Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Wakiristo neno "makafiri" Huwa linatuuma kwa kuwa Lina sound vibaya lkn halina tofauti na neno mpagani tunalotumia Wakiristo kwa wale wasioamini. Take it easy.
 
Hukuwahi kuongea la maana.
Huwa unaropokaga tu.
Wahamiaji wa kiarabu hutokea nchi zenye vita SYRIA,LEBANON,IRAQ,YEMEN.
Na ukifuatilia nadhani utaelewa nani chanzo cha machafuko ya hayo mataifa ni hao hao wazungu wenyewe.
Umewahi kusikia mwarabu wa QATAR,OMAN,BAHRAIN,KUWAIT,DUBAI,BRUNEI ana mawazo ya kuhamia Ulaya!??
Nchi za hao wafu zingekuwa hazijaingizwa katika vita basi wangekua kwao wanajenga taifa Lao.
Sasa mbona hawakimbilii nchi za Kiisilamu wanaenda Ulaya...au hampendani?
 
HIVI nachat na Muumini au muislamu dirisha dogo au kafiri?🎤👂
Ukiniwekea Ushahidi Allah anamTuma muham mad mtoto wa abd allah tuwekeane miadi unipige shahada Kwa kinywa chako!

Hata unachokiandika unakijua ?? Nashukuru hukujibu kitu kuwa Yesu si Mungu , itakuwa umekubali pia hukujibu kitu kuwa Injili ya Yohana imechakachuliwa , inaonyesha unakubaliana na yote niliyokuletea . unazuwa mengine sasa lakini ninawe labda ukimbie kama wenzako

Tulia vitu vikuingie

Q 33:40) Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Messenger of Allah and the seal of the Prophets. Allah has full knowledge of everything.

( Q 21:25) “Never did We send any Messenger before you to whom We did not reveal: "There is no god but Me. So serve Me alone."

Allah showed great kindness to the believers when He sent a Messenger to them from among themselves to recite His Signs to them, purify them and teach them the Book and Wisdom, even though before that they were clearly misguided. (Surah Al `Imran: 164)

We have sent you bearing witness, bringing good news, and warning so that you might all believe in Allah and His Messenger as well as honor, respect, and glorify Him in the morning and the evening. Those who pledge their allegiance to you pledge allegiance to Allah. Allah`s hand is over their hands. Those who break their pledge only break it against themselves. But as for those who fulfill the contract they have made with Allah, We will give them an immense reward. (Surat al-Fath: 8-10)

You should accept whatever the Messenger gives you and abandon whatever he tells you to abandon. Have taqwa of Allah... (Surat al-Hashr: 7)

A Messenger has come to you from among yourselves. Your suffering is distressing to him. He is deeply concerned about you, and is gentle and merciful to the believers. (Surat at-Tawba: 128)

But if anyone opposes the Messenger after the guidance has become clear to him, and follows a path other than that of the believers, We will hand him over to whatever he has turned to, and We will roast him in Hell. What an evil destination! (Surat an-Nisa`: 115)
 
Kwa kujilipua?

Hujanijibu wewe nani kakulipua ?? hivi ninavyowalipua kuwaonyosha biblia ilivyochakachuliwa na Yesu si Mungu si mlipuo mdogo , mnabaki kubweka bweka tu mkiandika upuuzi
 
Waspain wamepataje hizo tamaduni za Kituruki?
Kwa social interaction mkuu.
Catalan ama Catalunya ni kisiwa chenye jamii kubwa tu ya Kituruki.
Ila hayo yote yametokea baada ya Ottoman empire kutawala uhispania.
 
Sasa mbona hawakimbilii nchi za Kiisilamu wanaenda Ulaya...au hampendani?
Sababu nimezitaja mkuu.
Tatizo sio Uislam bali uarabu.
Pitia post utaona nimetoa sababu kurudia inakua kazi.
 
Kwa social interaction mkuu.
Catalan ama Catalunya ni kisiwa chenye jamii kubwa tu ya Kituruki.
Ila hayo yote yametokea baada ya Ottoman empire kutawala uhispania.
Otoman Empire ilitawala lini Spain. Unaweza kuweka ushahidi hapa?
 
Waarabu wengi wako uncivilized hilo liko Wazi hawana elimu na sio wastaarabu kbs hilo ndio tatzo kubwa kwao ,Mwarabu msomi alieelimika hautakuta ana maneno yenye kejeli hvo kamwe, ila hawa waarabu weusi wa Buzuruga na Nyamanoro ndio jau.
Wewe dogo kaulize America madaktar wao wakubwa wengi ni wa wapi utapata jibu, nenda UK utapata jibu. We uko hapo kwenye mgahawa wa kibosho utafahamu nini wewe. Kwanza aliye anzisha fujo huko ni Mhutu kutoka Burundi na ni mkristo.

FYI Iraq watu wana PhD walikuwa wana drive tax, ndio kitu kilicho mfanya US atafute njia ya kwenda wamaliza wasomi wa Iraq, alihakikisha wale ma engineering wote anawauwa.

Pumbafu mmoja we uko kwenye kioski cha kibosho unaimba kwaya za kanisani, nyie ndio mnatumiwa na US kuvuruga amani Africa.
 
Waarabu wengi wako uncivilized hilo liko Wazi hawana elimu na sio wastaarabu kbs hilo ndio tatzo kubwa kwao ,Mwarabu msomi alieelimika hautakuta ana maneno yenye kejeli hvo kamwe, ila hawa waarabu weusi wa Buzuruga na Nyamanoro ndio jau.

Civilized ni vipi kwa tafsiri yako ?? Mwanaume kubandikwa fudu na mwanamume mwenzako unaita civilized ?? yaani hatukuelewi yaani hao wazungu waliokuwa civilized wamefika mpaka kuweka makanisa ya kumwabudu shetani na biblia kuandika ya shetani , wengine wamefika mpaka kuandika kuwa Yesu alikuwa Shoga, hayo unayaona ndiyo maendeleo ???
 
Otoman Empire ilitawala lini Spain. Unaweza kuweka ushahidi hapa?
Sio Hispania yote ilitawaliwa HAPANA.
Ni upande wa Catalunya tu,ila watu asili ya Moors walisambaa mpaka Uhispania na wakitawala baadhi ya sehemu kabla ya Spain 1517 kuwavamia na kuwafukuza na kuondoa utawala wa OTTOMAN Catalunya.
 
Hata unachokiandika unakijua ?? Nashukuru hukujibu kitu kuwa Yesu si Mungu , itakuwa umekubali pia hukujibu kitu kuwa Injili ya Yohana imechakachuliwa , inaonyesha unakubaliana na yote niliyokuletea . unazuwa mengine sasa lakini ninawe labda ukimbie kama wenzako

Tulia vitu vikuingie

Q 33:40) Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Messenger of Allah and the seal of the Prophets. Allah has full knowledge of everything.

( Q 21:25) “Never did We send any Messenger before you to whom We did not reveal: "There is no god but Me. So serve Me alone."

Allah showed great kindness to the believers when He sent a Messenger to them from among themselves to recite His Signs to them, purify them and teach them the Book and Wisdom, even though before that they were clearly misguided. (Surah Al `Imran: 164)
We have sent you bearing witness, bringing good news, and warning so that you might all believe in Allah and His Messenger as well as honor, respect, and glorify Him in the morning and the evening. Those who pledge their allegiance to you pledge allegiance to Allah. Allah`s hand is over their hands. Those who break their pledge only break it against themselves. But as for those who fulfill the contract they have made with Allah, We will give them an immense reward. (Surat al-Fath: 8-10)
You should accept whatever the Messenger gives you and abandon whatever he tells you to abandon. Have taqwa of Allah... (Surat al-Hashr: 7)
A Messenger has come to you from among yourselves. Your suffering is distressing to him. He is deeply concerned about you, and is gentle and merciful to the believers. (Surat at-Tawba: 128)

But if anyone opposes the Messenger after the guidance has become clear to him, and follows a path other than that of the believers, We will hand him over to whatever he has turned to, and We will roast him in Hell. What an evil destination! (Surat an-Nisa`: 115)
Unaweka mafunuo ambayo alipewa na Adui wa Jibril ambayo hayana Sifa ya Kuwa rejea labda Kwa watunga mashairi🙄😜
👂👂
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ

[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

Hii Hadithi Ina mlingano na hiyo ayat
👇👇
Umdah al-Ahkam: Juz. 3, Hadithi Na. 460] “Imepokewa na Anas Ibn Malik “Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: allah ni Shetani katika sura ya Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi. 'mimi nabii wake

رواه أنس ابن مالك “سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه” كان الله شيطان شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي.

Nataka USHAHIDI KAMA HUU MWENYEZI MUNGU ALIPO MTUMA MUSA!
👇👇
Kutoka:3:1-10
1 Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.

2 Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti; akatazama, na kumbe! Kile kijiti kiliwaka moto, nacho kijiti hakikuteketea.

3 Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.

4 Bwana alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.

5 Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.

6 Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.

7 Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;

8 nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.

9 Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.

10 Haya, basi, nitakutuma sasa kwa Farao, ili upate kuwatoa watu wangu,

Na muham mad aka allah amecopy na kuwatupia?
👇🏼👇🏼
T'AHA!.
وَهَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَىٰ(9)

Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى(10)

Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ(11)

Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى(12)

Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ(13)

Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.
 
Mungu Yupi huyo kwenye huo ushahidi wako aliyesema maneno hayo ??

Nilishakuambia mwanzo kuwa Yesu si Mungu na nimekuonyesha ushahidi wa biblia

Nataka USHAHIDI KAMA HUU MWENYEZI MUNGU ALIPO MTUMA MUSA!
👇👇
Kutoka:3:1-10
 
Sio Hispania yote ilitawaliwa HAPANA.
Ni upande wa Catalunya tu,ila watu asili ya Moors walisambaza mpaka Uhispania na wakitawala baadhi ya sehemu kabla ya Spain 1517 kuwavamia na kuwafukuza na kuondoa utawala wa OTTOMAN Catalunya.
1. Swali langu ni simple. Nipe ushahidi hata wa link ya internet kuonesha sehemu yoyote ya Spain au Catalunya kuwa imewahi kutawaliwa na Otoman Empire katika kipindi chochote tangu kuumbwa dunia.

2. Nioneshe hao Otoman waliofukuzwa na Spain ilikuwa mwaka gani? Walifukuzwa toka wapi specific huko Spain? Nipe hata link ya internet

3. Umeleta ishu ya Moors; wanauhusiana vipi na ishu ya Otoman tunaowaongelea hapa? Au kwa sababu wote walikuwa Waislam?
 
Kesho nitakuja na jibu kamili mkuu ya maswali yote.
Ngojea nikatafiti zaidi na kupekua zaidi kupata habari ya uhakika.
 
Back
Top Bottom