Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Waislamu wa Tanzania hawaijui Dini yao?

Mmh Ufaransa ina wa kuristu 97% wamepokea ushogaa Watanzania wako 30% wakristu wamegomea ushogaa, kwahiyo wataka kuwafuata kwasbb ni wengi na wanajua ukristo kuzidi nyie huku,......?
Kwanza una takwimu feki waislamu ndio wako 30%,kwakuwa umeanza kwa kusema uongo basi kila ulichosema ni uongo.
 
Ni hivi, viongozi kadhaa wa dini ya kiislamu hapa nchini katika mawaidha yao hudai kuwa ni haramu kuchelewesha mwili wa marehemu hata kama alikuwa kiongozi akifa azikwe fasta fasta.

Sasa kafariki Rais wa Iran (nchi yenye watu wanaoujua na kuuishi uislamu kukiko waislamu wa buza), amefariki tangu tarehe 19 na leo ni tarehe 22 bado hawajazika, wana aga tu, kesho ndiyo watazika.

Nataka mashehe wangu waje hapa waseme ni nani anaujua uislamu zaidi kati yao na hawa majamaa, ikumbukwe kuwa huyu mzee alikuwa kiongozi wa kidini tena yule mkereketwa, na Iran wana mpaka mchinjaji wa taifa anayechinja watu wanaokana uislamu na kufanya makosa mengine kinyume na sharia.
Upo sahihi kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binafsi bora kuwa mpagani kuliko kuwa muislam
Sio suala la hiari utajikuta we ni muislamu au watoto wako wameslimu huwezi kupingana na dini ya Mungu wengi hawakupenda ila wamejikuta wako ndani tayari.......Islam is anatural force you cant resist it
 
Mkuu ndani ya miaka 30 injao ukristo Tanzania zitabaki kelele tu kwasabb uko kwenye decline na Islam at rise sijui hata hiyo 30% bado ipo on ground sema tu kelele nyingi.
Miaka 30 ijayo kizazi hiki kitakuwa kimeshagunduwa dini ni scam tu ya Waarabu na Allah na wazungu na Yehova.
 
Katiba ya Iran inasema nchi ni ya Kiislamu na inaongozwa kwa sharia za Kiislamu.

From the Wiki

Sharia

Hassan Vakilian cites Article 4:

civil, penal financial, economic, administrative, cultural, military, political, and other laws and regulations must be based on Islamic criteria. This principle applies absolutely and generally to all articles of the Constitution as well as to all other laws and regulations…

Am not expert in islamic laws, but ninachojua kuna vipengele muhimu vinavyohusiana na mazishi ya rais wa Iran kulingana na mapokeo na taratibu za kitamaduni zao ( reference mazishi ya late president hassan rhouani)

- Mazishi ya Kitaifa: Rais aliyefariki kawaida hupata mazishi ya kitaifa, ambayo yanajumuisha sherehe za kikubwa rasmi. Hii mara nyingi inajumuisha ushiriki wa maafisa wa juu, heshima za kijeshi, na maombolezo ya kitaifa.

- Taratibu za Kidini: Kwa kuwa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu, mazishi yatakuwa kwa kufuata taratibu na mila za Kiislamu, hasa zile za Waislamu wa Kishia, ambazo zinajumuisha kuosha mwili (Ghusl), kuvikwa sanda (Kafan), kuswaliwa sala ya jeneza (Salat al-Janazah), na kuzikwa kaburini.

- Maombolezo ya kitaifa : kutangazwa kipindi cha maombolezo ya kitaifa, ambapo bendera zinaweza kupeperushwa nusu mlingoti, na matukio ya umma yanaweza kufutwa au kuahirishwa. Serikali na vyombo vya habari vitakuwa vikiakisi maisha na michango ya rais aliyefariki

- Ushiriki wa Umma: Mwili unaweza kuonekana katika sehemu muhimu ya umma (kama vile msikiti au jengo la serikali) ili wananchi waweze kutoa heshima zao kabla ya mazishi.

- Mahali pa Kuzikwa: Mazishi mara nyingi hufanyika katika makaburi maarufu au sehemu yenye umuhimu wa kitaifa. Marais waliopita, Eg Akbar Hashemi Rafsanjani (japokuwa hakuwa rais) alizikwa katika maeneo aliyozikwa ya Ayatollah Khomeini, ikionyesha hadhi yao na heshima waliyopewa

Is why inachukua muda beause muhusika ni public figure, kiongozi wa nchi regardless dini yake
 
Sheheee shoga lime panic baada ya kushindwa kumtetea allah na shoga wake mudi
Mkikamatwa vijana wapakwa mafuta wa papa ni fimbo tu kama wanyama 😛 😛 ..Mama yako kajiuza mpaka kapata mtoto hana akili.
 
Sio suala la hiari utajikuta we ni muislamu au watoto wako wameslimu huwezi kupingana na dini ya Mungu wengi hawakupenda ila wamejikuta wako ndani tayari.......Islam is anatural force you cant resist it
Kama ni miaka 1000 huko mbeleni afadhali sitakuwepo, yaani sasa hv bado mko wachache lakini terrorists wanasumbua mkitawala dunia yote hali itakuwajee?!.
Dunia itakuwa sio sehemu salama kabisa ya kuishi...labda ndio maana wazungu wanafanya sana majaribio kama kuna maisha sayari ya mars itakuwa wanataka kuwakimbia waislam kwenye hii dunia🤣🤣
Ukristo ni democratic sana mtu akitaka anatoka tena ruksa kuukosoa, muislam thubutuuu...atachinjwa!!.
 
Am not expert in islamic laws, but ninachojua kuna vipengele muhimu vinavyohusiana na mazishi ya rais wa Iran kulingana na mapokeo na taratibu za kitamaduni zao ( reference mazishi ya late president hassan rhouani)

- Mazishi ya Kitaifa: Rais aliyefariki kawaida hupata mazishi ya kitaifa, ambayo yanajumuisha sherehe za kikubwa rasmi. Hii mara nyingi inajumuisha ushiriki wa maafisa wa juu, heshima za kijeshi, na maombolezo ya kitaifa.

- Taratibu za Kidini: Kwa kuwa Iran ni Jamhuri ya Kiislamu, mazishi yatakuwa kwa kufuata taratibu na mila za Kiislamu, hasa zile za Waislamu wa Kishia, ambazo zinajumuisha kuosha mwili (Ghusl), kuvikwa sanda (Kafan), kuswaliwa sala ya jeneza (Salat al-Janazah), na kuzikwa kaburini.

- Maombolezo ya kitaifa : kutangazwa kipindi cha maombolezo ya kitaifa, ambapo bendera zinaweza kupeperushwa nusu mlingoti, na matukio ya umma yanaweza kufutwa au kuahirishwa. Serikali na vyombo vya habari vitakuwa vikiakisi maisha na michango ya rais aliyefariki

- Ushiriki wa Umma: Mwili unaweza kuonekana katika sehemu muhimu ya umma (kama vile msikiti au jengo la serikali) ili wananchi waweze kutoa heshima zao kabla ya mazishi.

- Mahali pa Kuzikwa: Mazishi mara nyingi hufanyika katika makaburi maarufu au sehemu yenye umuhimu wa kitaifa. Marais waliopita, Eg Akbar Hashemi Rafsanjani (japokuwa hakuwa rais) alizikwa katika maeneo aliyozikwa ya Ayatollah Khomeini, ikionyesha hadhi yao na heshima waliyopewa

Is why inachukua muda beause muhusika ni public figure, kiongozi wa nchi regardless dini yake
Point ya mleta mada ni kwamba Waislamu, hata Wa Shia, wanazika mara moja bila kusubiri. Na hawa wanasubiri. Ingawa ni watu wa nchi inayoongozwa kidini. Ina maana wamepotezea kanuni/ tamaduni za Kiislamu za kuzika haraka.

Public figure ndiye anayetakiwa kuwa mfano wa kuzikwa Kiislamu dunia nzima ijue.

Kama Waislamu hawaziki kwa kutumia jeneza, wanafunika kwa sanda tu, utasema huyu public figure tumzike kwenye jeneza?

Huoni kwamba ukivunja kanuni kwa public figure ndiyo inakuwa vibaya zaidi, unavunja kanuni kwa mtu wa kutoa mfano wa kutimiza kanuni?

Unataka kusema kanuni za Kiislamu haziko compatible na dunia ya public figures wa leo?
 
Miongozo yote juu ya maisha ya Kiislamu yapo kwenye Quran na Sunna za mtume hivyo kazi kwake Muislamu mwenyewe kuamua kulingana na uelewa wake katika kutafsiri hiyo miongozo maana baada ya kifo cha Mtume(saw) kulizuka makundi mengi na kuzaliwa madhehebu mbalimbali, hata hao Wairan wengi wao ni dhehebu tofauti na Waislamu wengi wa Tanzania.
Wairan wengi ni Shia na Waislamu wengi wa Tanzania ni Sunni hivyo kuna baadhi ya mambo wanatofautiana/kupingana baina yao hivyo huwezi kujua hata kwenye hilo la kuzika mapema nalo wanatofautiana pia.
 
Kama ni miaka 1000 huko mbeleni afadhali sitakuwepo, yaani sasa hv bado mko wachache lakini terrorists wanasumbua mkitawala dunia yote hali itakuwajee?!.
Dunia itakuwa sio sehemu salama kabisa ya kuishi...labda ndio maana wazungu wanafanya sana majaribio kama kuna maisha sayari ya mars itakuwa wanataka kuwakimbia waislam kwenye hii dunia[emoji1787][emoji1787]
Ukristo ni democratic sana mtu akitaka anatoka tena ruksa kuukosoa, muislam thubutuuu...atachinjwa!!.
Mkuu miaka 1000 ni mbali miaka 50 tu injao utasomulia ata ukiwa kabrini usichezee natural force
 
Point ya mleta mada ni kwamba Waislamu, hata Wa Shia, wanazika mara moja bila kusubiri. Na hawa wanasubiri. Ingawa ni watu wa nchi inayoongozwa kidini. Ina maana wamepotezea kanuni/ tamaduni za Kiislamu za kuzika haraka.

Public figure ndiye anayetakiwa kuwa mfano wa kuzikwa Kiislamu dunia nzima ijue.

Kama Waislamu hawaziki kwa kutumia jeneza, wanafunika kwa sanda tu, utasema huyu public figure tumzike kwenye jeneza?

Huoni kwamba ukivunja kanuni kwa public figure ndiyo inakuwa vibaya zaidi, unavunja kanuni kwa mtu wa kutoa mfano wa kutimiza kanuni?

Unataka kusema kanuni za Kiislamu haziko compatible na dunia ya public figures wa leo?
Somehow hazipo haziendani na public figures wa leo. Look ut us even tukizika viongoz wa kiislam, we do almost the same.
 
Hapo ndipo utajua dini ni siasa za kuungaunga za watu tu.

Kwa sababu zingekuwa neno la Mungu, kanuni zake zisingehitaji kubadilika na muda.
 
Nimeuliza swali rahisi sana kwenye uzi, je Wa Iran wamefanya haramu?
Kwenye dini huwa hatupigi hesabu hizo unazopiga wewe yaani kwa vile wengi wamepotoka ndio na wewe ufuate mkumbo?
Hao wamefanya ufahari wao binafsi na mila zao kwa sababu yeye ni Raisi ila haimaanishi kwamba wao wako perfect kwa kila jambo wafanyalo.
Halafu kama wewe ni mtu umetembea nchi mbalimbali utagundua Africa hasa hasa Tanzania kuna Waislamu wazuri sana na wana nidhamu sana na dini yao.
Kwa mfano mimi tangu nizaliwe hadi nimekuwa mtu mzima nilikuwa sijawahi kuona mtu mwanamme ameingia msikitini kuswali huku amesuka Rasta au mtu anaswali huku amevaa cap/kapero kichwani ila nilivyosafiri kwenda mbali nikaanza kuona hivyo vituko tena ni uarabuni ambako wewe unadhani ndio kuna wachamungu sana
 
Nadhani baada ya kusafiri utakuwa umegundua kuwa kiarabu ni lugha kama lugha nyingine na haina hadhi yoyote kuzidi lugha nyingine duniani wala peponi.
 
Back
Top Bottom