Waislamu wa kiarabu wametapakaa Ulaya na America kwenye nchi ambazo huziita za makafiri kufanya nini?

Mtu akishakuwa muislamu akili zinahama
Akili zingehama za huyu muislamu,aliyegundua algebra,bila Algebra,dunia ingekuwa gizani,information technology,inategemea Algebra,bila Algebra kusingekuwa na IT.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-04_173539.jpg
    294.9 KB · Views: 1
Nini maana yako?
 
Wanakimbia Sharia za kukatwa shingo na mikono hadharani.
Cha ajabu walifika huko wanajifanya wanataka Sharia.

Hawa watu ni wa ajab ajab sana.
 
Kule wanakula kitimoto sana na umalaya
 
Wanakimbia Sharia za kukatwa shingo na mikono hadharani.
Cha ajabu walifika huko wanajifanya wanataka Sharia.

Hawa watu ni wa ajab ajab sana.
Wazungu wako nchi za kiarabu,nao wamekimbia kuuliwa kwenye vitanda vya umeme vya kuuwa?Kuwa na akili
 
Dunia nzima inatakiwa iwe na DINI MOJA.ambayo ni uislam
Tunawafundisha ustaarabu muache KUTEMBEA UCHI.na mumjue mungu mmoja wa kweli .msiabudu masanamu n.k
Miongoni mwa mafunzo hayo ni pamoja na watu kuvaa mabomu wajilipue na kulipua watu? Huo ndo ustarabu shekhe?
 
Miongoni mwa mafunzo hayo ni pamoja na watu kuvaa mabomu wajilipue na kulipua watu? Huo ndo ustarabu shekhe?
Sasa hapo kwenye mabomu ni mafundisho mengine.
Uislam haufundishi kuua watu wasiokuwa na hatia anapotokea mtu anafanya hivyo inabidi TUMUHOJI KAFUNDISHWA NA UISLAM UPI KUUA WATU WASIOKUWA NA HATIA?
 
Huyu anachoma pesa,aliyonunua hiki kitabu,ni mjinga na mpumbavu,ndio anatoa hela,kununua kitu,na kukichoma,hapo anachoma hela yake,vitabu binachapishwa viwandani,mamilioni ya copy,atacama copy ngapi.Ni upumbqvu na ujinga.
Walizusha eti Allah kamuua hivi ni kweli?!
 
HAPO HUWA HATA MIMI NASHANGAA SANA. HAWATAKI KUKAA KWAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…