Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Sio Mayahudi, ni Wayahudi.

Mudi alikuwa anawachukia sana Wayahudi...mpaka kwenye quran alishindwa kusema Wa akasema Ma.
Soma historia yao ndo utawajua vzuri ni watu wa aina gani...sio kukurupuka tu....hawa si ndo walimuua Yesu kwa mujibu wa Biblia...ila Quran inasema Allah alimuokoa akampaisha....hawahawa si ndo walimchinja Nabii Yahya tena wakatenganisha kichwa na kiwiliwili hawa kwa chuki zao....sasa watu wa aina hii unategemea waje kukupa hata thamani kidogo tu mtu ambaye wanaona umepotoka kwa imani zao ilhali waliwaua watu waliotokana na wao ila kwakuwa tu hawakuamini kile walichokuwa wakikiamini wao ndo likawa kosa lao
 
View attachment 2797454

Jamhuri ya Dagestan ni sehemu ndani ya urusi, moja kati ya miji michache inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya.

Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel

Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport

View attachment 2797239
Ama kweli mayahudi wamelaaniwa.Dunia nzima wanasakwa.
Wameingia mpaka kwenye lami ya kurukia ndege waangalie ndani ya ndege iwapo wamo humo.
 
Urusi na waislam wapi na wapi?????............
Ungeweza hata Kugoogle, alyekwambia Urusi ni nchi ya dini moja au race moja nani?
Dagestan, Chencheya haya ni maeneo ya waislamu.
Kuna maeneo yana watu wana asili ya Asia n.k
Russia ni Federation, hope unaelewa maana ya Federation.
 
View attachment 2797454

Jamhuri ya Dagestan ni sehemu ndani ya urusi, moja kati ya miji michache inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya.

Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel

Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport

View attachment 2797239
Hakika, umeandika vizuri,kuna vyombo vya habari,na watu wengine wapo humu wanaadika propaganda za kinafiki.
Mfano: Dunia nzima yaandama kuwaunga mkono wapalestina, dunia nzima yaandamana kuipinga Israel.
Lakini kumbe ukweli si dunia nzima bali ni waislamu walioko maeneo mbalimbali pande za ulaya magharibi na mashariki, Amerika na Afrika.
Waliobaki wanaadamana katika nchi za kiislamu.
Wanaadika uongo huo ili ionekane palestina inaungwa mkono licha ya kuua watu wasio na hatia, na kwamba hatua anazochukua Israel za kuwafuata Hamas ambao wamejichimbia katikati ya makazi ya watu ni ukiukaji wa haki za wapalestina. Unafiki mkubwa.
Ama wauslamu duniani kote wakiongozwa na.chombo chao aljazira ,wanadhani hii silaha mpya waliyoibuni itafanikiwa.
Haitafanikiwa ,kwa kuwa tayari wenye akili ya vita wanajua ili uwafikie Hamasi lazima rais wasio na hatia wafe ,makazi kuharibika, na mateso mengine. Kwa kadri ya unafiki wa jamii hii hakuna anayeona jinsi hamasi wanavyohatarisha maisha ya raia.kwa kuweka miundombinu za kijeshi katika makazi ya watu.
Waislamu wanao mshikamano wao, kwa mujibu wa mandiko yao, hata kama ni muislamu kafanya uhalifu, lakini dunia ya haki itashikamana naewapiga wauji hata kama kwa kufanya hivyo kutarisk maisha ya wasio na hatia..
 
Ama kweli mayahudi wamelaaniwa.Dunia nzima wanasakwa.
Wameingia mpaka kwenye lami ya kurukia ndege waangalie ndani ya ndege iwapo wamo humo.
Hiyo siyo dunia ,ni jamii za kiislamu huko Urusi, na hata hao wanaoandamana huko ulaya ni waislamu waliokimbilia huko na kuhifadhiwa. Hakuna dunia itamlaumu Israel kwa hili.
 
Hiyo siyo dunia ,ni jamii za kiislamu huko Urusi, na hata hao wanaoandamana huko ulaya ni waislamu waliokimbilia huko na kuhifadhiwa. Hakuna dunia itamlaumu Israel kwa hili.
Umeona maandamano mitaa ya Marekani,Ufaransa,Ujerumani,Uhispania,Pakistan,Uturuki n,k.
Usijidanganye.Wakristo wengi na hata waisrael pia wanawaunga mkono Palestina na kila mwenye akili na ubinadadamu lazima atawaunga mkono.
 
Yeye mwenyewe kitendo cha kusema Waislamu ameshataka kuonesha ubaguzi! Ni sawa na kuamini tu kuwa kila anaipinga Israel na matendo yake basi ni Muislamu! Hatambui kuwa wapigani uhuru wote hasa wa mataifa ya kiafrica licha ya kuwa walikiwa Wakristo ila walikuwa upande wa Palestina, Mwalimu Nyerere alifikia hatua ya kuvunja uhusiano wa kidplomasia na Israel ila akisimama na Palestina na ndiyo maana mpaka leo hapa Tanzania kuna Balozi anaeiwakilisha Palestina japo ukienda nchi kama Marekani hakuna Balozi anaetambulisha Palestina cos wao hawaifambui Palestina kama nchi.

Ingekuwa ni sasa basi angeandika Marais Waislamu wavunja uhusiano wa kidplomasia na Israel.
 
Ni nzito lakini Mwarabu haiwezi, ni afadhari akae kimya tu kuokoa vifo vya watoto na wanawake
Si rahisi akae kimya akiona eneo lake linabebwa, hapo ndio utata unapokuja, anajua hata akikata tamaa ataenda wapi!? Hako kagaza kenyewe ni 45 km² yaani kama wilaya ya ilala waigawe mara 8 sijui ndio unaipata gaza na kuna watu zaidi ya milioni 2 wanaishi humo.
Si rahisi wao kukubali kutoka, wataenda wapi.
Busara imeshindwa tumika, mataifa yenye nguvu yameegemea upande mmoja,. Wale ni lazima wapambanie roho zao.
 
Mbona ni wapuuzi hivyo? Kwa hiyo walitaka wayahudi wakishambuliwa watulie tu kama maboya
Myahudi ukimpelekea moto wa mabua yeye anakupelekea moto wa gesi
Ukimuanza yeye anakumaliza
Hiyo ndiyo namna ya kukabiliana na gaidi yeyote.
 
Nikuambie ukweli, binafsi huwa sielewi ni nini unachokiandika. Si kwenye Uzi huu, ni kwenye Uzi tofauti tofauti.

Nisamehe kwa kweli.
rudi milembe wala usiniombe msamaha , hujanikosea mm bali umeikosea akili yako , juz mlishabikia uvamizi wa hamas nchini israel leo unajitia uchiz kuwa hukumbuk , ila unachojuwa ww ni wapalestina wanaonewa

lzm usinielewe
 
Back
Top Bottom