Kamuulize Mh Kardinal Pengo atakujibu. lkn mfate mkiwa wawili tu sio kanisani mbele za watuHiihii dini ya juzijuzi?Acha ukichaa basi.Ukristo ulikuwepo miaka na miaka Ulaya wewe unataka umdanganye nani sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize Mh Kardinal Pengo atakujibu. lkn mfate mkiwa wawili tu sio kanisani mbele za watuHiihii dini ya juzijuzi?Acha ukichaa basi.Ukristo ulikuwepo miaka na miaka Ulaya wewe unataka umdanganye nani sasa?
Ila Waarab Wakristu wako poa sana. Ni kama wanaishi dunia yao huko Uarabuni pamoja na mateso yote na wakihamia West wanafanikiwa sana kama kina Carlos SlimSababu kuu zinazofanya waarabu kukimbilia hifadhi nchi za wazungu ni CIVILIZATION ukiachana na vijisababu vingine.
Jamii ya kiarabu ni uncivilized,mpaka sasa bado wana mila ama tamaduni za mfumo dume na kukandamiza wanawake.
Mfano mwanamke wa kiarabu kutwangwa magumi na mumewe kawaida ila Ulaya kosa la jinai.
Binti wa kiarabu akibakwa badala ya mbakaji ahukumiwe ila binti anazikwa akiwa hai eti kuikoa familia na fedheha na aibu.
Waarabu wana bado mila potofu wanaziishi hadi sasa.
Tafuta hata documentaries za vyombo vikubwa vya habari hasa uone wanawake wa Syria wanavyoona kama wameokoka kuja Ulaya,yote ni kwasababu ya POOR TABOOS za waarabu.
Waarabu bado HAWAJASTAARABIKA.
Vita vya 2 vya dunia havijawakuta?Ila Waarab Wakristu wako poa sana. Ni kama wanaishi dunia yao huko Uarabuni pamoja na mateso yote na wakihamia West wanafanikiwa sana kama kina Carlos Slim
Ndio mkuu hilo halipingiki.Unamaanisha kwa mwarabu na mwanake wa Syria mwislamu akibahatika kuingia Ulaya ni sawa na kumuona masihi Baba wa Amani??
Eidha huna Elimu au huna Akili au vyote kwa pamoja.nakuonyesha wazungu walikuwa waislam kabla ya vatikan kuharibu mambo
Dini hiihii ya juzijuzi ndiyo Pengo aulizwe?Jitahidi ujifunze mbinu za uongo.Kamuulize Mh Kardinal Pengo atakujibu. lkn mfate mkiwa wawili tu sio kanisani mbele za watu
muulize atakwambia yeye anasoma wewe unamsikilizaDini hiihii ya juzijuzi ndiyo Pengo aulizwe?Jitahidi ujifunze mbinu za uongo.
Mnadanganywa sana msikitiniKatika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Nimuulze wakati nimemzidi kisomo?muulize atakwambia yeye anasoma wewe unamsikiliza
Katika karne ya 7 na 8, Uislamu, uliingia Ulaya kupitia eneo la Hispania (nchi za leo za Hispania na Ureno). Waislamu walidhibiti sehemu kubwa ya Peninsula ya Iberia kwa muda wa karne tatu, kuanzia mwaka 711 hadi 1492. Katika kipindi hiki, Waislamu walikuwa na ushawishi mkubwa katika utamaduni, sayansi, na elimu barani Ulaya. HAPA WAZUNGU WAKIVAA MAGUNIA
Kaka mbona sasa huji na facts na stats? Unajaza taarabu?Hao wamarekani ndiyo hawataki kabisa dini, ukiristo wameutupa kule,udwanzi wa Mungu kushuka kuvaa mwili wa kibinadam,asulubiwe ili kutuokoa wameona udwanzi
Hao wamarekani ndiyo hawataki kabisa dini, ukiristo wameutupa kule,udwanzi wa Mungu kushuka kuvaa mwili wa kibinadam,asulubiwe ili kutuokoa wameona udwanzi
Hamna mkuu umekosea.Ila Waarab Wakristu wako poa sana. Ni kama wanaishi dunia yao huko Uarabuni pamoja na mateso yote na wakihamia West wanafanikiwa sana kama kina Carlos Slim
Uliwafunua wote hao "wengi" boksa zao?Wameenda kuwakazia wanawake wao maana wazungu wengi ni mashoga.
63%!?.. kwenye christian country for centuries!!..na hiyo ni nominal siyo practical,ukiwauliza waenda kanisani j2 utakuta ni wazee tu,nilikuwekea article inayoknesha decline ya Christianity ulayaKaka mbona sasa huji na facts na stats? Unajaza taarabu?
Number hupingwa kwa number brother
Currents stats ya waamin wa ukristo US up to date ni almost 63%
30% wakiwa protestant, 18% catholics, 20% white mainline prostentant christian
Kusambaza uislam🤣🤣
Acha tu nianze na kicheko
Unajua kuna watu na dini zao hujiona wao ndo wana mungu na wanaakili nyingi kulikoni watu wengine wote ilihali kumbe wao huwenda ndio wajinga kushinda kila mtu dunian
Nchi za Ulaya na Marekani huitwa nchi za Makafiri kwa sababu Dini ya dini yao huko ni tofauti na aliyonayo mwarabu ambayo kwa hiyo, huwaita watu huko makafiri
Cha ajabu ni kwamba, hawa watu kila leo wanawaza kwenda ulaya kuishi huko kwa makafiri!
Swali ni Je, unaanzaje kuita nchi za watu ni nchi za Makafiri na wakati huo huo unapanga kufia huko kwa makafiri na kuzikwa kwenye nchi ambazo kwa wewe unaziona ni za laana maana zimekaliwa na makafiri
Nikienda UK 2013,mwenyeji wangu alikua mama wa kiingereza, wanawake wa kiingereza wengi hawajaolewa Ila wanatamani,nilipomwambia watz wanapenda kuoa wazungu, alisema wanawake wa kiingereza wangejua wangejazana tz kuolewa,wanaume wa kizungu uwezo umeshuka na wengi wanagongwa,acha waarabu wawaoe,baada ya miaka 50 hivi vichotara vya kiarabu kibao uingereza, ufaransa,ubelgiji,ujeruman, SwedenUliwafunua wote hao "wengi" boksa zao?
sisi waislam tunaamini dunia yote ni yetu binaadamOkay! Ila unajisikiaje unapokwenda kufugwa kwa mtu ambaye wewe unamwita kafiri?
Ndio latest stats sasa tena 2023, unayo zaidi inayopingana na hiyo au una empty words?63%!?.. kwenye christian country for centuries!!..na hiyo ni nominal siyo practical,ukiwauliza waenda kanisani j2 utakuta ni wazee tu,nilikuwekea article inayoknesha decline ya Christianity ulaya