Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Mmh Ufaransa ina wa kuristu 97% wamepokea ushogaa Watanzania wako 30% wakristu wamegomea ushogaa, kwahiyo wataka kuwafuata kwasbb ni wengi na wanajua ukristo kuzidi nyie huku,......?
Zanzibar hamna ushoga Bara ndio inaongoza kwa ushoga ? Hii ni kwa sababu Bara kuna wakristo wengi kuliko waislamu ,😂😂😂😂
 
Pia naomba ujifunze dini ya kiislamu kuna mambo ya hiari na ya lazima faradha suala la mazishi sio la lazima lina flexebility kubwa kama kuna sababu, uislamu una logic sana kuliko dini zote duniani.

Hapo Iran hawana haramu yoyote ata wakiamua kukaa wiki nzima bado wako sahihi yule ni kiongozi wa nchi kuna protocal
Kumbe dini zina protocal! Akila kitimoto ruksa kwa sababu kiongozi wa nchi! Hapa umebuma, dini hazina protocal hiyo
 
Kwamba maamuzi ya serikali tena serikali ya kidini yana-override taratibu za kidini ambazo serikali hiyo hiyo inapaswa kuzisimamia? Let's be serious! The point is, kuchanganya dini na siasa ni mbaya.
Hapana, usituaminishe kuwa serikali inaweza kumzika kipagani.
 
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.

Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.

Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Mkuu, ngoja waje tuwasikie kwanza.
 
Screenshot_2024-05-23-05-57-33-583_com.android.chrome~2.jpg
 
Mmh Ufaransa ina wa kuristu 97% wamepokea ushogaa Watanzania wako 30% wakristu wamegomea ushogaa, kwahiyo wataka kuwafuata kwasbb ni wengi na wanajua ukristo kuzidi nyie huku,......?
Hizo asilimia za watanzania umezipataze au ndio mnatumia takwimu za waraka mliopitisha kimyakimya.
Ufaransa kumejaa waarabu na waislamu wengi toka nchi za Afrika Magharibi na nchi za kiarabu Kama Algeria na Tunisia ambazo ni za kiislamu..
 
Umelewa au umevuta!? Takwimu ya wapi hiyo kuwa Wakristo Tz ni 30%? Kwa Takwimu ya mwisho hapa nchini Wakristo ni 60% ya Watanzania wote, hizo takwimu za madrasa wapelekee hukohuko madrasa muendelee kujifariji.
😂😂😂 kwamba Wakristo ni 60% ya Watanzania wote?

Wakristo wameathiriwa na utamaduni wa wazungu eti uzazi wa mpango na mume mmoja mke mmoja.

Sasa mume mmoja na mke mmoja halafu mnazaa vitoto viwili sijui Junior na Senior basi unadhani utashindana na muislamu anayeoa wake wawili hadi wanne na kila mwanamke anazaa sio chini ya watoto watano?

Vitu vingine mnalishana matango pori makanisani pasipo kuwa na uelewa wa kawaida tu.
 
Kuna dini na kiongozi wa nchi. Kiongozi wa nchi ni mali ya serikali. Anapofariki serikal husimamia taratibu zote, haijalishi dini yako
Wale hawatenganishi dini na serikali (Iran).Wake serikali humohumo, Dini humohumo ndo maana kuna askari wanaofuatilia mambo ya morality ( can you imagine?).
Swali la mdau lina logic sana
 
😛 😛 😛Kuwahishwa ni muhimu kama kuzika, ndoa na salah
 
Waislamu hawafuati saudia wla Iran , hao hawana cha kuongeza mbona yule kiongozi wa saudia alizikwa usiku ule ule.

Nani kakuambia kuchelewesha kuzika ni dhambi?
 
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.

Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.

Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Dini ya mashetani
 
Una wachokoza vijana wa mnyaazi mungu watakurukia shauri yako
 
Waislamu hawafuati saudia wla Iran , hao hawana cha kuongeza mbona yule kiongozi wa saudia alizikwa usiku ule ule.

Nani kakuambia kuchelewesha kuzika ni dhambi?
Leo mnakana mashehe ubwabwa wanaosema ni haramu kuchelewesha mazishi?
 
Hata akicheleweshwa haimuathiri ashajitwalia mabikira wake japo kapewa wachache kwasababu mudi anawang'ang'ania wengi
 
Back
Top Bottom