antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hiyo itakuwa post ya gaidi moja jinga.Nimeona nikashangaa sana aiseee kazi wanayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2797424
Eti Wayahudi wachukiwe duniani kote!
Rubbish
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo itakuwa post ya gaidi moja jinga.Nimeona nikashangaa sana aiseee kazi wanayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2797424
Ni nzito lakini Mwarabu haiwezi, ni afadhari akae kimya tu kuokoa vifo vya watoto na wanawakeHii chuki ni nzito mnoo
Soma historia yao ndo utawajua vzuri ni watu wa aina gani...sio kukurupuka tu....hawa si ndo walimuua Yesu kwa mujibu wa Biblia...ila Quran inasema Allah alimuokoa akampaisha....hawahawa si ndo walimchinja Nabii Yahya tena wakatenganisha kichwa na kiwiliwili hawa kwa chuki zao....sasa watu wa aina hii unategemea waje kukupa hata thamani kidogo tu mtu ambaye wanaona umepotoka kwa imani zao ilhali waliwaua watu waliotokana na wao ila kwakuwa tu hawakuamini kile walichokuwa wakikiamini wao ndo likawa kosa laoSio Mayahudi, ni Wayahudi.
Mudi alikuwa anawachukia sana Wayahudi...mpaka kwenye quran alishindwa kusema Wa akasema Ma.
Ama kweli mayahudi wamelaaniwa.Dunia nzima wanasakwa.View attachment 2797454
Jamhuri ya Dagestan ni sehemu ndani ya urusi, moja kati ya miji michache inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya.
Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel
Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport
View attachment 2797239
Ungeweza hata Kugoogle, alyekwambia Urusi ni nchi ya dini moja au race moja nani?Urusi na waislam wapi na wapi?????............
Hakika, umeandika vizuri,kuna vyombo vya habari,na watu wengine wapo humu wanaadika propaganda za kinafiki.View attachment 2797454
Jamhuri ya Dagestan ni sehemu ndani ya urusi, moja kati ya miji michache inayosifika kwa kuwa na waislam wengi, huwa wana dalili za kujitenga na Urusi, Ni kama walivyo Chechnya.
Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel
Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport
View attachment 2797239
Hiyo siyo dunia ,ni jamii za kiislamu huko Urusi, na hata hao wanaoandamana huko ulaya ni waislamu waliokimbilia huko na kuhifadhiwa. Hakuna dunia itamlaumu Israel kwa hili.Ama kweli mayahudi wamelaaniwa.Dunia nzima wanasakwa.
Wameingia mpaka kwenye lami ya kurukia ndege waangalie ndani ya ndege iwapo wamo humo.
Umeona maandamano mitaa ya Marekani,Ufaransa,Ujerumani,Uhispania,Pakistan,Uturuki n,k.Hiyo siyo dunia ,ni jamii za kiislamu huko Urusi, na hata hao wanaoandamana huko ulaya ni waislamu waliokimbilia huko na kuhifadhiwa. Hakuna dunia itamlaumu Israel kwa hili.
Si rahisi akae kimya akiona eneo lake linabebwa, hapo ndio utata unapokuja, anajua hata akikata tamaa ataenda wapi!? Hako kagaza kenyewe ni 45 km² yaani kama wilaya ya ilala waigawe mara 8 sijui ndio unaipata gaza na kuna watu zaidi ya milioni 2 wanaishi humo.Ni nzito lakini Mwarabu haiwezi, ni afadhari akae kimya tu kuokoa vifo vya watoto na wanawake
Myahudi ukimpelekea moto wa mabua yeye anakupelekea moto wa gesiMbona ni wapuuzi hivyo? Kwa hiyo walitaka wayahudi wakishambuliwa watulie tu kama maboya
rudi milembe wala usiniombe msamaha , hujanikosea mm bali umeikosea akili yako , juz mlishabikia uvamizi wa hamas nchini israel leo unajitia uchiz kuwa hukumbuk , ila unachojuwa ww ni wapalestina wanaonewaNikuambie ukweli, binafsi huwa sielewi ni nini unachokiandika. Si kwenye Uzi huu, ni kwenye Uzi tofauti tofauti.
Nisamehe kwa kweli.
Pole sana
Ujinga ni ugonjwa pia wahi hospitali ukatibiwe pole sanaww ni mpumbav sn , uambiww mara ngap kuwa hamas wanajificha miongon mwa raia?
Ujinga ni mzigo pole sana endelea kutumia dawa zako utapona Inshallahkwamba mnapoichokoza Israel mnataka dunia iwaonee huruma mnapopigwa kwamba mmeonewa
Ujinga ni mzigo pole sanaKwa akili za madrasa huwezi kuelewa alichoandika
Unawapigia cha kufanya😂wajinga tu hao, kama wana hasira si wapande ndege waende Gaza wakapigane?
Ujinga ni ugonjwa pia wahi hospitali ukatibiwe pole sanaIla waislamu sijui kwanini hawana akili kiasi hiki jamani
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app