Hata unachokiandika unakijua ?? Nashukuru hukujibu kitu kuwa Yesu si Mungu , itakuwa umekubali pia hukujibu kitu kuwa Injili ya Yohana imechakachuliwa , inaonyesha unakubaliana na yote niliyokuletea . unazuwa mengine sasa lakini ninawe labda ukimbie kama wenzako
Tulia vitu vikuingie
Q 33:40) Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Messenger of Allah and the seal of the Prophets. Allah has full knowledge of everything.
( Q 21:25) “Never did We send any Messenger before you to whom We did not reveal: "There is no god but Me. So serve Me alone."
Allah showed great kindness to the believers when He sent a Messenger to them from among themselves to recite His Signs to them, purify them and teach them the Book and Wisdom, even though before that they were clearly misguided. (Surah Al `Imran: 164)
We have sent you bearing witness, bringing good news, and warning so that you might all believe in Allah and His Messenger as well as honor, respect, and glorify Him in the morning and the evening. Those who pledge their allegiance to you pledge allegiance to Allah. Allah`s hand is over their hands. Those who break their pledge only break it against themselves. But as for those who fulfill the contract they have made with Allah, We will give them an immense reward. (Surat al-Fath: 8-10)
You should accept whatever the Messenger gives you and abandon whatever he tells you to abandon. Have taqwa of Allah... (Surat al-Hashr: 7)
A Messenger has come to you from among yourselves. Your suffering is distressing to him. He is deeply concerned about you, and is gentle and merciful to the believers. (Surat at-Tawba: 128)
But if anyone opposes the Messenger after the guidance has become clear to him, and follows a path other than that of the believers, We will hand him over to whatever he has turned to, and We will roast him in Hell. What an evil destination! (Surat an-Nisa`: 115)
Unaweka mafunuo ambayo alipewa na Adui wa Jibril ambayo hayana Sifa ya Kuwa rejea labda Kwa watunga mashairi🙄😜
👂👂
قُلْ مَن كَانَ عَدُوًّا لِّجِبْرِيلَ فَإِنَّهُ نَزَّلَهُ عَلَىٰ قَلْبِكَ بِإِذْنِ اللَّهِ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ وَهُدًى وَبُشْرَىٰ لِلْمُؤْمِنِينَ
[ AL - BAQARA - 97 ]
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Hii Hadithi Ina mlingano na hiyo ayat
👇👇
Umdah al-Ahkam: Juz. 3, Hadithi Na. 460] “Imepokewa na Anas Ibn Malik “Nimesikia kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akisema: allah ni Shetani katika sura ya Malaika aliyeniteremshia Aya na kitabu chake Quran na mimi. 'mimi nabii wake
رواه أنس ابن مالك “سمعت من رسول الله صلى الله عليه وسلم أنه” كان الله شيطان شكل ملاك كشف لي الآيات وكتابه القرآن وأنا نبي.
Nataka USHAHIDI KAMA HUU MWENYEZI MUNGU ALIPO MTUMA MUSA!
👇👇
Kutoka:3:1-10
1 Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.
2 Malaika wa Bwana akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti; akatazama, na kumbe! Kile kijiti kiliwaka moto, nacho kijiti hakikuteketea.
3 Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.
4 Bwana alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.
5 Naye akasema, Usikaribie hapa; vua viatu vyako miguuni mwako; maana mahali hapo unaposimama ni nchi takatifu.
6 Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu.
7 Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;
8 nami nimeshuka ili niwaokoe na mikono ya Wamisri, niwapandishe kutoka nchi ile, hata nchi njema, kisha pana; nchi ijaayo maziwa na asali; hata mahali pa Mkanaani, na Mhiti, na Mwamori, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi.
9 Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
10 Haya, basi, nitakutuma sasa kwa Farao, ili upate kuwatoa watu wangu,
Na muham mad aka allah amecopy na kuwatupia?
👇🏼👇🏼
T'AHA!.
وَهَلْ أَتَاكَ حَدِيثُ مُوسَىٰ(9)
Na je! Imekufikia hadithi ya Musa?
إِذْ رَأَىٰ نَارًا فَقَالَ لِأَهْلِهِ امْكُثُوا إِنِّي آنَسْتُ نَارًا لَّعَلِّي آتِيكُم مِّنْهَا بِقَبَسٍ أَوْ أَجِدُ عَلَى النَّارِ هُدًى(10)
Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye moto.
فَلَمَّا أَتَاهَا نُودِيَ يَا مُوسَىٰ(11)
Basi alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa!
إِنِّي أَنَا رَبُّكَ فَاخْلَعْ نَعْلَيْكَ ۖ إِنَّكَ بِالْوَادِ الْمُقَدَّسِ طُوًى(12)
Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa.
وَأَنَا اخْتَرْتُكَ فَاسْتَمِعْ لِمَا يُوحَىٰ(13)
Nami nimekuteua wewe; basi sikiliza unayo funuliwa.