Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Alahu akbaru na takbir vinasikika hapo bila chenga.
Hao tuwaache waendelee kula jasho la watu wakishiba kebab ndo wanaanza kuharibu nchi zilizowakaribisha.
Hawajui kwamba sasa hawatakiwi popote.
 
Mbona inshu ndogo tu sheikh. Hebu toa taarifa hao HAMAS wako wapi Ili waisrael wasiendelee kuleta maafa zaidi Kwa watu wasio na hatia .

Kwa maana Israel anashambulia maeneo hayo Kwa kutumia data alizonazo kuwa magaidi wamejificha humo . Wewe ni nani mpaka useme anadanganya ?.
 
7th October Taliban walikua wanaomba njia waingie front wakaongeze nguvu kwa hamas ilipofika tarehe nakuendelea wakajua kumbe walikua wanataka kujipakata wameamua kujikalia zao kimya tu
Nenda kwenye mtandao X kuna account yao na wameshaliongelea hili: Nchi ambazo walizotaka kupita wamewakatalia.

Nchi kama Iraq na nyenginezo! Ina maana wakiruhusiwa hizo nchi zitakuwa zimenunua ugomvi.
 
Hapana, Sunday School waga haiharibu mtu huwezi kutoka Sunday School ukaenda kujilipua na kuua watu hovyo kwa sababu Mungu wa Sunday School sio wa kupiganiwa na huwezi kuua mtu kwa jina lake. Never.
Vita vya msalaba,askofu barayaviza
 
Nenda kwenye mtandao X kuna account yao na wameshaliongelea hili: Nchi ambazo walizotaka kupita wamewakatalia.

Nchi kama Iraq na nyenginezo! Ina maana wakiruhusiwa hizo nchi zitakuwa zimenunua ugomvi.
Wamepata tu excuse wahuni maana mzigo ulivoanza ilikua kama hamas wanashinda hivi walitoa hype ya kufa mtu wadau wanaopenda utata mara papa the prank went wrong
 
na jamaa kazungumzia ulaya , waislam na waarab ni jamii ya watu wapumba hawajui kuchuja mambo , kama walivyoipokea hii bas bas kesho wataanza fany hivyo na kinachofuatia ni ban
Kwamba wewe mkiristo wa ileje unajua kuchuja mambo kuliko muislam wa Iran na uturuki, Qatar!?..ungekuwa unajua kuchuja mambo usingepiga goti mbele ya sanamu la zege na kuliomba
 
7th October Taliban walikua wanaomba njia waingie front wakaongeze nguvu kwa hamas ilipofika tarehe nakuendelea wakajua kumbe walikua wanataka kujipakata wameamua kujikalia zao kimya tu
Ukitaka kuwajua Taliban vizuri,kawaulize urusi, marekani na iran
 
Wamepata tu excuse wahuni maana mzigo ulivoanza ilikua kama hamas wanashinda hivi walitoa hype ya kufa mtu wadau wanaopenda utata mara papa the prank went wrong
Vita itakua ngumu na ndefu-netanyahu,we upo bonyokwa ushaona Hamas kashindwa
 
Wamepata tu excuse wahuni maana mzigo ulivoanza ilikua kama hamas wanashinda hivi walitoa hype ya kufa mtu wadau wanaopenda utata mara papa the prank went wrong
Wewe jamaa bhana!

Ngoja nicheke tu!

😂😂😂😂😂
 
Ukitaka kuwajua Taliban vizuri,kawaulize urusi, marekani na iran
Taliban urusi alikua na anapigana na mmarekani pale kama mmarekani anavyopigana na mrusi pale Syria vijijini Taliban kama Taliban hawana maajabu yeyote , USA aliondoka afghan maana alikua kishamalizana na kibaraka wake for more reference kula chuma hicho kutoka kwenye chombo Cha propaganda za mmarekani
 
Hapana, Kuna jews hawana shida, si vyema kusema wote ni sawa, wanatofautiana.

True,serikali ya Israel sio real Jews wale ni wazayuni na wengine Atheists,lakini real Jews wengi hawapend serikali yao inavyofanya kwa Palestina
 
Hamas ndio wanatakiwa waondoke kwenye mashimo waende wakapigane na Israel wakomboe ardhi wanayodai waliporwa sasa badala yake wanajificha miongoni mwa raia, ni waoga kama fisi.

Wao si wana technology watafute yalipo wamalizane nao walivyopunguani wanalipua ovyo ovyo tu mara hospital ili waue raia smh
 
Israeli haiwezi kubadilika mpaka wavamizi waondoke kwenye ardhi yake tangu enzi za mababu.
Haijalishi hata dunia nzima ikiwageuka.
Watapambana mpaka dakika ya mwisho
 
USA aliingia Afghanistan baada ya kunyimwa tenda ya kuvuna nishati na kupewa kampuni ya Argentina, google,ni rahisi kupata hii taarifa,ukiwa na bando tafuta documentary ya taleban kwenda marekani 1999 kwa ajili ya dili Hilo,Kama shida ilikua Osama,wakidai kumuua 2011,kwa nini walikaa miaka kumi baadae!?..kilichompeleka urusi Afghanistan ndicho kilichompeleka marekani
 
Nikuambie ukweli, binafsi huwa sielewi ni nini unachokiandika. Si kwenye Uzi huu, ni kwenye Uzi tofauti tofauti.

Nisamehe kwa kweli.

Kwa akili za madrasa huwezi kuelewa alichoandika
 
Mmarekani kampeleka Osama afghan as a CIA agent full funded and equipped kama hujui habari za cold war umezibwa na dini bas Kaz unayo haya ma elites hayana dini ilq yanatumia diehard fans kupush agenda zao
 
Hizo conspiracy theories nilizipitia 2006,nshaachana nazo, marekani aliwasaidia silaha wachechen pia,kati yao mmoja awapo vitani mwingine huingia upande wa pili,hakuna u-cia Wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…