Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Kwani haya maneno uliyo nukuu hapa ni maneno ya nani? MUNGU au John?
Huyo John alikuwepo hapo mwanzo?

BTW hivi kweli Mungu ili kujielezea anahitaji maneno ya kujiuma uma namna hii kama teenager anajifunza kutongoza?

Kwani haya maneno uliyo nukuu hapa ni maneno ya nani? MUNGU au John?
Huyo John alikuwepo hapo mwanzo?

BTW hivi kweli Mungu ili kujielezea anahitaji maneno ya kujiuma uma namna hii kama teenager anajifunza kutongoza?
Yohaha Hakuwepo mwanzo!; Ilaha hayo Maneno Alivuviwa na MWENYEZI MUNGU!
Hata Muhammad aka allah
Amesema usipo Amini Biblia Takatifu UMEPOTELEA MBALI
👇👇
: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا

[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.

آمن بالكتاب المقدس، فأنت تائه بعيدًا
'iidha lam takun hunaki, amn bialkitaab almuqdasi, fa'ant tayih beydan

YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!
Sasa kama Kihivyo MWENYEZI MUNGU HAWEZI!
TAMKA Sasa Uwezo Huo MWENYEZI MUNGU Hana Ili UJIPE WEPESI wa Kufa kafiri!
Kwani haya maneno uliyo nukuu hapa ni maneno ya nani? MUNGU au John?
Huyo John alikuwepo hapo mwanzo?

BTW hivi kweli Mungu ili kujielezea anahitaji maneno ya kujiuma uma namna hii kama teenager anajifunza kutongoza?
 
Hata kama Mungu yupo lakini atakua sio Allah Wala Jehova wala Yesu.

Bibilia na Quran ni hadithi tu za wananzengo kama Hadithi zingine
Mungu haja aandika kitabu chochote wala haja mtuma mtu yeyote kumsemea
 
Hawa wakristo wakiona uslam tu wazimu unawapanda, wanachafua dunia then wanaleta maneno ya kejel watulie tu tubadilishe makanisa kuwa misikit
Imenikumbusha muham mad aka allah alipochanganyikiwa😆😆😆
👇👇
Ibn A'sam al-Yahudl
A'sam b. Malik, au Ibn A'sam al-Yahudl, alimroga Mtume kwa mafundo kumi na moja kwenye uzi (watar) na akaiweka kwenye kisima ambamo ndani yake kulikuwa na mawe saba, kwa tundu la [mwanamume]. mtende ambao Mtume angeegemea.
 
Huo ndio ushahidi wa biblia kuwa Yesu ni Mungu?

Sasa cha ajabu ni nn hapa
 
Wacha uongo. Mtume Muhammad siyo Allah, Allah hazai wa kuzaliwa.

Hivi uongo unawasidia nini?

Uislam ni mwema sana kijana, usidanganywe ukadanyika.
 

Yohaha ni kiumbe gani hicho au ni Yesu huyo akiitwa hivyo kwa mujibu wa kanisa lenu?
Hujaleta Aya yoyote ile Yesu anasema alikuwa nusu mtu na nusu mungu
 
Hata kama Mungu yupo lakini atakua sio Allah Wala Jehova wala Yesu.

Bibilia na Quran ni hadithi tu za wananzengo kama Hadithi zingine
Mungu haja aandika kitabu chochote wala haja mtuma mtu yeyote kumsemea
Kakojowe ukalale
 
Kumbe hata malezi huna kwa wakubwa zako
Ingawaje hatujuani lakini angalau unge heshimu hata joining date yangu dhidi ya yakwako Mkuu

Shida yenu waamini Mungu ni kwamba mnadhani mlivyo aminishwa ni FACT wakati ni IMANI tu

Unakuta mtu yupo busy kweli kweli kunukuu barua za Paulo au hekaya za Mudi kufanya imani yake kuwa ni fact 😂
 

Kujiunga haina maana umekuwa ni mkubwa kuliko wengine humu .

Nyinyi wengi humu ni watoto wa wakimbiza mwenge na ndio mkawa hata malezi hamna kabisa

Hekaya yako ni ya marehemu mungu wako Wanyonyi ??
 
QUR'AN 2:216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui.
Ungepewa nafasi enzi hizo pa kwenda kati ya Canada na Palestina .

Au US na Somalia .

Ungechagua wapi?
 
🤣🤣🤣 ma US baby!

Somali nenda weye shekhe!
Ajuza akatimkia Canada badala ya kwenda Palestina😀😀.

Na Canada ndio alipojifunzia maujanja yote hayo na kumtoa giza alilotoka nalo Tanganyika.
 
Kichwa chako kimejaa udini tu, nchi inauzwa we unaumia na kuwaona maustadhi ubaridini?

Tuseme we hutokaa ukanyage Dubai hata bure?
 
Wao Huwa na Shughuli ya Kugawa TENDE NA HALUWA Inshalaaah wakisubiri mabikra 70
 
Ungepewa nafasi enzi hizo pa kwenda kati ya Canada na Palestina .

Au US na Somalia .

Ungechagua wapi?
Kitu ambacho huelewi ni kuwa, hujichagulii pakuishi hapa duniani, ni Muumba wetu ndiyo ajuwae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…