Waislamu wa mji wa Dagestan nchini Urusi wavamia airport kuwasaka vyumbani wayahudi baada ya ndege kutua kutoka Israel

Hizo conspiracy theories nilizipitia 2006,nshaachana nazo, marekani aliwasaidia silaha wachechen pia,kati yao mmoja awapo vitani mwingine huingia upande wa pili,hakuna u-cia Wala nini
Let's talk about bin laden
 
Ila waislamu sijui kwanini hawana akili kiasi hiki jamani

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hii dini imejawa na mazombi na vibwengo kibao kichwani sifuri
 

Hawa unschooled idiots watapigwa kipigo kitakatifu kimoja tu na watapoteana na kuteketea, hizo ndege huwa zina makomando tu wa Israel, hao raia hawajui chochote, ndege zote zinazoenda kuwachukua raia wa Israel kwenye operation kama hizi, ni makomando kuanzia marubani na makomando wengine wanakuja nao wa ziada, hao waarabu hawajui kitu
 
Waarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Halafu waje wakuchukue wewe Ngosha.Wengi wamezaliwa hapa Europe,tena wengi ni viongozi,mfano kiongozi mkuu wa Ireland ni Muislam na UK kama unavoiona,mchango wao ni mkubwa wamezijinga hizi nchi utapata kiharusi bule na hizo chuki..Mzungu anaona Mwarabu ni nduguyake kuliko wewe mweusi. Nchi nyingi wanaandama kuitetea Palestina tena za wazungu. Mbona hawaandamani kwa ajili ya Sudan au Congo nk ??
 
ttzo ni hamas , walichofanya hamas hata ww ungefanya zaid ya waisrael
Mwenye matatizo ni wewe usiyefahamu kwanini Hamasi walifanya vile?? Bob aliwaambia,Stand up for your right, don't give up the fight.
 
Hii chuki ni nzito mnoo
mbona hawakulia lia walioona HAMAS kaua na kuteka wayahudi? NATO sasa wameamua kuilinda na kuisapoti Israel ili HAMAS apate kile alichopanda na chenji zake kamili.
 
Mwenye matatizo ni wewe usiyefahamu kwanini Hamasi walifanya vile?? Bob aliwaambia,Stand up for your right, don't give up the fight.
wana haki gabni mbona tukiwauliza wayahudi kwao ni wapi ili madai ya HAMAS yaletwe UNO kuungwa mkono hamsemi walikotoka wayahudi. HAMAS hawana madai yeyote ya maana mpaka watakapo kubali kile kilichosemwa katila biblia genesis 4.2.12
 
Mbona ndani ya Russia kuna Jews wengi sana. Kwanini wawasubir wanaotokea Israel
 
Wamechoma na kituo cha utamaduni cha Israel
 
Halafu mayahudi kwani watu wa Ulaya? Kwanini warabu wafukuzwe ulaya kwa sababu ya mahudi? Mayahudi zi wamevamia ardhi za Palestina?
Ardhi ya Wayahudi ni ipi??
 
Hao sio waarabu, hao ni warusi wapo kwenye Nchi yao. Na wala si wahamiaji

Nikisema hivi haimaanishi nasupport walichofanya ila naweka Clear tu, kuwa wapo kwao.
Urusi na waislam wapi na wapi?????............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…