Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta...
Kwani Tanzania kuna dini rafiki yangu wa tz ni mashee wa michongo michongo tu hakuna lolote kuna mmoja alikuwa ananisimulia sana visa vya mtume mwisho wa siku ananiambia nisilimu nikamwambia nina yesu
 
Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
Unajua kuwa Serikali ya Iran ni ya kidini? Kiongozi mkuu wa nchi ni kiongozi wa Dini pia. Serikali yao inaendeshwa kwa msingi wa Sharia so kila kinachofanyika ni kwakuzingatia miongozo ya dini.
 
Umelewa au umevuta!? Takwimu ya wapi hiyo kuwa Wakristo Tz ni 30%? Kwa Takwimu ya mwisho hapa nchini Wakristo ni 60% ya Watanzania wote, hizo takwimu za madrasa wapelekee hukohuko madrasa muendelee kujifariji.
Mkuu jikute kwenye point sio kwenye Takwimu huna wakika na mimi sina wakika, kwahiyo idadi sio issue wala usiumie the firstes growing religion inajulikana tu.
 
Soma vyema andiko mkuu, wapi nimekashfu mtu? Nimeuliza ili kujua nani yupo sahihi, nani mwongo
Kwa ufikiri wako Huwezi elewa.

Quote””nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza)”” Unquote.

Waheshimu basi wenzio wengine tumeoa huko na wake zetu tunawaruhusu waende misikitini wakasali fresh.

Hao wa Iran wanakuja hapa kushangaa ndugu zetu walivyo hifadhi juzuhu kichwani na kutafsiri vizuri leo una waona wamaana kuliko watu wetu wa buza.Why Buza na sio masaki Au Mbezi beach?
 
Wewe bhn usichokijua ni kwamba waweza muona mtu ni mwarabu na asiijue dini yake, Usichukilie kigezo cha kuwa yeye ni mwarabu then dini itakuwa imemkaa sana kichwani. Tofautisha kati ya mtu aliyesoma dini na mtu mwenye asili ya uarabu. Huna content Mkuu, Plus kuwa yeye alikuwa Raisi wa Inchi so ni serikali ndo inahusika na mazishi yake
Kwamba Kiongozi wa wa serikali inayoongozwa kwa misingi ya Sharia (uislam) ambaye pia ni kiongozi wa Dini asiijue dini anayoiongoza!? Iran ni nchi ya Kiislam na inaongozwa kiislam so chochote kifanyokacho ni kwa mwongozo wa kidini.
 
Uislamu official wa huku kwetu (BAKWATA) Ni Sunni. Na kule Iran Ni shia. Sisi hatuufuati uislamu kiviile, Kama MTU akiiba kule Iran anakatwa mikono. Huku kwetu ukiiba especially Mali ya umma unatukuzwa na kuitwa muheshimiwa.

Huku kwetu muislamu ruksa kufuga mbwa, kule no mbwa.

Huku kwetu ukitembea na wake za watu unaonekana mjanja, kule unapigwa mawe mpaka ufe. Huku kwetu waislamu wanaokunywa pombe Hadi k vant, kule kwa wenzetu hata castle lite marufuku.

Huku Kuna waislamu wa kike wasagaji, kule ukionekana ujue umekwenda na maji.
 
Hamna dini ya waarabu, Uislamu ni Dini ya ulimwengu mzima, na ni hasara kubwa kwa ntu yoyote kuchukuliwa na almouti akiwa bado ajasilimu.
Umekula kweli? Au ndo unajihesabia zako kenchi huku ukiwaza mabikra 72? Kuna dini zinaweza kukufanya uonekane kichaa aisee.
 
Mkuu jikute kwenye point sio kwenye Takwimu huna wakika na mimi sina wakika, kwahiyo idadi sio issue wala usiumie the firstes growing religion inajulikana tu.
Huna hoja, acha kuleta porojo za kahawani. Next time njoo na takwimu zenye vielelezo.
 
Takwimu hizo za wakristo kuwa 30% umezitoa wapi?
Mkuu ndani ya miaka 30 injao ukristo Tanzania zitabaki kelele tu kwasabb uko kwenye decline na Islam at rise sijui hata hiyo 30% bado ipo on ground sema tu kelele nyingi.
 
Uislamu official wa huku kwetu (BAKWATA) Ni Sunni. Na kule Iran Ni shia. Sisi hatuufuati uislamu kiviile, Kama MTU akiiba kule Iran anakatwa mikono. Huku kwetu ukiiba especially Mali ya umma unatukuzwa na kuitwa muheshimiwa...
Kwahiyo Uislam sahihi ni upi sasa Shia au Sunni?
 
Mkuu ndani ya miaka 30 injao ukristo Tanzania zitabaki kelele tu kwasabb uko kwenye decline na Islam at rise sijui hata hiyo 30% bado ipo on ground sema tu kelele nyingi.
Hahahaha najua unatamani iwe hivyo ila ukweli ni kuwa mnatakiwa kuongeza juhudi maana bado hamfiki hata 51% ya Population ya nchi. Wapiga kelele ni nyinyi na hilo liko wazi maana kuna maeneo ukienda utakuwa waislam watatu tu lkn kelele zao sasa!
 
Hakuna ukweli katika hilo labda huko ulaya sio bongo
Wakati wa Uhuru miaka ya 60s uislamu ulikua pwani Tabora Ujiji lakini ndani ya miaka 50, uislamu uko mawilayani tena ndani ndani, misikiti inajengwa vijijini mpaka kule kanda ya ziwa kwa wasuku, kama huwezi kunotice hilo utakua na tatozo, uislamu unatafuna nchi hi kimya kimya baada ya miaka 50 utaniambie.
 
Back
Top Bottom