakari yoyote
itakayoingi katika tupu yake yeyote au tene ya mnyama, maiti, au
mtoto mdogo.
Mungu wa Wakristo Ameagiza hili!
👇👇
Leviticus 20:13
[13]Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
. Jeremiah 2:22
[22]Maana ujapojiosha kwa magadi, na kujipatia sabuni nyingi, lakini uovu wako umeandikwa mbele zangu, asema Bwana MUNGU.
1 Corinthians 6:9-10
[9]Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
[10]wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi.
Hakuna Aya katika Biblia Takatifu Inayo Fundisha Uchafu huo!
Kama unayo Aya kwenye Biblia Takatifu Tuwekee Mkuu!
Hivyo wanaofuata na kuuishi ushoga wanafuata na Kuishi Ilimu Islamu!
VITABU VIONGEE💪👍
Iran nako kuna vita mkuuHukuwahi kuongea la maana.
Huwa unaropokaga tu.
Wahamiaji wa kiarabu hutokea nchi zenye vita SYRIA,LEBANON,IRAQ,YEMEN.
Na ukifuatilia nadhani utaelewa nani chanzo cha machafuko ya hayo mataifa ni hao hao wazungu wenyewe.
Umewahi kusikia mwarabu wa QATAR,OMAN,BAHRAIN,KUWAIT,DUBAI,BRUNEI ana mawazo ya kuhamia Ulaya!??
Nchi za hao wafu zingekuwa hazijaingizwa katika vita basi wangekua kwao wanajenga taifa Lao.
Huyo anakuletea uswahili, ana cha kukuambia zaidi ya porojo.Umejibu wapi nikuongezee raqaa🎤
Nini maana ya neno KAFIRI?🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Unakejeri nchi za watu na kuwaita Makafiri, halafu wewe ndo unaomba kuhamia huko na usivyo na ustarabu sasa, tabu tupu
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu wa huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Je? Kafiri anaweza kumlea mwislamu asiyependa makafiri?
Hoja mujarabu kabisa hii.🤣🤣

Akinijibu niTag Mkuu!
Umejibu wapi nikuongezee raqaa🎤
Tabia zinaendana na michuzi, pesa tamu mjomba, afu wakifika kule wanataka wawalipue na wamejileta wenyewe shenz.Elezea wewe mkuu, maana hao warabu wabamadharau sana, kazi kuwaambia wazungu ni makafiri ilihali wanakimbilia huko kutafuta maisha, hawaendi nchi za waarabu wenzao ambao si makafiri
Uwe Unafichaga Ujinga wako Huelewi MAANA ya shoga na Towashi!Kwani Mungu wa Agano la kale ndiye Mungu wa Agano jipya ??
Mbona huku Yesu anasema
View attachment 3062172
Pia soma na hapa
View attachment 3062174
😂Nimekujibu au hukuona au hizi aya huziamini
Unajifanya huoni
Ikiwa mwanamke atajifungua mtoto wa kiume, basi atakuwa najisi kwa siku 7.
Lakini akizaa mtoto wa kike, basi atakuwa najisi kwa siku 14. Hivyo kwa maneno mengine, kuzaliwa kwa mwanamke yeyote husababisha uchafuzi maradufu: Mambo ya Walawi 12:2-5
“Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akichukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume, atakuwa najisi SABA. SIKU, kwa kadiri ya siku za kutengwa kwake kwa ajili ya ugonjwa wake atakuwa najisi kitu kitakatifu, wala asiingie mahali patakatifu, hata siku hizo za kutakaswa kwake zitakapotimia; siku sita."
Nadhani ni salama kusema kwamba Mhubiri 22:3 na Mambo ya Walawi 12:2-5 ni mistari dada.
Ikiwa mwanamke anajaribu kumwokoa mume wake kutokana na kipigo kwa kushika sehemu za siri za mwanamume mwingine ili kumwinua kutoka kwa mumewe, basi mikono yake yote miwili lazima ikatwe: Kumbukumbu la Torati 25:11-12
“Na kama watu wakishindana pamoja. pigana wao kwa wao, na mke wa mmoja amekaribia kumwokoa mume wake kutokana na yule anayempiga (ili kumuokoa mumewe), na yeye akanyosha mkono wake na kumshika pajani mwake. , basi lazima akatwe mikono yake yote miwili, na macho ya wanaume hao yasiwe na huzuni.”
Akina baba wanaweza kuwauza binti zao kuwa vijakazi:
Kutoka 21:7-8
“Na mtu akimuuza binti yake awe kijakazi, hatatoka jinsi watumwa wa kiume watokavyo; macho ya bwana wake asije akamweka kuwa suria, bali atamfanya akombolewe, hatastahili kumuuza kwa watu wa kigeni, katika kumtendea kwa hila.”
Mabinti hawarithi chochote wanapokuwa na watoto wa kiume: “Mtu akifa bila kuacha mtoto wa kiume, mpe urithi wake kwa binti yake.” ( Hesabu 27:8 ) Kwa hiyo sheria ya Marekani ya kugawanya kila kitu kwa usawa si ya Biblia.
Yesu anawaona wanawake kuwa uchafu unaowatia wanaume unajisi (kwa kuwa Yesu, MUNGU, ndiye anayedaiwa kuwa alivuvia Agano Jipya kama Wakristo wanavyodai):
Ufunuo 14:4
“Hao ndio (wanaume) ambao hawakujitia unajisi pamoja na wanawake; walijiweka safi. Wanamfuata Mwana-Kondoo popote aendako.
Bora wewe unaanza kujitambua ila unadhani pasi mzee Nyerere, je zanzibari ingekuwa inajitegemea na uchumi wake kutegemea nini?.Zanzibar uchumi umelazimishwa utegemee utalii baada ya kafiri Nyerere kuingilia kati uchaguzi wa 1995 na kulazimisha apewe uraisi salmini kinyume cha matakwa ya Wazanzibari . Matokeo yake nchi za West wakaiwekea vikwazo vya uchumi Zanzibar , ili kuondokana na hii hali Salmini akaanzisha utalii huku ukiletwa unga , hata Serikali ya Marekani iliwahi kumwonya kwa hili . Salmini akitembea na Bullet proof kwa hofu
Bora wewe unaanza kujitambua ila unadhani pasi mzee Nyerere, je zanzibari ingekuwa inajitegemea na uchumi wake kutegemea nini?.
Hii hapa nyundo mkuu, huna hoja ya kuipinga, inakuvua nguo kweupeNimekujibu au hukuona au hizi aya huziamini
Unajifanya huoni
Ikiwa mwanamke atajifungua mtoto wa kiume, basi atakuwa najisi kwa siku 7.
Lakini akizaa mtoto wa kike, basi atakuwa najisi kwa siku 14. Hivyo kwa maneno mengine, kuzaliwa kwa mwanamke yeyote husababisha uchafuzi maradufu: Mambo ya Walawi 12:2-5
“Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mwanamke akichukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume, atakuwa najisi SABA. SIKU, kwa kadiri ya siku za kutengwa kwake kwa ajili ya ugonjwa wake atakuwa najisi kitu kitakatifu, wala asiingie mahali patakatifu, hata siku hizo za kutakaswa kwake zitakapotimia; siku sita."
Nadhani ni salama kusema kwamba Mhubiri 22:3 na Mambo ya Walawi 12:2-5 ni mistari dada.
Ikiwa mwanamke anajaribu kumwokoa mume wake kutokana na kipigo kwa kushika sehemu za siri za mwanamume mwingine ili kumwinua kutoka kwa mumewe, basi mikono yake yote miwili lazima ikatwe: Kumbukumbu la Torati 25:11-12
“Na kama watu wakishindana pamoja. pigana wao kwa wao, na mke wa mmoja amekaribia kumwokoa mume wake kutokana na yule anayempiga (ili kumuokoa mumewe), na yeye akanyosha mkono wake na kumshika pajani mwake. , basi lazima akatwe mikono yake yote miwili, na macho ya wanaume hao yasiwe na huzuni.”
Akina baba wanaweza kuwauza binti zao kuwa vijakazi:
Kutoka 21:7-8
“Na mtu akimuuza binti yake awe kijakazi, hatatoka jinsi watumwa wa kiume watokavyo; macho ya bwana wake asije akamweka kuwa suria, bali atamfanya akombolewe, hatastahili kumuuza kwa watu wa kigeni, katika kumtendea kwa hila.”
Mabinti hawarithi chochote wanapokuwa na watoto wa kiume: “Mtu akifa bila kuacha mtoto wa kiume, mpe urithi wake kwa binti yake.” ( Hesabu 27:8 ) Kwa hiyo sheria ya Marekani ya kugawanya kila kitu kwa usawa si ya Biblia.
Yesu anawaona wanawake kuwa uchafu unaowatia wanaume unajisi (kwa kuwa Yesu, MUNGU, ndiye anayedaiwa kuwa alivuvia Agano Jipya kama Wakristo wanavyodai):
Ufunuo 14:4
“Hao ndio (wanaume) ambao hawakujitia unajisi pamoja na wanawake; walijiweka safi. Wanamfuata Mwana-Kondoo popote aendako.
Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr!Nimekujibu au hukuona au hizi aya huziamini

😂
Mkuu, kwanza heshima kwako
Kule kutaka tu kurasimisha mandiko ambayo hayasemi chochote ulichokusudia, ni ujasiri wa hali ya juu
Embu onyesha kwenye mandiko hayo uliyoleta, ni andiki lipi linaloruhusu mtu mwanaume kumwingilia mwanaume ukilinganisha na kile amekuthibitishia bwana mgen
Hii khutba peleka msikitini kwenye Watu kama ww ukazawadiwe takbirrr!
Nimekwambia Tuwekee Ushahidi MUNGU wa Agano Kongwe na Mungu wa Agano Jipya ni Tofauti!
Umefikia ukafiri mpaka unaibishia qaraa iliyo sema MUNGU WETU sisi pamoja na muham mad aka allah ni Mmoja!
👇👇
وَإِلَـٰهُكُمْ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ الرَّحْمَـٰنُ الرَّحِيمُ
[ AL - BAQARA - 163 ]
Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.