Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani haya maneno uliyo nukuu hapa ni maneno ya nani? MUNGU au John?
Huyo John alikuwepo hapo mwanzo?
BTW hivi kweli Mungu ili kujielezea anahitaji maneno ya kujiuma uma namna hii kama teenager anajifunza kutongoza?
Yohaha Hakuwepo mwanzo!; Ilaha hayo Maneno Alivuviwa na MWENYEZI MUNGU!Kwani haya maneno uliyo nukuu hapa ni maneno ya nani? MUNGU au John?
Huyo John alikuwepo hapo mwanzo?
BTW hivi kweli Mungu ili kujielezea anahitaji maneno ya kujiuma uma namna hii kama teenager anajifunza kutongoza?
Kwani haya maneno uliyo nukuu hapa ni maneno ya nani? MUNGU au John?
Huyo John alikuwepo hapo mwanzo?
BTW hivi kweli Mungu ili kujielezea anahitaji maneno ya kujiuma uma namna hii kama teenager anajifunza kutongoza?
Hata kama Mungu yupo lakini atakua sio Allah Wala Jehova wala Yesu.Yohaha Hakuwepo mwanzo!; Ilaha hayo Maneno Alivuviwa na MWENYEZI MUNGU!
Hata Muhammad aka allah
Amesema usipo Amini Biblia Takatifu UMEPOTELEA MBALI
👇👇
: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا
[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.
آمن بالكتاب المقدس، فأنت تائه بعيدًا
'iidha lam takun hunaki, amn bialkitaab almuqdasi, fa'ant tayih beydan
YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!
Sasa kama Kihivyo MWENYEZI MUNGU HAWEZI!
TAMKA Sasa Uwezo Huo MWENYEZI MUNGU Hana Ili UJIPE WEPESI wa Kufa kafiri!
Imenikumbusha muham mad aka allah alipochanganyikiwa😆😆😆Hawa wakristo wakiona uslam tu wazimu unawapanda, wanachafua dunia then wanaleta maneno ya kejel watulie tu tubadilishe makanisa kuwa misikit
Huo ndio ushahidi wa biblia kuwa Yesu ni Mungu?
Sasa cha ajabu ni nn hapaImenikumbusha muham mad aka allah alipochanganyikiwa😆😆😆
👇👇
Ibn A'sam al-Yahudl
A'sam b. Malik, au Ibn A'sam al-Yahudl, alimroga Mtume kwa mafundo kumi na moja kwenye uzi (watar) na akaiweka kwenye kisima ambamo ndani yake kulikuwa na mawe saba, kwa tundu la [mwanamume]. mtende ambao Mtume angeegemea.
Usichoelewa ni kuwa diniani kuna vita kuu ya waja wema na mashetani. Waislam wapo huko kwa hili:Inakuwaje wewe uliye na mungu halafu unakwenda kuishi kwa kujikomba komba kwa makafiri ambayo wewe husema hayana Mungu?
Halafu uwezo wa makafiri na msio makafiri ni vitu viwili tofauti
Wacha uongo. Mtume Muhammad siyo Allah, Allah hazai wa kuzaliwa.Imenikumbusha muham mad aka allah alipochanganyikiwa😆😆😆
👇👇
Ibn A'sam al-Yahudl
A'sam b. Malik, au Ibn A'sam al-Yahudl, alimroga Mtume kwa mafundo kumi na moja kwenye uzi (watar) na akaiweka kwenye kisima ambamo ndani yake kulikuwa na mawe saba, kwa tundu la [mwanamume]. mtende ambao Mtume angeegemea.
Yohaha Hakuwepo mwanzo!; Ilaha hayo Maneno Alivuviwa na MWENYEZI MUNGU!
Hata Muhammad aka allah
Amesema usipo Amini Biblia Takatifu UMEPOTELEA MBALI
👇👇
: يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا آمِنُوا بِاللَّهِ وَرَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي نَزَّلَ عَلَىٰ رَسُولِهِ وَالْكِتَابِ الَّذِي أَنزَلَ مِن قَبْلُ ۚ وَمَن يَكْفُرْ بِاللَّهِ وَمَلَائِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ فَقَدْ ضَلَّ ضَلَالًا بَعِيدًا
[ AN-NISAAI - 136 ]
Enyi mlio amini! Muaminini Mwenyezi Mungu, na Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha juu ya Mtume wake, na Kitabu alicho kiteremsha kabla yake. Na anaye mkataa Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake, na Mitume wake, na Siku ya Akhera, basi huyo amekwisha potelea mbali.
آمن بالكتاب المقدس، فأنت تائه بعيدًا
'iidha lam takun hunaki, amn bialkitaab almuqdasi, fa'ant tayih beydan
YESU NI MUNGU KAMILI NA MWANADAMU KAMILI!
Sasa kama Kihivyo MWENYEZI MUNGU HAWEZI!
TAMKA Sasa Uwezo Huo MWENYEZI MUNGU Hana Ili UJIPE WEPESI wa Kufa kafiri!
Kakojowe ukalaleHata kama Mungu yupo lakini atakua sio Allah Wala Jehova wala Yesu.
Bibilia na Quran ni hadithi tu za wananzengo kama Hadithi zingine
Mungu haja aandika kitabu chochote wala haja mtuma mtu yeyote kumsemea
Sawa
Na wewe kakojolewe ulale
Ingawaje hatujuani lakini angalau unge heshimu hata joining date yangu dhidi ya yakwako MkuuKumbe hata malezi huna kwa wakubwa zako
Ingawaje hatujuani lakini angalau unge heshimu hata joining date yangu dhidi ya yakwako Mkuu
Shida yenu waamini Mungu ni kwamba mnadhani mlivyo aminishwa ni FACT wakati ni IMANI tu
Unakuta mtu yupo busy kweli kweli kunukuu barua za Paulo au hekaya za Mudi kufanya imani yake kuwa ni fact 😂
Wamekimbia kwenye nchi zao zenye dini ya amani.
Ungepewa nafasi enzi hizo pa kwenda kati ya Canada na Palestina .QUR'AN 2:216. Mmeandikiwa kupigana vita, navyo vinachusha kwenu. Lakini huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda kitu nacho ni shari kwenu. Na Mwenyezi Mungu anajua na nyinyi hamjui.
Ajuza akatimkia Canada badala ya kwenda Palestina😀😀.🤣🤣🤣 ma US baby!
Somali nenda weye shekhe!
Kitu ambacho huelewi ni kuwa, hujichagulii pakuishi hapa duniani, ni Muumba wetu ndiyo ajuwae.Ungepewa nafasi enzi hizo pa kwenda kati ya Canada na Palestina .
Au US na Somalia .
Ungechagua wapi?